Umeona, eeh? Anatuaibisha.Hahahahhh!!eti huyu mkurya?
Umeona, eeh? Anatuaibisha.Hahahahhh!!eti huyu mkurya?
SLAA HAWEZI KUTOA KAULI YA KIPOPOMPO NAMNA HIYO,hizo ni fitna za BUKU 7, sera zimeisha yamebakia majungu tu,nyambafuaifanye nchi istawalike? aataweza kweli huyu paroko?
Naam, pesa zilichukuliwa kihalali. Hakuna mahala katika ripoti ya CAG ilipoonesha pesa za escrow zimetolewa nje ya uhalali.
Ulitaka umeme wa bure?
Hivi mkiwa mnatoa taswira ya kutetea vitu vya kitoto huwa mnajitoa ufahamu? au mnatakakujipendekeza kwa watawala? au labda mnajitoa utimamu? msiwe mnapenda mzaha kwenye mambo mazito....hakuna mtu mwenye akili anayetaka kutumia umeme bure....hivi hili sakata la ESCROW, kuna uhalali? kama upo mbona nguvu kubwa imetumika kushawishi? hivi leo hii nikikuita muuaji kama sio si utapuuza? maana sina namna ya kudhibitisha maneno yangu, sasa mbona ESCROW na makahaba wake wanahangaika? basi jua hapo kuna tatizo...acheni mzaha mtapoteza amani nchi.
Habari ya mjini sio hela ya umeme bali ni hela ya capacity charges
Tayari una jalada Mirembe? Kama huna unashauriwa kuwahi kabla ya season celebrations, sio mzima weye.Na hiyo capacity charge ni ya nini? ya kupanda basi kwenda Rombo?
Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo CHADEMA imeshinda, Dr. Slaa amesema "1. Nkasi - Namanyere 2. Hai - Bomang'ombe. 3.Karatu - Karatu. 4. Arumeru Mashariki - Usa river. 5.Vunjo - Ukawa. 6. Mbeya vijijini - Mbalizi. 7. Mbozi Maghari - Tunduma. 8. Mbozi Mashariki - Mlowo. 9. Kyela - Kyela. 10. Lupa - Makongorosi. 11. Busanda - Katoro. 12. Geita - Geita. 13. Chato - Chato. 14. Kwimba - Ngudu. 15. Karagwe - Kayanga. 16. Bukombe - Ushirombo. 17. Sengerema - Sengerema. 18. Tarime - Tarime. 19. Tarime - Sirari mji mdogo. 20. Rorya - Shirati ( 7/2). 21. Bunda - Bunda. 22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3). 23. Kahama - Kahama. 24. Bariadi - Bariadi ( 49/43). 25. Kilombero - Ifakara. 26. Magu - Magu. 27. Mbozi - Vwawa. Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani."
Tayari una jalada Mirembe? Kama huna unashauriwa kuwahi kabla ya season celebrations, sio mzima weye.
Kwani nchi hii kaiumba au kaumbiwa slaa?
Haka kazee kaongo kupindukia. Ni nani amekadanganya kuwa Songea yametokea mauaji?
Wewe leta taswira ya kikubwa na usijitoe ufahamu na utuoneshe palipoibiwa.
Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Hoja imekuwa nzito kwako.