Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,640
Tupe vitu dada,hii ngoma ilikuwa kwenye album yake ya kwanza au ya pili,nakumbuka kulikuwa na vyuma vingine vikali kama Am real na play..
Aisee..Nilizaliwa 1994. Same year na harmonize , ila na mzidi tuu elimu , ngija ni lale nikijiburudisha na song hili hapa....
I hate I wanna know 90 aisee bado mie kachangaJoe-I wanna know
Gerald levert-i ‘d give everything
Vawulensii hii sasa, uzi haujasema ni miaka ipi, labda abadili title.Hapa ni 90s tu na early 2ks
Tupe vitu dada,hii ngoma ilikuwa kwenye album yake ya kwanza au ya pili,nakumbuka kulikuwa na vyuma vingine vikali kama Am real na play..
Naomba utuletee mojawapo kama unayo hasa hiyo Am real tena Remix na Ja rule wa Murder inc records itanoga sana,ukishindwa sana tuletee ngoma ya Ja rule always on time..nikumbuke ujana wangu kidgo nimwage machozi nilale muda umeenda sana huu

Nilizaliwa 1994. Same year na harmonize , ila na mzidi tuu elimu , ngija ni lale nikijiburudisha na song hili hapa....

utakuta unajiburudisha na best friend yake mwenyewe harmonize au mauzauza yake producer baddest.Hahaha ukiona mtt anapost nyimbo za 2007 ujue ndio alikuwa 4 yrs maybe

This is not a slow jamYour Body is Callin' - R. Kelly
Huu hapaTupe vitu dada,hii ngoma ilikuwa kwenye album yake ya kwanza au ya pili,nakumbuka kulikuwa na vyuma vingine vikali kama Am real na play..
Naomba utuletee mojawapo kama unayo hasa hiyo Am real tena Remix na Ja rule wa Murder inc records itanoga sana,ukishindwa sana tuletee ngoma ya Ja rule always on time..nikumbuke ujana wangu kidgo nimwage machozi nilale muda umeenda sana huu
OkayThis is not a slow jam
Hahahah unafikiri ukubwa ni kuwabeba eehAmbao naweza kuwabeba kifuani???
Hata mie mkubwaa mbna.