Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Mkuu wanaagalia dini sio dhehebu

Kama umeona kigezo cha dini muhimu basi tusiishie kwenye dini, twende mbele zaidi.

Katika maraisi wakristo wote walikuwa wakatoliki.

1. Nyerere alikuwa Mkatoliki
2. Mkapa alikuwa Mkatoliki

Ukristo sio ukatoliki tu, sasa twende kwa Mkristo wa dhehebu lingine...

Kwa kigezo chako basi Lowassa anafaa kwa sababu:
1. Mkristo
2. Wa kanda ambayo haijatoa rais, Kaskazini
3. Wa Dhehebu ambalo halijatoa rais, Lutherani.

Ukiishaanza kuweka ubaguzi usiishie juu, malizia kabisa mpaka chini.
 
Hapa ngoma nzito...huku akiwekwa Dr.Slaa kule lazima atawekwa EL na kambi zingine hazimkubali.Piga uwa hakuna mwingine zaidi ya EL ndio maana zile adhabu hazitekelezeki na wala hatujui ukomo ni lini.Huenda ikawa kama kura ya maoni.Matatizo yao nadhani yanamfanya Rais wetu asafiri mara kwa mara kuondowa presha..anaona heri akae nao mbali.....maoni yangu tu na niko tayari kusahihishwa..MSINITUKANE
 
Padre slaa hawez kuwa kiongozi ukawa wala hawezi kuwa Rais wa nchi hii.

Hata aombewe vipi na msela mwenzake gwajima hilo halitakuja litokee.
 
Prof Lipumba usikubali nafasi hiyo kumuachia padre tena.

Nchi wataiharibu hii.

Mfumo kristu hauna nafas tena nchi hii.
 
Kama umeona kigezo cha dini muhimu basi tusiishie kwenye dini, twende mbele zaidi.

Katika maraisi wakristo wote walikuwa wakatoliki.

1. Nyerere alikuwa Mkatoliki
2. Mkapa alikuwa Mkatoliki

Ukristo sio ukatoliki tu, sasa twende kwa Mkristo wa dhehebu lingine...

Kwa kigezo chako basi Lowassa anafaa kwa sababu:
1. Mkristo
2. Wa kanda ambayo haijatoa rais, Kaskazini
3. Wa Dhehebu ambalo halijatoa rais, Lutherani.

Ukiishaanza kuweka ubaguzi usiishie juu, malizia kabisa mpaka chini.

kwa ccm naunga mkono kuwa Lowasa anafaa kugombea kupitia hicho chama chake dhaifu japo nimeskia wameshampata mrithi wa kikwete ambaye ni mkristo pia anatokea zanzibar mana zamu yao visiwani kupewa nchi. Huku ukawa kati ya Dr. Slaa na Prof. Lipumba, ndiyo mana nikasema kuwa Slaa ana nafasi kubwa kuliko Lipumba,
 
Nilipooona heading yako unasema una uhakika asilimia mia moja nikadhani labda ni taarifa umepata kumbe ni analysis yako ambayo imenibidi kupuuza

Nasema unastahili kupuuzwa sio kwa sababu unamzungumzia Dr Slaa,lakini ni kwa sababu umetumia dini ya mtu kama kigezo

Dini ya mtu sio kigezo,ikulu sio nyumba ya ibada.

Sina tatizo na Dr.Nilimpigia kura (sijui hazikutosha au walituzidi akili hawa kijani)
 
Habari wanajf, haya ni mawazo na fikra zangu tu. Binafsi naona Dr. Slaa nafaa kabisa kuwa mgombea wa urais mwaka huu kupitia Ukawa tofauti na Prof. Lipumba. Nina sababu zifuatazo.

1. Dr. Slaa anamvuto na kupendwa na wengi katika mambo ya siasa
2. Nchi yetu haina upendeleo katika mambo ya dini, hivyo sasa ni zamu ya rais mkristo kuongoza nchi kama ambavyo nchi yetu imejiwekea utaratibu huu.
3. Watu waliosoma sana na wenye elimu ya juu kabisa mara nyingi hawafai kupewa nafasi nyeti kama hii, hawa ni watendaji wazuri wanatakiwa watumie muda mwingi kufanya research na kuandaa policy mbalimbali kwa ajili ya manufaa ya nchi. Elimu kama ya Dr. Slaa ndiyo inafaa zaidi hivyo Lipumba angalau apewe uwaziri mkuu sio mbaya sana.

Hayo ni maoni yangu kama unacho cha kuongezea karibu

Haya mtoa mada tumekusikia
 
Prof Lipumba usikubali nafasi hiyo kumuachia padre tena.

