SLAVE MENTALLITY: Unaweka watu foleni kugombania nafasi ya kuwa rafiki yako, nilijuaga urafiki unakuja kiasili.

SLAVE MENTALLITY: Unaweka watu foleni kugombania nafasi ya kuwa rafiki yako, nilijuaga urafiki unakuja kiasili.

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Kuna mtu humu anawaenjoy masela basi na wao wanachekeleeea hawajui kwamba wapo katika "matrix" yake ya kujimbwafai..

Too bad wachache ndio wataelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom