Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Hiyo ruzuku unayosema imeliwa ndio hiyo inayowapa kicha sasa hivi maana Kila kijiji tupo watanzania wanapata Neno la UkomboziMaliza la ufisadi wa Ruzuku mnayopewa na Serikali ya
Ccm Ukimaliza ndo uje hapa!
Mlitaka muolewe nyie?
unatafuta ban wewe au unaitaka kwa lazima nini?
unaweweseka muosha magari ya CDM! Au wewe hujapiga Ruzuku mnayopewa na Serikali ya Ccm?
Mkuu The Big Boss, hili nililiona siku nyingi, niliwashauri hivi jamaa zangu wa Chadema,Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa
mzee wangu kwa ushauri tu,kama mnaipenda tanzania yetu aka taifa letu basi safari hii tuipeleke ikulu kwa wapinzani
tumika tu muulize ile ndoto ya 2010 kama kaisahau, na this time ccm wana hasira na nyie kisa mmejiunga ukawa wana makombora ya kuwapiga kwa mpigo na mtakufa kwa pamoja kisha wanawatawala milele! Teh teh teh ni sheedah sipati picha mna yoweweseka mkiwasikia ccm
kila kitu si wanasingizia kuhujumiwa, na ukawa wameanza kuvutana wameshaanza kuisingizia ccm na nikuambie tu ccm wana hasira sana na ukawa na this oktoba wataipa kipigo cha mwizi na kuitawala milele ukawa wanafanya maigizo tu wote wale ni watumishi watiifu wa ccm
nachokupendeaga ni hapa tu!
kwahiyo wewe ccm kutaawala milele ni furaha kwako na sio kutuletea maendeleo.. Wahurumie hata ndugu zako wanaokosa dawa hospitalini. Hii bahati uliyoipata kushinda humu jf usiitumie vibaya.
we kijana ntwara kwemaa...!
-tumia akili kuandika post zako na siyo makalio!
Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa
Mkuu The Big Boss, hili nililiona siku nyingi, niliwashauri hivi jamaa zangu wa Chadema,
[h=3]Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target,[/h]Japo niliishia kubezwa, lakini hizi ni hard facts!.
Pasco
Mkuu The Big Boss, hili nililiona siku nyingi, niliwashauri hivi jamaa zangu wa Chadema,
Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target,
Japo niliishia kubezwa, lakini hizi ni hard facts!.
Pasco
Sababu?Unani:confused2::confused2:
Dr slaa ndio rais wangu ajaye.
Kura yangu anayo,!!
Sina lengo la kupinga but kuna kitu hakizungumzwi wala kutazamwa sana
idadi ya kura alizopata DR Slaa......mwaka 2010....
watu wanasahau kuna watanzania wengi zaidi hawakupiga kura kabisa..
why hawakupiga kura na walijiandikisha....hilo swali lina maana kuubwa
walijiandikisha milioni 22 waliopiga kura hawakufika hata milioni 12
waliompigia DR Slaa hawakufka milion 6...
kuna kitu hapo kikubwa
waonyesha unamapenz ya kweli atii:A S 109:
Je unajua kuwa Konyagi ni gongo kiwanda chake kiko mitaa ya viwanda ya Chang'ombe? Hicho kiwanda ni wazo la Slaa? Umri wa kiwanda hicho si zaidi ya umri wako,? Ni rekodi ipi unadhani imevunjwa ?
usitudanganye hapa onyesha kadi yako mpya tuone tuamini