FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Una hoja gani wewe changu?
Umeishiwa? changu ni la zamani sana huna jipya?
Una hoja gani wewe changu?
Hivi unafanyia wapi biashara zako kwa hapa Mwanza? NI MAKOROBOI,VITUNGUU AU VILLA PACK?
Huyu silaha anapenda sana neno kutotawalika. Ashindwe na alegee.KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa makini na kuchukua hatua za haraka kurejesha amani kabla Watanzania hawajaishiwa uvumilivu na utawala wa serikali yake.
Dk. Slaa amesema kuongezeka kwa matukio ya matumizi ya nguvu ya dola katika kulinda uhalali wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi cha kufikia hatua ya kuua watu wasiokuwa na hatia, yanadhihirisha kuwa muda si mrefu ujao nchi itakuwa haitawaliki tena ikiwa Kikwete ataendelea kufumbia macho mauaji hayo.
Akifungua Ofisi ya Baraza la Vijana wa chama hicho (Bavicha) Mtaa wa Togo, Dar es Salaam jana, Dk. Slaa alisema kuwa mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola chini ya serikali ya CCM kupitia kwa viongozi wake hususan Jeshi la Polisi, hayawezi kuvumilika tena na yanawasukuma wananchi kufikia mwisho wa uvumilivu.
Alisema sasa kuna dalili zote za wazi zinazotishia amani na mustakabali wa nchi na watu wake, zikiifanya nchi isitawalike, na wala serikali haiwezi tena kukwepa lawama za kuhusika na mauaji ya wananchi, na kutolea mfano wa tukio la kutwangwa risasi kwa watu wanne wasiokuwa na hatia waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kulindwa na serikali yao mkoani Ruvuma mapema wiki hii.
Dk. Slaa akizungumza kwa uchungu alisema mauaji ya Songea yalitokana na uzembe wa hali ya juu wa viongozi wa serikali na vyombo vya dola ngazi ya wilaya na Mkoa wa Ruvuma.
Napenda kutoa kauli juu ya mauaji dhidi ya raia yaliyofanywa na Jeshi la Polisi huko Songea. Kwa taarifa nilizonazo, mauaji yale yametokea kwa sababu ya uzembe wa hali ya juu na ufinyu tu wa akili ya viongozi, akiwamo mkuu wa Mkoa na polisi wale. Hivi unawaambiaje raia wenye uchungu na vifo vya wananchi wenzao, waliojikusanya na kuamua kuandamana kudai haki, eti wachague kiongozi wa kuonana na mkuu wa mkoa, alisema.
Aliitaka serikali kuunda tume huru ya kuchunguza mauaji hayo ya Songea na kudai kuwa hakuna uhalali wowote wa viongozi wa serikali wa mkoa ambao ni watuhumiwa wa mauaji hayo kuunda chombo cha kuchunguza.
Tunawapongeza wananchi na hasa vijana wa Songea kwa kuandamana kudai haki. Tunataka ufanyike uchunguzi huru juu ya mauaji hayo, yatakayoihusisha mahakama (Korona) na mkuu wa mkoa na polisi hawana uhalali wa kuunda tume za kuchunguza kwani wao pia ni watuhumiwa katika tukio hilo, alisema.
Katibu mkuu huyo wa CHADEMA alilaani tukio la juzi usiku, ambapo polisi katika mji wa Tunduma wanadaiwa kushusha bendera za chama hicho katika maeneo mbalimbali ya mji huo.
Alisema kitendo hicho ni uchokozi tosha kwa CHADEMA na kimelenga kuleta fujo nyingine zinazoweza kuleta uvunjifu wa amani.
Niliwasiliana na Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, pia mkuu wa mkoa, niliwaambia mimi sipendi kugombana nao kwa masuala ya hovyo kama hayo, tupo kwa mujibu wa sheria, bendera zetu zinatokana na kodi za Watanzania, wakasema eti zingine ziko sokoni, nikawauliza za CCM huwa zinawekwa wapi?
Watu hawana maji, hawana zahanati, elimu inashuka, mkuu wa wilaya hajawahi kuamuka usiku, lakini kwenye kushusha bendera za CHADEMA wanaamka usiku wa manane, alisema.
Alitumia wasaa huo kuwataka vijana wa CHADEMA wasimamie haki na kupinga dhuluma na uonevu popote pale wanapofanyiwa Watanzania na wahakikishe wanajua kinachoendelea katika maeneo ya Songea na Tunduma ili chama hicho kijue hatua za kuchukua.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche, mbali ya kumshukuru Dk. Slaa na makao makuu ya chama hicho kwa kuwawezesha kuwa na ofisi yao, alisema kuwa watakuwa mstari wa mbele kusimamia malengo ya chama hicho hasa katika kutetea haki za Watanzania, kudai uwajibikaji wa viongozi na serikali kwa wananchi, pia kulinda rasilimali za taifa.
