Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

PAC ni kamati ya nan? Sio kamati ya chama ni ya bunge unataka useme wajumbe wote wa kamati walikuwa hawaoni walidanganywa hizo mbinu za ccm kuhalibu akili za watu na tunataka kusikia tamko Leo kutoka kwa prof wenu
 
A aaa,tusilazimishane kukubali kile tunachokikubali.
Wapo wengine wenye mawazo tofauti ila mawazo mengi ndiyo yatakayochukuliwa na mawazo machache hayatotukanwa.
Bila ya hivyo hakuna atakaeshinda.
 
We hukujipanga wezio wakianzisha uzi wa kipuuzi, wanakuwa tayari wameshaanda napost za kujaza ukrasa wa kwanza..zitakazo shadadia upuuzi
 
wewe mura acha kutetea wezi. je,pesa zilichukuliwa kihalali ?

Naam, pesa zilichukuliwa kihalali. Hakuna mahala katika ripoti ya CAG ilipoonesha pesa za escrow zimetolewa nje ya uhalali.

Ulitaka umeme wa bure?
 
KICHWA CHA HABARI CHA PAGE HII KIPUUZWE DR SLAA HAWEZI KUTOA KAULI YA KIPUUZI YA NAMNA HIYO HUU NI UCHONGANISHI WA WAZIWAZI,chadema siamini eti inaweza kufanya kwa maksudi ili eti kukomoa watanzania la hasha cdm ni kipenzi cha wanyonge na waliokata tamaa na wasio na msaada popote
 
Mwizi ni mwizi tu msitake kufanya nyeusi kuwa nyeupe ccm ni wezi na mwisho wa wezi upo wazi!
 
wewe mura acha kutetea wezi. je,pesa zilichukuliwa kihalali ?

Pesa halali kabisa tusidanganyane. Vipi si halali ? Tueleze vipi sio halali.
Iptl na tanesco wana mkataba halalii na iptl wana madai yao halali katika mkataba huo.
Hakuna biashara ya bure.
Wamefanya kazi wamelipwa period.
Kina zito wakatumia suala la nani mmiliki wa iptl kuleta porojo ambazo watu waliziamini lakini wamezishtukia.
 
masikini weee !! Hivi chama chakavu kimekuwa na watetezi wachakavu namna hii ?
 
Mleta mada usijiahibishe mkuu, mimi ni mwanaCCM kinda kinda ila katika hili tunakosea sana, kumbuka hata Katibu mkuu wetu alienda China, Naibu wetu Nchemba alienda china na Merekani sasa tukianza kuhoji lengo la kila safari hatutafika tunapotaka kufika kama nchi.
 
Hata shetani akikusikia atashaanga sana atahisi kuna shetani mwingine alie kutuma zaid ya yule wa kwenu massem,ile kamati ya PAC inawajumbe 24 watano kati yao ni kutoka upinzani na 19 ni kutoka chama tawala je wao hawakulijua hilo?
 
Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.

Tujiulize hivi; Ujeruman na Uingereza viongozi wa Chadema walifuata nini? je wamesahau kama Ujeruman na Uingereza hawakuitawala Tanganyika (Tanzania kwa sasa), au wanafikiri walipenda kuondoka?. Kwa hali ilivyo sasa katika Nchi hizi mbili na misimamo yao isiyo na hasara yoyote kwetu ni kama vile walipelekewa taarifa ya uongo na kuaminishwa kuwa ni ya ukweli bila kuifanyia uchunguzi kisha wakakimbilia tamko.

Nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa kukataa Ukoloni mambo leo unaotakakuja kwa mgongo wa Ki-siasa, na kusema bora tule mlenda kwa ugali wa mtama kuliko kudanganywa na kuaminishwa, ili kuamini hayo angalia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kama kweli swala la ESCROW lingekuwa sahihi na lilivyo bichi kabisa basi Serikali ingeanguka kwani hata Rais hajatoa tamko lolote imekuwa hivyo je angekuwa amechukuwa maamuzi matokeo si yangekuwa zaidi ya hapo?.

KAFULILA kadanganya Umma na kuutapeli kwa mgongo wa Zitto Kabwe, kwani swala hili lilitoka kwa Nimrod Mkono na Kumtaarifu Zitto baada ya kuona amenyang'anywa tonge nono, Zitto akapima upepo akaona yeye hataamika kwa sababu anamgogoro na Chama chake akaamua kumtwishwa mzigo huo Kafulila na kumwahidi atamwokoa Bungeni. Je ni nani hakuona maamuzi ya PAC jinsi yalivyojiita upande mmoja na kuwa nje ya report ya CAG na TAKUKURU?. Mliona kabisa Wabunge walivyokuwa wakihoji maamuzi yale lakini mwisho wa siku Mboye kama kawaida yake akatakakuhamasisha Wafuasi wake Bungeni wagomee majadiriano ndipo wenye busara wakakuli yaishe na kufanyia marekebisho kisha kumwachia Rais.

Hivi PAC ni Bunge au ni Kamati ya Bunge?
kaka hatudanganyiki tena ila Natumaini kuwa Mwenyezi Mungu hatatuacha sisi watoto wake tuteseke kabisa.
Iko cku ina kuja kama sio mapema ila itakuwa wakati tutafutwa machozi na machungu haya.

