Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
huu ndo mtazamo wako na uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.Habari ndiyo.
Slaa akaanzishe kanisa na rafiki yake gwajima.
Nchi hii haiwezi kuongozwa na padre hata siku moja.
huu ndo mtazamo wako na uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo.Habari ndiyo.
Slaa akaanzishe kanisa na rafiki yake gwajima.
Nchi hii haiwezi kuongozwa na padre hata siku moja.
View attachment 241629Kama nchi hii tuh ilipoongozwa na muislam Kanisa katoliki na maaskofu wake kina kilaini kupitia mkombozi bank mmeliibia taifa.
Akichukua nchi hii mkristo tena mkatoliki si mutaifilisi kama alivyofanya mkapa??
Hamna maana nyinyi.
teh teh teh
uwiii.
We kafiri wee hebu wacha maneno yako ya nuksi.
Nyerere gani alielitoa taifa hili utumwani??
Wapigania uhuru wa taifa hili ni waislam hilo liko wazi.
Kanisa lilikuwa chini ya wakoloni lingeweza vipi kudai uhuru.
Huyo nyerere enz za utawala wake watu walikuwa wanavaa kaniki kwa kukosa nguo.
Hadi sukari walikuwa wanapanga foleni kununua.
Mwinyi alipokaja mzee wa ruksa akafungua milango ya uwazi na uchumi huria pesa ikaanza kuonekana na mahitaji kupanuka.
Acha kabisa kuongea utumbo nyerere alikuwa balaa yule.
Haya sasa tuje kwa mkapa.
Ujio wake chini ya waziri wake wa elimu joseph mungai ndiyo ukawa mwanzo wa kufa kwa elimu ya nchi hii.
Kuanzia msingi sekondari hadi chuo kikuu.
Enzi hizo hizo za mkapa na sera zake za uwekezaji tukaona watu wanauzians migodi ya nchi hii kwa bei ya kutupa kabisa na wizi na ufisadi wa meremeta buzwagi na haya ya richmond yameanzia kwa mkpa fisadi yule.
Hadi migodi kajiuzia yeye na familia yake.
Then uje utuambie kwamba nchi hio bora atawale mkristo??
Mkristo gani wa nafuu katika nchi hii??
Nyinyi si ni wezi tu??
Ni kweli mkuu Slaa alishinda ule uchaguzi ila kwa kuwa tume husika ya uchaguzi wote wale wafanyakazi ni ma-ccm, kwa akili ya kwaida kabisa bila hata kwenda darasa la kwanza unategemea wangeweza kumtangaza Slaa kuwa rais ?. Ndiyo maana tunakomaa sana kuwepo na tume huru ya uchaguzisisi kina gogo la shamba hatutoshangaa kwani kipindi kilichopita alishinda ccm wakachakachua
Hii thread nimeanzisha ili kuwajulisha na kuwatia moyo waliokata tamaa na mambo ya kihuni yanayofanywa na ma-ccm, kwa sasa UKAWA wameshajipanga kwa kila kitu licha ya kwamba ma-ccm yantumia kila mbinu kudhoofisha upinzani kama vile kuanzisha chama cha ACT, hiyo ni mbinu na mkakati mkali wa ccm kupunguza kula za upinzaniKama una uhakika hii thread ya nini? Tunajadili nini wakati ukweli waujua? Tulia kijana acha kuwa pacha wa wenye nyota zao za kutabiri!!!!!
Ni bora ya Slaa kuliko wa sasa waliopo ikulu, hawana tofauti na vibaka ila tofauti ni kwamba wao wanavaa suti. Nchi gani gani hii miaka 50 haina dira yoyote ndio kwanza umaskini unazidi kulindima kitu kinacho sababisha mpaka mauaji ya watu wasio na hati. Ninyi mliopo kwenye nafasi nzuri kidogo hamwezi kuona uchungu wa ugumu wa maisha kwa watu wengine, una uhakika wa kula vizuri, kusomesha watoto vizuri, hauna ndugu albino hivyo hata haya mauaji hayakuumi kitu. Nawashangaa sana wnaotetea ma-ccmMzee Slaa atakuwa Rais wa UKAWA, sio Rais wa Tanzania. Tanzania ya sasa haihitaji mtu aina ya Slaa.
Napenda kutoa maoni yangu kwa muungano wa UKAWA..Msilogwe wala msijaribu kupitisha mtu badala ya Dr Slaa kwenye urais!
kwenye kikao cha ndani cha profesa lipumba na viongozi wa CUF hapa Nzega juzi katuambia CUF itasimamisha madiwani kata zote nchini,wabunge majimbo yote nchini,na mgombea urais baada ya kuona hakuna nia njema UKAWA....
Kamwe ikulu haendi Padri!
Kamwe ikulu haendi Padri!
mmezoea kupeleka mafisadi ndo maana ya mazoea. mazoea taabu nduguKamwe ikulu haendi Padri!