Nchi wataiharibu hii.

Mfumo kristu hauna nafas tena nchi hii.

mimi natamani mahakama ya kadhi ikubaliwe mana waislamu wengi watakimbilia kwenye ukristo pale ambapo akipewa adhabu ya kukatwa mkono au kuuawa ataomba abadili dini ili asihukumie kwenye hizo mahakani zisizo na chembe ya huruma. Baada ya miaka 20 robo 3 ya nchi watakuwa wakristo
 
kwa ccm naunga mkono kuwa Lowasa anafaa kugombea kupitia hicho chama chake dhaifu japo nimeskia wameshampata mrithi wa kikwete ambaye ni mkristo pia anatokea zanzibar mana zamu yao visiwani kupewa nchi. Huku ukawa kati ya Dr. Slaa na Prof. Lipumba, ndiyo mana nikasema kuwa Slaa ana nafasi kubwa kuliko Lipumba,

My point is, kama tutachagua kwa kigezo cha dini basi safari hii ata akiwa mkristo basi asiwe mkatoliki.Kuna makundi mengi ya wakristo.

Lakin kama hatuangalii dini basi ata muislam anafaa tu kuwa rais.hatutajali hilo la dini ya mtu.
 
Prof Lipumba usikubali nafasi hiyo kumuachia padre tena.

Nchi wataiharibu hii.

Mfumo kristu hauna nafas tena nchi hii.

Chadema wataathirika ukawa ikifa lakini CUF waathirika zaidi kuliko Chadema.

Ndani ya UKAWA Cuf wangepata wabunge Tanzania bara, majimbo matatu Dar es Salaam yangeweza kabisa kwenda CUF mwaka huu, Kigamboni, Segerea na Temeke.

Najua NCCR haiwezi kukubali kuvinja umoja maana nje ya umoja huu, Mwenyekiti Mbatia kiti chake cha ubunge wa vunjo kitatikisika.

Sioni faida watakayoipata CUF kutoka nje ya Ukawa.Ni vyema Lipumba atafute jimbo moja Dar angeingia bungeni akajipange vizuri kwa urais miaka ijayo.Mwaka huu hana chance.

Na ukawa ikifa, mshindi zaidi atakuwa ACT, itakuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kukua.
 
mimi natamani mahakama ya kadhi ikubaliwe mana waislamu wengi watakimbilia kwenye ukristo pale ambapo akipewa adhabu ya kukatwa mkono au kuuawa ataomba abadili dini ili asihukumie kwenye hizo mahakani zisizo na chembe ya huruma. Baada ya miaka 20 robo 3 ya nchi watakuwa wakristo

Ndivyo anavyowadanganya Gwajima huko kanisani??

Teh teh teh

Kumbe ndiyo maana Dr Slaa anashinda kwa yule muhuni mwenzake gwajima anadhani anaweza pewa muujiza wa kuwa Rais wa nchi hii??

Teh teh teh.

Mmefeli kanisani kuongoza kondoo wa bwana mtaweza kuongoza nchi??

Nyerere alishindwa.

Mkapa ufisadi hadi anajiuzia migodi kwa bei ya kutupwa.

Kwenye escrow ndiyo usisemee hadi kanisa limechota pesa za walalahoi.

Hatari sana
 
Chadema wataathirika ukawa ikifa lakini CUF waathirika zaidi kuliko Chadema.

Ndani ya UKAWA Cuf wangepata wabunge Tanzania bara, majimbo matatu Dar es Salaam yangeweza kabisa kwenda CUF mwaka huu, Kigamboni, Segerea na Temeke.

Najua NCCR haiwezi kukubali kuvinja umoja maana nje ya umoja huu, Mwenyekiti Mbatia kiti chake cha ubunge wa vunjo kitatikisika.

Sioni faida watakayoipata CUF kutoka nje ya Ukawa.Ni vyema Lipumba atafute jimbo moja Dar angeingia bungeni akajipange vizuri kwa urais miaka ijayo.Mwaka huu hana chance.

Japi mshindi zaidi atakuwa ACT, Ukawa ikifa ACT itakuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kukua.

Chadema chama cha kikabila cha mtei kinaweza vipi shindana na cuf??

Huko kilikopata wabunge kama sio uchaga basi kimetumia ukristo.

Cuf chama kubwa wewe kafiri.

Hadi kimeunda serikali ya mseto.

Nyinyi wachaga mna kitu gani??

Ukawa bila cuf hakuna kitu.
 
Prof lipumba ndan ya huo Ukawa uwe makin sana na hao wakatoliki.

Sio watu wazuri haoo.

Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Back
Top Bottom