Gramps Morgan - Wash All The Tears lyrics

We shall be alright, yea yea
Don't you cry
Don't you cry, yea

Cause jah shall wash away
All the tears from my eyes
In times when the storms
And the tides are raging high
We know we shall win, yea
We know well survive, yea
Jah shall wash away all the tears oooo,

In this time of destruction
We must hold on firm
We got to get along
Been over hurdles all of the mountain tops forward on we all are marching on we say

Jah shall wash away
All the tears from my eyes
In times when the storms
And the tides are raging high
We know we shall win
And We know well survive, yea
Jah shall wash away all the tears, ya-ay

We know we must win the fight, ohh
When the wicked try come and eat up on I flesh
We know that jah
He is the best
Over trials and tribulations

Because jah shall wash away
All the tears from my eyes
In times when the storms
And the tides are raging high
We know we shall win
And We know well survive, yea
Jah shall wash away all the tears

We keep on fighting
And fighting, ay
Gainst the wicked in high and low places
No matter what they do
No matter they try
I and I we shall overcome

Because jah shall wash away
All the tears from my eyes
In times when the storms
And the tides are raging high, yea ah
We know we shall win
And We know well survive, yea
Jah shall wash away all the tears

Because jah shall wash away
All the tears from my eyes
In times when the storms
And the tides are raging high
We know we shall win
We know well survive, yea
Jah shall wash away all the tears

Oh jah shall wash away all the tears
 
aifanye nchi istawalike? aataweza kweli huyu paroko?
 
Hata shetani akikusikia atashaanga sana atahisi kuna shetani mwingine alie kutuma zaid ya yule wa kwenu massem,ile kamati ya PAC inawajumbe 24 watano kati yao ni kutoka upinzani na 19 ni kutoka chama tawala je wao hawakulijua hilo?

ili kupata jibu,acount za wajumbe wote wa PAC zichunguzwe
 
Hakuna ulichoandika ccm inakufa na hili swala la escrow.kama lingekuwa sio la kweli kwa nini wahisani wasitishe misaada?mjinga wewe na endelea kuipigia debe ccm kwa sababu ndugu zako hawajakosa mikopo shuleni wala haujaenda hosipitali ukakosa dawa au ndugu zako,utajajuta na hii kauli yako ya kipumbavu
 
Waingereza na wenzao ni mabepari ambao kitendo chochote cha kutaka kupima hatua hususan katika nishati si jambo jema kwao. Kama tusipokuwa making na kujua dhahiri maslahi yetu kama Haifa yako wapi tutakuwa tunayumbishwa mila siku na migogoro feki.
 
Naam, pesa zilichukuliwa kihalali. Hakuna mahala katika ripoti ya CAG ilipoonesha pesa za escrow zimetolewa nje ya uhalali.

Ulitaka umeme wa bure?
tatizo langu ni : yako yapi maamuzi ya mahakama ya uhalali wa iptl kulipwa hizo pesa?
 
Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.

Tujiulize hivi; Ujeruman na Uingereza viongozi wa Chadema walifuata nini? je wamesahau kama Ujeruman na Uingereza hawakuitawala Tanganyika (Tanzania kwa sasa), au wanafikiri walipenda kuondoka?. Kwa hali ilivyo sasa katika Nchi hizi mbili na misimamo yao isiyo na hasara yoyote kwetu ni kama vile walipelekewa taarifa ya uongo na kuaminishwa kuwa ni ya ukweli bila kuifanyia uchunguzi kisha wakakimbilia tamko.

Nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa kukataa Ukoloni mambo leo unaotakakuja kwa mgongo wa Ki-siasa, na kusema bora tule mlenda kwa ugali wa mtama kuliko kudanganywa na kuaminishwa, ili kuamini hayo angalia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kama kweli swala la ESCROW lingekuwa sahihi na lilivyo bichi kabisa basi Serikali ingeanguka kwani hata Rais hajatoa tamko lolote imekuwa hivyo je angekuwa amechukuwa maamuzi matokeo si yangekuwa zaidi ya hapo?.

KAFULILA kadanganya Umma na kuutapeli kwa mgongo wa Zitto Kabwe, kwani swala hili lilitoka kwa Nimrod Mkono na Kumtaarifu Zitto baada ya kuona amenyang'anywa tonge nono, Zitto akapima upepo akaona yeye hataamika kwa sababu anamgogoro na Chama chake akaamua kumtwishwa mzigo huo Kafulila na kumwahidi atamwokoa Bungeni. Je ni nani hakuona maamuzi ya PAC jinsi yalivyojiita upande mmoja na kuwa nje ya report ya CAG na TAKUKURU?. Mliona kabisa Wabunge walivyokuwa wakihoji maamuzi yale lakini mwisho wa siku Mboye kama kawaida yake akatakakuhamasisha Wafuasi wake Bungeni wagomee majadiriano ndipo wenye busara wakakuli yaishe na kufanyia marekebisho kisha kumwachia Rais.

Hivi PAC ni Bunge au ni Kamati ya Bunge?
Kwa tarifa wananchi ndio watasema basi maana hiki kini macho cha kila mwaka mnachokifanya kwenye hiki Chama Cha Mchwa, umma wa watanzania wamechoka nawanaitaji mabadiliko nanuku kauli ya Baba wa Taifa ( Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM basi watayapata nje ya CCM) mwishi wa kunuku na nje ya ccm ni ukawa nawatanzania wanasema ndio kwa ukawa
 
Back
Top Bottom