Alisema kuwa vijana watakuwa mstari wa mbele katika vuguvugu la mageuzi yanayoendelea nchini, akisema kuwa ofisi hiyo itakuwa sehemu sahihi ya kuendeshea mipango ya ukombozi wa taifa ambalo pamoja na utajiri wa rasilimali za kila aina, bado wananchi wake wanaishi katika umaskini wa kupindukia.
Huyu silaha anapenda sana neno kutotawalika. Ashindwe na alegee.
Kwa asilimia za ujinga uliopo Tanzania tunatakiwa kutawalia vinginevyo albino wataendelea kuuwawa, vibao vya barabarani vitaendelea kuuzwa chuma chakavu, kuku na nguruwe wataendelea kupewa ARV, mboga zitapigwa ngao, net zitavulia samaki, n.k lazima mtawala awe na akili timamu mpaka tutakapo weza kuongozwa ....ignorance rate kwa mkapa ilikuwa 47%
Nenda TISS ukawaulize si ndio nduguzo, au unataka kupima tunajua nini fact zipi inflation 19.8%, No ajira??? Fact gani tena bei tokeni bar au bei ya mchele sokoni??? Hali ye kifedha BOT??? au malipo ya wafanya kazi wa serikali tarehe 50??? fact zipi unazozitaka??? kwamba umeme mega 3000 waz scum??? au unataka kuwa njia ocean road imefungwa kuogopa kudunguliwa??? fact gani unazozitaka kwamba CIA wanamkono kwenye ulizi wa mkulu au mradi wa kigamboni haupo tena??? fact gani unazozitaka kwamba majini ya kwenye pete yameishiwa nguvu au Obama alimuuliza mbona safari zako zimekuwa nyingi hutulii kwako???
Ritz wasalimie ughaibuni halafu ili picha yako nzuri sijui wewe mwana mazingira
Hivi inakuwaje wau wachache wanakuwa na hela kushinda serikali??? mimi sielewi jamani
Hapana, tunazungumzia wale wanaosemekana kuwa "hawagusiki", "nchi itayumba" nk
Kumbuka Mungu ni wa wote.Nilimwandikia Mh. Rais waraka wa kuleta maadili mema nchini ambapo ingekuwa mwanzo mpya kama utasoma kwa ukamili attachment katika habari zangu ndani ya JF yenye kichwa MH. KIKWETE MTIKISIKO WA 4 KULIKUMBA TAIFA.
Ndani ya waraka huo wa tarehe 27/10/2012 ushauri nilioshauri utangazwe na rais ni: (Nanukuu hapa chini)
1. NJIA YA KULETA AMANI NA UTENGAMANO WA TAIFA
Mungu wa Kweli Yehova anaagiza kuwa: Ukiwa Rais na kabineti yako ya utawala na ushauri; kwa pamoja mpitishe azimio la kusamehe na kufuta kesi zote ambazo zinahusikana na migogoro ya kidini, kisiasa, uhujumu uchumi, ufisadi, migomo ya wafanyakazi, wanafunzi na hata kesi ambazo zinakabili watu ambao wamehusika katika migogoro ya kikabila na ardhi. Mungu akimaanisha watu watakao husika katika zoezi hili la kusamehewa ni katika kesi ambazo zinasimamiwa na Jamhuri siyo katika kesi zinazohusisha mtu na mtu. Pia, msamaha utahusika kwa wale wote ambao tayari wanatumikia vifungo kwa sababu ya matatizo yaliyoelezwa hapo juu, wanapaswa kufunguliwa na kuwekwa huru. Kisha, utoe tamko kwamba serikali itapitisha sheria kali hivi karibuni kwa wote watakaotenda au kusababisha matatizo mapya yaliyotajwa hapo juu.
MWAROBAINI WA KUKOMESHA MATATIZO HAYO HAPO JUU UNATOLEWA NA MIFANO MIWILI INAYOPATIKANA KATIKA BIBLIA:
i). Andiko la Luka 19:2-10 linalosema: Sasa kulikuwa na mwanaume anayeitwa Zakayo; naye alikuwa mkuu wa wakusanya kodi, na alikuwa tajiri. Basi, alikuwa akitafuta kuona Yesu huyu ni nani, lakini hangeweza kwa sababu ya umati, kwa sababu alikuwa mfupi. Kwa hiyo akakimbia mbele na kupanda mforsadi-tini kusudi amwone, kwa sababu alikuwa karibu kupitia njia hiyo. Sasa Yesu alipofika hapo, akatizama juu na kumwambia: Zakayo, shuka haraka, kwa maana leo lazima nikae katika nyumba yako. Ndipo akafanya haraka, akashuka, akamkaribisha kwa shangwe. Lakini walipoona hilo, wote wakaanza kunungunika, wakisema: Ameingia apate kukaa pamoja na mwanamume mtenda-dhambi. Lakini Zakayo akasimama na kumwambia Bwana: Tazama! Nusu ya mali zangu, Bwana mimi nitawapa masikini, na chochote nilichomnyanganya mtu yeyote kwa shitaka la uwongo nitarudisha mara nne. Ndipo Yesu akamwambia: Leo wokovu umekuja kwenye nyumba hii, kwa sababu yeye pia ni mwana wa Abrahamu. Kwa maana Mwana wa Binadamu alikuja kutafuta na kuokoa kilichopotea.
