Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

Nahisi Lipumba atawafaa zaidi UKAWA kuliko Dr Slaa... Sababu za msingi ni kuwa Prof amedhihirisha kuwa anaweza kuibadili nchi hii kiuchumi kwa muda mfupi zaidi ... Itaondoa mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wapiga kura ...
How come Lipumba ataondoa mgawanyo wa kidini ambao Dr Slaa hawezi?
 
Ninakuomba sana sana uwe mwangalifu na statements zinazoweza kuchukuliwa vibaya zikaonekena ni sera za nchi na kutusumbua mbele ya safari. Kumbuka hapa, kama ilivyotanzania kuna matabaka mengi sana ya watu. Wapo wanaoweza kuelewa makosa na udhaifu wa msemaji, lakini wapo ambao hawajui kuchambua wao kila kitu wakikisikai kinasemwa hata kama kinavunja katiba na kisheria hakiwezekani, wanashika bango kwamba uliwaambia!. Gharama ya kuwarudisha kwenye msingi, ni kubwa kuliko watu kuzuia ndimi zao.

Tanzania haina utaratibu wa kuchagua viongozi kwa mtindo wa kubadilishana dini.

Hatumchagui mtu kwa dini yake kwa sababu hatutegemei kupata miongozo inayohhusiana na dini za watu. Tunauhuru wa kuchagua dini moja mfululizo ili mradi tunapata kiongozi sahihi anayehitajika na mwenye maono na uwezo wa kukidhi haja za watanzania.

Ingelikuwa ni dini basi hata Wabung wangebadilishana, madiwani, wenyeviti wa mitaa n.k. Kama iingelikuwa ni kanuni ya nchi, mbona zanzibar hawajawahi kuwa na kiongozi wa dini nyingine zaidi ya Waislam?

Tanganyika vile vile haijawahi kuwa na raisi wa dini zingine zaidi ya Wakristo na Waislam? Nani alikuambia kuna kupokezana kidini? Acha kabisa hizo itikadi. Kama ilitokea ilitokea coincidentally tu lakini haipo na hatuwezi kuiweka kuwa ni utaratibu unless tunataka matatiz.

Vinginevyo, ukiondoa hilo la mambo ya dini, naunga mkono hoja.
Mkuu yaani bila hata aibu unabisha mchana kweupe wakati jambo lipo wazi kabisa, haya mambo yana siri nzito sana sasa tunapotokea watu kama sisi kuwafumbua macho ninyi msiojua chochote kuhusu hii nchi mnahitaji kuwa karibu na sisi. Kwa taarifa yako sasa kuna siri siri nzito sana ambayo hata nikikuambia utabisha ila utakubali mpaka hujionee mwenyewe. Ccm inataka kumkabidhi nchi mtu kutoka visiwani zanzibar ambaye pia sharti awe mkristo, mrithi tayari keshapatikana na kinacho fanyika sasa ni kuvumisha habari za akina Lowassa kuwa anaweza kushika nchi ili kuwapumbaza akili watanzania wasiojielewa. Usiwe kama mnyama mbuzi unasubiri mpaka jambo litokee ndiyo upate kuhamini kuwa ni kweli
 
halafu mke wake anachat fesibuku na wachungaji

Hivi kumbe ku chat ni dhambi???ulitaka apige simu maana kama anachat unaweza kuona anachat issue gani. Tuache udhalilishaji na personal attacks tujikite kwenye hoja
 
Kwa kweli kama uelewa wako mkuu ni kujibu kwa kutukana watu, naomba ubaki na elimu yako siihitaji.

Ninachojua Tanzania haina sera ya kubadilisha watu kwa misingi ya dini ila ikitokea ni coincidence ambayo haihitaji kudekezwa kwa sababu ipo siku itatunyima kiongozi safi na mwenye sifa zote kwa sababu tu si zamu ya dini yake.

Lakini kwa matusi yako, hufai kuwa mwalimu wangu naomba ubaki na siri na elimu yako ya juu!.

(Uelewa wa chini saaaaana. Ninajua kuna watu wenye IQ kubwa watakuja kuelewa nini nanasema lakin wewe hata sihitaji uelewe"), Kwa heri mkuu!

Kibuja, wewe acha tu. Hapa kuna watu akili zimeingia maji. Hawajui personal life na social life ya mtu, hawajui uwezo na sifa za utndaji, wanadhani mila na taratibu za familia zao ndiyo sheria za dunia nzima. Wanadhani connections, communications na associations ni anasa au ujinga; Ninadhani watu kama hao, hata hawezi kumpa mtoto wake simu!. Ili mradi ni songombingo. Saa suala la mke kuchat face book, kujipatia mtandao wa marafiki, kuongea kwenye simu, ni jambo la kuhoji kweli mtu na akili zake?

Unashindwa kuelewa napokwenda mbele eti hujui anaongea nini!. Jamani hivi watu kama hawa mnajadil nini? Ndiyo maana mimi nikiona kichwa hakina mbegu, halafu mtu mbishi hataki kueleweshwa na hna hoja, nazuia kujadili nao kwa sababu ni kupotezeana muda. Na isitoshe watu kama hao, hata kuelewa ndiyo tabu na wako defensive kiaina kwamba anataka aonekane anajua.

Dunia mchanganyiko.

Hivi kumbe ku chat ni dhambi???ulitaka apige simu maana kama anachat unaweza kuona anachat issue gani. Tuache udhalilishaji na personal attacks tujikite kwenye hoja
 
Kwa kweli kama uelewa wako mkuu ni kujibu kwa kutukana watu, naomba ubaki na elimu yako siihitaji.

Ninachojua Tanzania haina sera ya kubadilisha watu kwa misingi ya dini ila ikitokea ni coincidence ambayo haihitaji kudekezwa kwa sababu ipo siku itatunyima kiongozi safi na mwenye sifa zote kwa sababu tu si zamu ya dini yake.

