THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,545
- 14,802
Kuendekeza dini sio kuzuri sana lakini tuwe wakweli, maisha ya watanzania yalikuwa na afadhali kipindi cha marais wakristo kuliko waislamu.
Hebu tuangalie,
Nyerere aliitoa nchi utumwani na akafanikiwa kuweka misingi mizuri ya uchumi, maadili na umoja wa kitaifa, alipoingia Mwinyi akaharibu. Watu walitaabika pesa wanayo lakini hakuna cha kununua. Ufisadi ulikuwa kipandi kile ila ulipewa jina la ulanguzi.
Mkapa kaimarisha uchumi wa nchi, bei za vitu hazikuwa zinapanda ovyo ovyo, hata shilingi ya Tanzania ilikuwa na thamani kidogo, Alichofanya Kikwete sihitaji kuandika maana kila mmoja wetu anajua na ameona;katurudisha tulikotoka.
Kwa kutumia kigezo cha dini, Tanzania inahitaj rais Mkristo sasa na siku zote. Kila binadamu ana makosa na mapungufu lakini ya wengine yamezidi.
Kigezo cha kwanza cha kumchagua rais kwangu mimi ni dini, awe Mkristo.
Teh teh teh
Uwiii.
We kafiri wee hebu wacha maneno yako ya nuksi.
Nyerere gani alielitoa taifa hili utumwani??
Wapigania uhuru wa Taifa hili ni waislam hilo liko wazi.
Kanisa lilikuwa chini ya wakoloni lingeweza vipi kudai uhuru.
Huyo nyerere enz za utawala wake watu walikuwa wanavaa kaniki kwa kukosa nguo.
Hadi sukari walikuwa wanapanga foleni kununua.
Mwinyi alipokaja Mzee wa Ruksa akafungua milango ya uwazi na uchumi huria pesa ikaanza kuonekana na mahitaji kupanuka.
Acha kabisa kuongea utumbo nyerere alikuwa balaa yule.
Haya sasa tuje kwa mkapa.
Ujio wake chini ya waziri wake wa elimu joseph mungai ndiyo ukawa mwanzo wa kufa kwa elimu ya nchi hii.
Kuanzia msingi sekondari hadi chuo kikuu.
Enzi hizo hizo za mkapa na sera zake za uwekezaji tukaona watu wanauzians migodi ya nchi hii kwa bei ya kutupa kabisa na wizi na ufisadi wa meremeta buzwagi na haya ya richmond yameanzia kwa mkpa fisadi yule.
Hadi migodi kajiuzia yeye na familia yake.
Then uje utuambie kwamba nchi hio bora atawale mkristo??
Mkristo gani wa nafuu katika nchi hii??
Nyinyi si ni wezi tu??