ii). Pia, andiko la 2Wafalme 6:15-23 linasema: Wakati mhudumu wa yule mtu wa Mungu wa kweli (Elisha) alipoamka asubuhi na mapema, akaenda nje, na, tazama, hapo jeshi lilikuwa limelizunguka jiji kwa majeshi na magari ya vita. Mara moja mtumishi wake akamwambia: Ole, bwana wangu! Tutafanya nini? Lakini yeye akasema: usiogope, kwa maana wale walio pamoja nasi ni wengi kuliko wale walio pamoja nao. Na Elisha akaanza kusali na kusema: Ee Yehova, tafadhari fungua macho yake, ili aone. Mara moja Yehova akafungua macho ya yule mtumishi, hivi kwamba akaona; na, tazama! Lile eneo lenye milima lilikuwa limejaa farasi na magari ya vita ya moto kumzunguka Elisha pande zote.
Walipoanza kushuka kumwendea, Elisha akaendelea kusali kwa Yehova na kusema: Tafadhali, lipige taifa hili kwa upofu. Basi yeye akawapiga kwa upofu kulingana na neno la Elisha. Sasa Elisha akawaambia: Hii siyo njia, na hili silo lile jiji. Nifuateni, na acheni niwaongoze kwa yule mtu mnayemtafuta. Hata hivyo akawaongoza kwenda Samaria.
Na ikawa kwamba mara walipofika Samaria, ndipo Elisha akasema: Ee Yehova, fungua macho yao waone. Yehova akafungua macho yao mara moja, nao wakaona; na, tazama, walikuwa katikati ya Samaria. Sasa mfalme wa Israeli akamwambia Elisha mara alipowaona: Je, niwapige, je, niwapige, baba yangu? Lakini akasema usiwapige. Je, unawapiga wale ambao wewe umewachukua mateka kwa upanga wako na upinde wako? Weka mkate mbele yao ili wale na kunywa, waende kwa bwana wao. Basi akawaandalia karamu kubwa; nao wakaanza kula na kunywa, kisha akawaacha, wakaenda zao kwa bwana wao. Na vikundi vya waporaji vya Wasiria havikurudi tena hata mara moja katika nchi ya Israeli.
Kwa hiyo maandiko yote mawili yana maana kubwa au mfano mkubwa kwa makundi yote ambayo yametajwa hapo juu ambayo yatapata msamaha wa serikali. Ni kwamba Yehova ametoa agizo la msamaha kwa sababu msamaha huo utawahukumu wahusika katika nafsi zao; kwa sababu watakapokuwa wakifikiria rehema walizotendewa, hawatarudia makosa yao ya zamani. Ndivyo alivyofanya Zakayo baada ya kumkaribisha Yesu alijisikia hatia juu ya ufisadi na rushwa alizokuwa akipokea naye akaahidi kuwalipa aliowadhurumu, kusaidia masikini n.k. Vivyo hivyo msamaha ambao serikali imetoa kwa watuhumiwa utawafanya wahusika kuwa watu wazuri katika jamii ili kulipia matendo waliyosababisha na itachochea jamii kuchukia matendo hayo. Na katika mfano wa pili, tunaona Wasiria waporaji baada ya kufanyiwa matendo mema badala ya mabaya; walipata somo kubwa sana na hawakurudi tena kuwasumbua Waisraeli, hii, ikiwa ni sehemu ya kulipia matendo mema waliyotendewa badala ya mabaya.
HITIMISHO: Ushauri huu ungefuatwa 2012 kusingekuwa na ufisadi wa Escrow au ufisadi mwingine
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwa makini na kuchukua hatua za haraka kurejesha amani kabla Watanzania hawajaishiwa uvumilivu na utawala wa serikali yake.
Dk. Slaa amesema kuongezeka kwa matukio ya matumizi ya nguvu ya dola katika kulinda uhalali wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi cha kufikia hatua ya kuua watu wasiokuwa na hatia, yanadhihirisha kuwa muda si mrefu ujao nchi itakuwa haitawaliki tena ikiwa Kikwete ataendelea kufumbia macho mauaji hayo.