Lakini kwa matusi yako, hufai kuwa mwalimu wangu naomba ubaki na siri na elimu yako ya juu!.

(Uelewa wa chini saaaaana. Ninajua kuna watu wenye IQ kubwa watakuja kuelewa nini nanasema lakin wewe hata sihitaji uelewe"), Kwa heri mkuu!
Poa poa mkuu kwa hiyo umeridhia kubaki na ujinga kichwani mwako ?
 
Ni kweli kuwa Dr. Slaa ana ushawishi mkubwa kwenye siasa ya TZ kuliko Lipumba, kwanza Lipumba amegombea nafasi ya madaraka ya Rais mara nne, na 2010 alizidiwa na Slaa ambae ndo alikuwa anagombea kwa mara ya kwanza. Kuna vigezo vingine kama ushawishi wa chama fulani kitaifa ambapo Chadema imeacha CUF kwa point kwa ninavyoona. Kwahiyo kuna gharama (sio fedha)za kushawishi wananchi mfano kama UKAWA watampitisha Lipumba.

Tukianza kuchambua nani ataathirika zaidi iwapo UKAWA itavunjika, kiukweli wote wataathirika katika kipindi hiki kifupi hasa kwenye nafasi ya Urais, kusubiri baada ya mikaka mitano ni kitu ambacho sidhani kama hivi vyama vinahitaji sasa hivi, ukizingatia Lipumba ameshatamka kuwa atakubaliana na mgombea atakaesimamishwa na UKAWA hata kama sio yeye.

Utaratibu wa kubadilisha Rais kwa kigezo cha dini? hamna utaratibu kama huo kiuhalisia,na kama kuna mtu anang'ang'ania kuwa upo, labda, ila sina uhakika kama CCM walijiwekea utaratibu huo kwakuwa walifikiri watakuwa madarakani milele au?

Elimu ni kigezo muhimu kwa nafasi ya Urais, Ubunge hata Udiwani. Elimu ya Phd(Doctoral Degree) na Professor ambayo ni nafasi ya juu kitaaluma zote hupatikana baada ya kuchapisha tafiti kulingana na eneo anakopenda mtu. Kwa kawaida hizo Elimu za juu kabisa ni kwa wale wanaotaka kujikita zaidi kwenye taaluma (Academics) na Utafiti (Research) na sio siasa.Kwakuwa wenye kiwango hicho cha taaluma wameamua kujikita kwenye siasa, kwa sababu siasa ni meli kubwa, sidhani kama ni sahihi kusema Lipumba hafai na kusema anafaa kutumikia nafasi nyingine ukilinganisha na Slaa, na kwamba Slaa ana 'advantage' kwa sababu yeye sio Professor.

Naamini UKAWA watamsimamisha Slaa na sio Lipumba, kwa kuangalia matokeo ya urais 2010,matokeo serikali za mitaa kitaifa kwa kila chama, halafu pia naamini hata wao wanafanya 'inteligensia' ya mwelekeo wa kisiasa nchini
 
Slaa ni rais acheni ubishi hamuoni kura maoni anakimbizana na sir edo?
 
Nchi hii haiwez kuongozwa na Padre hata siku moja.

Wewe jiandae kurudi kwenu burundi huyo ndo raisi mtarajiwa tumeshachoka kuongozwa na waislamu najua una hasira za kukosa mahakama ya kadhi pole sana bado waislamu mna imani na ccm
 
Hii nchi ina laana eti wagombea urais huku EL mgonjwamgonjwa, mwizi na huku Slaa naye mgonjwamgonjwa, mchepukaji
Hatuna msafi, mkakamavu? (kama mimi?)
Ujingaujinga tuuu..
 
Ndivyo anavyowadanganya Gwajima huko kanisani??

Teh teh teh

Kumbe ndiyo maana Dr Slaa anashinda kwa yule muhuni mwenzake gwajima anadhani anaweza pewa muujiza wa kuwa Rais wa nchi hii??

Teh teh teh.

Mmefeli kanisani kuongoza kondoo wa bwana mtaweza kuongoza nchi??

Nyerere alishindwa.

Mkapa ufisadi hadi anajiuzia migodi kwa bei ya kutupwa.

Kwenye escrow ndiyo usisemee hadi kanisa limechota pesa za walalahoi.

Hatari sana

Kuendekeza dini sio kuzuri sana lakini tuwe wakweli, maisha ya watanzania yalikuwa na afadhali kipindi cha marais wakristo kuliko waislamu.
Hebu tuangalie,
Nyerere aliitoa nchi utumwani na akafanikiwa kuweka misingi mizuri ya uchumi, maadili na umoja wa kitaifa, alipoingia Mwinyi akaharibu. Watu walitaabika pesa wanayo lakini hakuna cha kununua. Ufisadi ulikuwa kipandi kile ila ulipewa jina la ulanguzi.
Mkapa kaimarisha uchumi wa nchi, bei za vitu hazikuwa zinapanda ovyo ovyo, hata shilingi ya Tanzania ilikuwa na thamani kidogo, Alichofanya Kikwete sihitaji kuandika maana kila mmoja wetu anajua na ameona;katurudisha tulikotoka.
Kwa kutumia kigezo cha dini, Tanzania inahitaj rais Mkristo sasa na siku zote. Kila binadamu ana makosa na mapungufu lakini ya wengine yamezidi.
Kigezo cha kwanza cha kumchagua rais kwangu mimi ni dini, awe Mkristo.
 
ndo ipo ivyo hawa CDM kama unataka waivuruge UKAWA wasipewe nafasi ya urais ujue hapatosh
 
Back
Top Bottom