Zeinthebigboss
Member
- Dec 1, 2014
- 6
- 5
hahahahha
Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.
Tujiulize hivi; Ujeruman na Uingereza viongozi wa Chadema walifuata nini? je wamesahau kama Ujeruman na Uingereza hawakuitawala Tanganyika (Tanzania kwa sasa), au wanafikiri walipenda kuondoka?. Kwa hali ilivyo sasa katika Nchi hizi mbili na misimamo yao isiyo na hasara yoyote kwetu ni kama vile walipelekewa taarifa ya uongo na kuaminishwa kuwa ni ya ukweli bila kuifanyia uchunguzi kisha wakakimbilia tamko.
Nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa kukataa Ukoloni mambo leo unaotakakuja kwa mgongo wa Ki-siasa, na kusema bora tule mlenda kwa ugali wa mtama kuliko kudanganywa na kuaminishwa, ili kuamini hayo angalia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kama kweli swala la ESCROW lingekuwa sahihi na lilivyo bichi kabisa basi Serikali ingeanguka kwani hata Rais hajatoa tamko lolote imekuwa hivyo je angekuwa amechukuwa maamuzi matokeo si yangekuwa zaidi ya hapo?.
KAFULILA kadanganya Umma na kuutapeli kwa mgongo wa Zitto Kabwe, kwani swala hili lilitoka kwa Nimrod Mkono na Kumtaarifu Zitto baada ya kuona amenyang'anywa tonge nono, Zitto akapima upepo akaona yeye hataamika kwa sababu anamgogoro na Chama chake akaamua kumtwishwa mzigo huo Kafulila na kumwahidi atamwokoa Bungeni. Je ni nani hakuona maamuzi ya PAC jinsi yalivyojiita upande mmoja na kuwa nje ya report ya CAG na TAKUKURU?. Mliona kabisa Wabunge walivyokuwa wakihoji maamuzi yale lakini mwisho wa siku Mboye kama kawaida yake akatakakuhamasisha Wafuasi wake Bungeni wagomee majadiriano ndipo wenye busara wakakuli yaishe na kufanyia marekebisho kisha kumwachia Rais.
Hivi PAC ni Bunge au ni Kamati ya Bunge?
Sasa wewe ndiyo tumbili kabisa ulichoandika zubeda hawezi kuandika hivi.Usituchoshe bure wewe na ngonjera zako zisizokuwa na kichwa wala miguu! Akili yako haina akili! Tunachojua ni kwamba Tumbili (David Kafulila) alimkamata mwizi (Fredrick Werema) kisha akamfukuza kazi period. Nini maana yake Kama Escrow ni uzushi, hila na uongo??!! Bs.
Kwani wewe unadhani hizo hela siyo za Iptl au ulitaka alipwe mengi au mkono?tatizo langu ni : yako yapi maamuzi ya mahakama ya uhalali wa iptl kulipwa hizo pesa?
Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.
Tujiulize hivi; Ujeruman na Uingereza viongozi wa Chadema walifuata nini? je wamesahau kama Ujeruman na Uingereza hawakuitawala Tanganyika (Tanzania kwa sasa), au wanafikiri walipenda kuondoka?. Kwa hali ilivyo sasa katika Nchi hizi mbili na misimamo yao isiyo na hasara yoyote kwetu ni kama vile walipelekewa taarifa ya uongo na kuaminishwa kuwa ni ya ukweli bila kuifanyia uchunguzi kisha wakakimbilia tamko.
Nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa kukataa Ukoloni mambo leo unaotakakuja kwa mgongo wa Ki-siasa, na kusema bora tule mlenda kwa ugali wa mtama kuliko kudanganywa na kuaminishwa, ili kuamini hayo angalia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kama kweli swala la ESCROW lingekuwa sahihi na lilivyo bichi kabisa basi Serikali ingeanguka kwani hata Rais hajatoa tamko lolote imekuwa hivyo je angekuwa amechukuwa maamuzi matokeo si yangekuwa zaidi ya hapo?.