Akifungua Ofisi ya Baraza la Vijana wa chama hicho (Bavicha) Mtaa wa Togo, Dar es Salaam jana, Dk. Slaa alisema kuwa mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola chini ya serikali ya CCM kupitia kwa viongozi wake hususan Jeshi la Polisi, hayawezi kuvumilika tena na yanawasukuma wananchi kufikia mwisho wa uvumilivu.
Alisema sasa kuna dalili zote za wazi zinazotishia amani na mustakabali wa nchi na watu wake, zikiifanya nchi isitawalike, na wala serikali haiwezi tena kukwepa lawama za kuhusika na mauaji ya wananchi, na kutolea mfano wa tukio la kutwangwa risasi kwa watu wanne wasiokuwa na hatia waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kulindwa na serikali yao mkoani Ruvuma mapema wiki hii.
Dk. Slaa akizungumza kwa uchungu alisema mauaji ya Songea yalitokana na uzembe wa hali ya juu wa viongozi wa serikali na vyombo vya dola ngazi ya wilaya na Mkoa wa Ruvuma.
Napenda kutoa kauli juu ya mauaji dhidi ya raia yaliyofanywa na Jeshi la Polisi huko Songea. Kwa taarifa nilizonazo, mauaji yale yametokea kwa sababu ya uzembe wa hali ya juu na ufinyu tu wa akili ya viongozi, akiwamo mkuu wa Mkoa na polisi wale. Hivi unawaambiaje raia wenye uchungu na vifo vya wananchi wenzao, waliojikusanya na kuamua kuandamana kudai haki, eti wachague kiongozi wa kuonana na mkuu wa mkoa, alisema.
Aliitaka serikali kuunda tume huru ya kuchunguza mauaji hayo ya Songea na kudai kuwa hakuna uhalali wowote wa viongozi wa serikali wa mkoa ambao ni watuhumiwa wa mauaji hayo kuunda chombo cha kuchunguza.
Tunawapongeza wananchi na hasa vijana wa Songea kwa kuandamana kudai haki. Tunataka ufanyike uchunguzi huru juu ya mauaji hayo, yatakayoihusisha mahakama (Korona) na mkuu wa mkoa na polisi hawana uhalali wa kuunda tume za kuchunguza kwani wao pia ni watuhumiwa katika tukio hilo, alisema.
Katibu mkuu huyo wa CHADEMA alilaani tukio la juzi usiku, ambapo polisi katika mji wa Tunduma wanadaiwa kushusha bendera za chama hicho katika maeneo mbalimbali ya mji huo.
Alisema kitendo hicho ni uchokozi tosha kwa CHADEMA na kimelenga kuleta fujo nyingine zinazoweza kuleta uvunjifu wa amani.
Niliwasiliana na Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, pia mkuu wa mkoa, niliwaambia mimi sipendi kugombana nao kwa masuala ya hovyo kama hayo, tupo kwa mujibu wa sheria, bendera zetu zinatokana na kodi za Watanzania, wakasema eti zingine ziko sokoni, nikawauliza za CCM huwa zinawekwa wapi?
Watu hawana maji, hawana zahanati, elimu inashuka, mkuu wa wilaya hajawahi kuamuka usiku, lakini kwenye kushusha bendera za CHADEMA wanaamka usiku wa manane, alisema.
Alitumia wasaa huo kuwataka vijana wa CHADEMA wasimamie haki na kupinga dhuluma na uonevu popote pale wanapofanyiwa Watanzania na wahakikishe wanajua kinachoendelea katika maeneo ya Songea na Tunduma ili chama hicho kijue hatua za kuchukua.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche, mbali ya kumshukuru Dk. Slaa na makao makuu ya chama hicho kwa kuwawezesha kuwa na ofisi yao, alisema kuwa watakuwa mstari wa mbele kusimamia malengo ya chama hicho hasa katika kutetea haki za Watanzania, kudai uwajibikaji wa viongozi na serikali kwa wananchi, pia kulinda rasilimali za taifa.
Alisema kuwa vijana watakuwa mstari wa mbele katika vuguvugu la mageuzi yanayoendelea nchini, akisema kuwa ofisi hiyo itakuwa sehemu sahihi ya kuendeshea mipango ya ukombozi wa taifa ambalo pamoja na utajiri wa rasilimali za kila aina, bado wananchi wake wanaishi katika umaskini wa kupindukia.
Soma tarehe ya uziKwani John Heche ndio mwenyekiti wa Bavicha???
Wewe leta taswira ya kikubwa na usijitoe ufahamu na utuoneshe palipoibiwa.
Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Upo weye bingwa wa kujitoa ufahamu? Muhongo bado yupo? hivi waliojiuzulu ni kwa sabbu gn?
= waliojiudhuru