Slaa ndiye angeweza kupambana na Magufuli na sio Lowassa

Slaa ndiye angeweza kupambana na Magufuli na sio Lowassa

Hili mbona halina mjadala...


Imagine..!! This is MM..!!! Ama kweli akili huzeeka, na hili naliona..!! na mbaya zaidi uzeeke kwa kujiaibisha,
na status yako kuwa ya hovyo..!!

Lowassa ndio Rais...!! Tht is crystal clear...!!

Ww uko U.S.A na Dr. Mihogo wako, mtaozea huko, you will remain refugees till the end of ur days on foreign lands..!!!

Mtanyooka tu..!!
 
Magufuli kapata mgombea dhaifu kwa hoja,afya,elimu,kiutendaji,kutawala jukwaa na anayegombea kupitia genge badala ya chama.
 
Imagine..!! This is MM..!!! Ama kweli akili huzeeka, na hili naliona..!! na mbaya zaidi uzeeke kwa kujiaibisha,
na status yako kuwa ya hovyo..!!

Lowassa ndio Rais...!! Tht is crystal clear...!!

Ww uko U.S.A na Dr. Mihogo wako, mtaozea huko, you will remain refugees till the end of ur days on foreign lands..!!!

Mtanyooka tu..!!

Pole sana kwa ugonjwa
 
Toka jana baada ya mkutano wa CCM pale jangwani na hasa baada ya magufuli kumaliza speech' Kila kona ninayo pita mjadala umekuwa magufuri wananchi wanamuona kama mkombozi wa taifa' Hawataki kusikia kabisa jina Lowassa kutokana na kashifa alizonazo na kifisadi pamoja na kukumbatiwa na matajiri pamoja na afya yake imekuwa tatizo kwani sio siri kwa sasa kila mtanzania ajua lowassa ni mgonjwa na hata weza kupambana na magufuri ambaye anaonekana yuko fiti kila idara.

Zaidi hapo bado wanaendelea kumkumbuka dk slaa kama mtu ambaye angeweza kupambana na magufuri kwani wote wanao uwezo wa kuongea na kujenga hoja tofauti ya sasa ya Lowassa ambae anatakiwa kubebwa katika speech kila sehemu anayokwenda na hawezi kuongea zaidi ya dk 15.

Slaa mulio mteka na kumuweka ukwapani mwenu. Huyo ndo asingeweza kabisa.
Kama anawezena nunulika kiraihisi hivi na ccm, ni bora tulivyo mpata Lowassa.
Na kupitia lowassa ccm imekwisha na imekiona cha mtema kuni. Leo kila kona ya nchi ni Lowassa. Kazi munao kabisa mwaka huu na bado asiku nne hali ndo hii leo mwembeyanga
 

Attachments

  • 1445438812057.jpg
    1445438812057.jpg
    52.9 KB · Views: 83
Hivi Mwanakijiji kweli unadhani Slaa angeweza kumshinda Magufuli, CCM, na tume ya uchaguzi?

Wewe kweli ni eternal optimist maana hata CCJ uliamini ingeweza kabisa kushinda uchaguzi wa 2010!

mkuu umeongea jambo moja la msingi nadhan hata watanzania wanajua hilo ndo mana wanamwona Lowasa km Mkombozi wao....

kuishinda(kupata kura nyingi toka kwa wananchi) ccm ni jambo moja, lakn kutangazwa mshindi ni jambo jingine!

effect ya lowasa imetapakaa kuanzia kwa wakuu wa wilaya,mikoa, wakuu wa idara serikalin, polisi, jeshini na ktk vyombo mbali mbali vya maamuzi hapa kwetu

huyu Lowasa ana mkono mpk NEC,TISS etc, hivi dr Slaa angeweza hiyo kitu??

CDM ya dr Slaa ilkua ya kuropoka hovyo majukwaan, lakn saiz ni kimya kimya mpk CCM wenyewe wanaogopa lakn huyu mzee haoni yote haya
 
Hili mbona halina mjadala...

mzee kwel dr SLAA angeweza kuishinda NEC? POLISI? TISS? JESHI?

its very clear CCM wamepanik kwa sabb mtu wanaepambana nae anawajua nje ndani, wanajua uwezo wake ktk siasa za tz zilizojaa FITNA NA HILA..

ni MPUMBAVU TU ataamin et dr Slaa angeishinda ccm
 
Slaa kashindwa hata kupambana na kimada wake ndani ya nyumba yake mpaka akalazwa nje angemuweza Magufuli kweli?
 
Back
Top Bottom