1ndazMaterial
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 160
- 177
utakuta unajiburudisha na best friend yake mwenyewe harmonize au mauzauza yake producer baddest.
Daaaaj





utakuta unajiburudisha na best friend yake mwenyewe harmonize au mauzauza yake producer baddest.





Hahahah leo hii dj khaled ni Don 19 times from Fat
Maria Maria - Carlos santanaEverytime I close my eyes-Babyface,Kenny G
Kivumbi leoMaria Maria - Carlos santana

Huu wimbo unanikumbusha mwaka 1996 niko darasa la nne. Kuna bro mmoja hivi jirani yetu alitafuna mabinti wengi sana wa sekondari kiasi kwamba kina mama wakawa wanamjadili ni kijana wa aina gani huyu? Kwenye geto lake alikuwa akiweka sana huo wimbo. Nikajisemea nikiwa mkubwa nataka niwe kama Kaka Frank. Huku ukubwani ndo nikaja kugundua nilikuwa mpuuzi sana kuwa na ndoto ya kuja kuwa mshenzi maana niligundua jamaa hakuwa na kitu zaidi ya kuwekeza kwenye muonekano wake tu kwa maana ya nguo na viatu.Keith Sweat - Twisted
Hahahahahah mnyamwezi😀Huu wimbo unanikumbusha mwaka 1996 niko darasa la nne. Kuna bro mmoja hivi jirani yetu alitafuna mabinti wengi sana wa sekondari kiasi kwamba kina mama wakawa wanamjadili ni kijana wa aina gani huyu? Kwenye geto lake alikuwa akiweka sana huo wimbo. Nikajisemea nikiwa mkubwa nataka niwe kama Kaka Frank. Huku ukubwani ndo nikaja kugundua nilikuwa mpuuzi sana kuwa na ndoto ya kuja kuwa mshenzi maana niligundua jamaa hakuwa na kitu zaidi ya kuwekeza kwenye muonekano wake tu kwa maana ya nguo na viatu.
Hii ni slow jam?Love is wicked - Brick & lace
![]()
Aisee..
Nilikuwa form one. Haya sema shkamoo dada
A world of our ownKwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B.
Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna ngoma moja ya Usher Raymond inaitwa " Nice & Slow" ilinikosha na still inanikosha.
Wewe wimbo gani ulikubamba?