KAFULILA kadanganya Umma na kuutapeli kwa mgongo wa Zitto Kabwe, kwani swala hili lilitoka kwa Nimrod Mkono na Kumtaarifu Zitto baada ya kuona amenyang'anywa tonge nono, Zitto akapima upepo akaona yeye hataamika kwa sababu anamgogoro na Chama chake akaamua kumtwishwa mzigo huo Kafulila na kumwahidi atamwokoa Bungeni. Je ni nani hakuona maamuzi ya PAC jinsi yalivyojiita upande mmoja na kuwa nje ya report ya CAG na TAKUKURU?. Mliona kabisa Wabunge walivyokuwa wakihoji maamuzi yale lakini mwisho wa siku Mboye kama kawaida yake akatakakuhamasisha Wafuasi wake Bungeni wagomee majadiriano ndipo wenye busara wakakuli yaishe na kufanyia marekebisho kisha kumwachia Rais.
Hivi PAC ni Bunge au ni Kamati ya Bunge?
Hahahahhh!!eti huyu mkurya?
Kweli watanzania bado ni wagumu kueleweshwaNaam, pesa zilichukuliwa kihalali. Hakuna mahala katika ripoti ya CAG ilipoonesha pesa za escrow zimetolewa nje ya uhalali.
Ulitaka umeme wa bure?
Unavyoeleza kiajabu ajabu inaonyesha una hali ngumu sana. Vipi maji yamefika shingoni Mura? Tulia hapo hapo, kikombe cha maji kimoja umepata tarehe 14/12/2014. Cha pili na cha mwisho kinakuja 31/10/2015.Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.
Tujiulize hivi; Ujeruman na Uingereza viongozi wa Chadema walifuata nini? je wamesahau kama Ujeruman na Uingereza hawakuitawala Tanganyika (Tanzania kwa sasa), au wanafikiri walipenda kuondoka?. Kwa hali ilivyo sasa katika Nchi hizi mbili na misimamo yao isiyo na hasara yoyote kwetu ni kama vile walipelekewa taarifa ya uongo na kuaminishwa kuwa ni ya ukweli bila kuifanyia uchunguzi kisha wakakimbilia tamko.
Nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa kukataa Ukoloni mambo leo unaotakakuja kwa mgongo wa Ki-siasa, na kusema bora tule mlenda kwa ugali wa mtama kuliko kudanganywa na kuaminishwa, ili kuamini hayo angalia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kama kweli swala la ESCROW lingekuwa sahihi na lilivyo bichi kabisa basi Serikali ingeanguka kwani hata Rais hajatoa tamko lolote imekuwa hivyo je angekuwa amechukuwa maamuzi matokeo si yangekuwa zaidi ya hapo?.
KAFULILA kadanganya Umma na kuutapeli kwa mgongo wa Zitto Kabwe, kwani swala hili lilitoka kwa Nimrod Mkono na Kumtaarifu Zitto baada ya kuona amenyang'anywa tonge nono, Zitto akapima upepo akaona yeye hataamika kwa sababu anamgogoro na Chama chake akaamua kumtwishwa mzigo huo Kafulila na kumwahidi atamwokoa Bungeni. Je ni nani hakuona maamuzi ya PAC jinsi yalivyojiita upande mmoja na kuwa nje ya report ya CAG na TAKUKURU?. Mliona kabisa Wabunge walivyokuwa wakihoji maamuzi yale lakini mwisho wa siku Mboye kama kawaida yake akatakakuhamasisha Wafuasi wake Bungeni wagomee majadiriano ndipo wenye busara wakakuli yaishe na kufanyia marekebisho kisha kumwachia Rais.
Hivi PAC ni Bunge au ni Kamati ya Bunge?
Habari ya mjini sio hela ya umeme bali ni hela ya capacity chargesNaam, pesa zilichukuliwa kihalali. Hakuna mahala katika ripoti ya CAG ilipoonesha pesa za escrow zimetolewa nje ya uhalali.
Ulitaka umeme wa bure?
Hivi una akili sawa sawa wewe? Tena naomba ubadilishe jina lako upesi, unatudhalilisha sisi watu wa eneo la akina Tata Mura.Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.