Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
- Thread starter
- #61
Ngoja kwanza, kwani mamvi anaumwa nn ??
Wingi si hoja Ndio. Watu wana uhakika gan, ule umati wote jangwani jana uta vote for CCM ??
Wasanii watakula wapi wakikataa offer za magamba ?? Ivi huwa ni kwann mnafkiri watu ni malimbukeni sana ??
Mkuu inamaana hata macho huna ni ugonjwa wa kutetemeka