Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,759
- 6,851
Haya wana Chadema hawa watu wenu wa IT kweli wana copy and paste website ya Obama mpaka wanasahau kutoa ramani ya Mareakani kwenye website ya mzee Slaa... ???
3 hours ago
- Elia Kisigila and 4 others like this.
Elia Kisigila Ha,ha,ha.... Unao tu mkuu! 2 hours ago
Richard Kasesela naona huu ni Umarekani kupita kiasi... 2 hours ago · 1 personLoading...
Isaac Kitogo Umakini ndiyo tatizo kubwa ndani ya CHAFUMA 2 hours ago
Elia Kisigila Huo sio umarekani ni "Ujuha" sorry to say that. Ujanja mwingi, mbele giza walishasema waswahili. 2 hours ago
Said Surur Mhhh no comment.yangu mach 2 hours ago
Aristotle Mang'ombo maneno ya wakosaji hayo. 2 hours ago
Richard Kasesela kaka ukiwa na mapenzi kubali hata makosa niko NY nitakupigia...Aristotle Mang'ombo 2 hours ago · 1 personLoading...
Richard Kasesela jamani mimi nimeona nawasaidia mrekebishe mnataka kuniandama mhhh maaana napokea sms kwenye simu pleeese.. 2 hours ago · 1 personLoading...
Aristotle Mang'ombo haha! watu wamehaki hii kitu bibo. lol 2 hours ago
Richard Kasesela Aris acha propaganda hii toka wakati wa kampeni ipo (2010) i have that evidence (nina screenshot ya mwaka jana) so suala la Hacking halipo kaka 2 hours ago · 1 personLoading...
Andrew Chale what so now about this!Richard Kasesela 2 hours ago
Richard Kasesela Andrew website wa kiongozi wetu when you click on "get involved" inatokea ramani ya marekani...if you check the old Obama website you will see same features... 2 hours ago
Isaac Kitogo I told you Bibo, umakini ni suala gumu sana ndani ya CDM, umeona wanaoona mbali akina Shitambala wamekipiga chini chama chao. about an hour ago
Richard Kasesela more to come Isaac just wait... about an hour ago
Leonard Chacha This is petty politics @bibo!! Talk of issues of national interest, this one you could have just inboxed mbowe, zitto etc. about an hour ago
Richard Kasesela haya Chacha I hear you basi do that for me... about an hour ago · 1 personLoading...
Olivia Sanare-mwanaharakati Watajibeba mbona hawana hata uhai? about an hour ago · 1 personLoading...
Abel Kaseko ‎@Leonardo,wao mbona huwa hawa inbox?mkuki kwa nguruwe...
about an hour ago · 1 personLoading...
Olivia Sanare-mwanaharakati Tungekuwa sis hapo mjadala wa kitaifa about an hour ago
Andrew Chale ‎@Kasesela hapo bado huna pointi hiyo ramani ya Obama unayosema bado aiingii akilini kwa mtu kuwa ni ishu kubwa kama unavyodhania watu wanaangalia mbele na mambo makuu ya nchi yanavyokwenda maana ukianza kuangalia kasoro ambazo hazina interest kwa Taifa ni swa na kutwanga maji katika kino kuna makosa mbalimbali yakitaalamu tena hata kwenye mtandao wa Chama chako na wa Rais wa Tz 'JK' kuna kasoro tena za kukopi na kupest we umeona hilo aaaah huna hoja mwnaccm about an hour ago
Richard Kasesela Andrew acha unazi mbona humu watu wamekandia website ya CCM na zingine guys this was just a small alert wala sio hoja Maana nyie kila kitu huwa hoja hata marekebisho madogo about an hour ago · 1 personLoading...
Andrew Chale hayo yako about an hour ago
Isaac Kitogo ‎@Andrew, that's just an observation. about an hour ago
Peter Mwininga Adrew vipi mbona mkali waona kibanzi kwa mwezio wakati boriti umejituliza nalo tuli about an hour ago · 1 personLoading...
Dixon Mpemba SHAME!!! 44 minutes ago
Andrew Chale vipimujishangae nyie 38 minutes ago
Editha Majura hakuna kitu nachukia kama mtu kutokubali kukosolewa! we nani? malaika au Mungu? acheni mambo ya kizamani, ukikosea ukakosolewa mshukuru aliyekukosoa, fanya marekebisho, chapa mwendo! kama kitu kidogo kwanini kilikosewa basi? mnakikosesha chama chenu sifa za bure kwa kupenda blue iitwe njano 14 minutes ago · 1 personLoading...
Mona Qaseem aise nilikuwa na hasira ila nimecheka bila kutaka...yaani kama ni yale mambo ya shule mtu hapo jamaa wamecopy mpaka jina na na namba ya mtihani ya mwenzake lol......Nadhani richard ameweka kwa nia njema yaani wawe makini na kurekebishana lol., nia yake ni kujenga teh teh teh...Wamekosma next time watajipanga vizuri. 9 minutes ago
Andrew Chale bado hamna hoja hapo! 4 minutes ago
Cheap Price Japan Cars
http://www.facebook.com/ajax/emu/en...id_4d9febc323dd91932396785&en=1&a=0&sig=83335
Sponsored