Makala Jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,395
- 1,112
Kweli Dr.Slaa ni mfano wa kuigwa kwa ccm wala wasione aibu na kuanza kumchafua. Mwaka 2010 ccm wamemkashifu Dr.Slaa wakisema elimu bure haiwezekani,leo wanasemaje? Dr.Slaa ndani ya CHADEMA imara kwa sera zinazotekelezeka alisema inabidi vifaa vya ujenzi vishuke bei ili kumwinua mwananchi masikini kimakazi lakini ccm gambaz wakasema haiwezekani,leo kina Prof.Tibaijuka wanasemaje? Au tusubirie nyumba za walalahoi za NHC zinazouzwa 200mln tsh? Acheni siasa za kipuuzi enyi wanaccm,mnapomchafua mtu ambaye watu masikini na wanyonge wanamwamini mnajipunguzia credit wenyewe.Mbona mnakosa shukrani,Dr.Slaa aliwambia msione haya kutekeleza ilani ya CHADEMA (kama ambavyo JK anatekeleza ilani ya katiba mpya ambayo ccm hamkuwa nayo) maana mkitekeleza mnabarikiwa vile wananchi wanapata unafuu!