Ngoma tamu sana hiiNick Minaj ft Lil Wayne - High school
Sikiliza ngoma yake na Nicki minaj inaitwa doin it ni sample ya wimbo wa LL COOL J " ndio utajua kuna watu wana flow tamu sana hapa dunianiEnzi zake tozi sana 😀😀😀
Enzi zake tozi sana 😀😀😀
Yaan hii mda wotee naisikiliza, bas nikiunga BT Kwa Home theater yangu, huo mdundo sasa,Ngoma tamu sana hii
Boyzone walikuwa moto sana [emoji3]Boyzone - All that i need,
Back for good,
Baby can i hold you tonight,
I love the way that you love me
Boyz II Men - I'll make love to you
Try this too, High by ChainsmokersYaan hii mda wotee naisikiliza, bas nikiunga BT Kwa Home theater yangu, huo mdundo sasa,
Majirani wanatafutana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HatariiiiiTry this too, High by Chainsmokers