MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Huwezi kutupangia wa kumsimamisha. Sisi tumemchagua Lowasa ndo apeperushe bendera yetu ya ukawa
Vizuri kumsimamisha asie simama mtamshikiria mpaka mchoke
Huwezi kutupangia wa kumsimamisha. Sisi tumemchagua Lowasa ndo apeperushe bendera yetu ya ukawa
Leo ndio mmelijua hilo
Lowasa ana hoja zii za kupambana na Tingatinga?
hahahahaaahaa kokoto zinazozungumza zinatuchagulia rais.Naona ng'ombe magamba yamechamama ka viazi kokotoo
Mtumwa tu wewe,watu wanatoka somalia lakini hawaoni aibu kujitambulisha.Mmeharibu nchi hadi twaona aibu kujitambulisha kwa marafiki zetu wa nchi mbalimbali kw mimi natoka Tz mmekaa kufarijiana kwa maovu
ujembe ni tofauti na urais..tunahitaji rais na siyo jembe...Magufuli ni jembe jamani,pale rais tumepata anasubiri kuapishwa tu.
Tangia bwana yako ben kakukaririsha huo upumbavu basi imekuwa keroooo. Hata hoja huns tena.Sasa unafikiri malofa na wapumbavu wameliona hilo?
Toka jana baada ya mkutano wa CCM pale jangwani na hasa baada ya magufuli kumaliza speech' Kila kona ninayo pita mjadala umekuwa magufuri wananchi wanamuona kama mkombozi wa taifa' Hawataki kusikia kabisa jina Lowassa kutokana na kashifa alizonazo na kifisadi pamoja na kukumbatiwa na matajiri pamoja na afya yake imekuwa tatizo kwani sio siri kwa sasa kila mtanzania ajua lowassa ni mgonjwa na hata weza kupambana na magufuri ambaye anaonekana yuko fiti kila idara.
Zaidi hapo bado wanaendelea kumkumbuka dk slaa kama mtu ambaye angeweza kupambana na magufuri kwani wote wanao uwezo wa kuongea na kujenga hoja tofauti ya sasa ya Lowassa ambae anatakiwa kubebwa katika speech kila sehemu anayokwenda na hawezi kuongea zaidi ya dk 15.
Kama umerukwa na akili vile..
Moja: Lowassa si fisadi kama wengi mnavyofikiri. Sisi tulimwita fisadi kwa sababu ya Richmond. Ila ukweli wa Richmond tunaujua na tunamjua nia nani aliwaleta hao wababaishaji, waliletwa na mbabaishaji mwenzao. EL alitaka kuwatimua mapema mno lakini alizuiwa.
Mbili: Kampeni zetu hatutaruhusu matusi kama mheshimiwa mmoja alivyofanya jana, watu wanasubiri ije serikali nyingine tumuulize yaliyotokea mgodi wa Kiwira, tuone ni nani mpumbavu na lofa.
Tatu: Jana uswahilini watu walikuwa wanaangalia mpira na si upuuzi wa kampeni za CCM, wingi wa watu wa Jangwani waliletwa kutoka Kisarawe, Kibaha, Mlandizi, Chalinnze na Bagamoyo
ujembe ni tofauti na urais..tunahitaji rais na siyo jembe...