Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Jaman tahadhari ni bora hata kenya walifikir ni kikundi cha wahuni badae ndo wanaanza kujuta
 
wewe ni tumbili,unanichagulia kabila.mimi ni mchaga mwenye akili nyingi nina degree.pimbi wewe

Watu kama nyie Prof Lipumba aliwaita INTERAHAMWE.Sifa kuu ya Interahamwe ni kuwaona Binadamu wenzao kuwa wanyama hivyo kufanya mauaji,Sijajua upo chama gani cha Siasa.
 
Nawashangaa watu wanaotetea uhalali wa bunge la katiba kubadilisha maoni yetu. Hawa wanaendeshwa na matumbo maana nao wanakula humohumo,
 
Watu kama nyie Prof Lipumba aliwaita INTERAHAMWE.Sifa kuu ya Interahamwe ni kuwaona Binadamu wenzao kuwa wanyama hivyo kufanya mauaji,Sijajua upo chama gani cha Siasa.

wewe nawe ni ngedere kama mwenzako.mimi ni kada wa ccm una la kuchangia mara baada ya kujua
 
Mimi nasikitika sana kwanini chichiem wanaenda kinyume na uamuzi wa wananchi walio wengi kwenye maoni ya katiba? Katiba ikikwama nani wa kulaumiwa?mimi nasikitika sana!
 
wewe nawe ni ngedere kama mwenzako.mimi ni kada wa ccm una la kuchangia mara baada ya kujua

CCM mtaondoka madarakani mapema kutokana na dhambi ya Udini,Ukabila na UINTARAHAMWE.Watanzania wasio na uelewa wanazidi kupungua.
 
mkuu kombajr,nimeamua kutumia lugha ya tasfida ila kwanini chadema wanafanya nchi kutotawalika mpaka sasa na wamewachochea nccr na cuf pia kupitia ukawa kufanya nchi isitawalike
Du! Yaani ww bonge la kiplastic
 
mkuu kombajr,nimeamua kutumia lugha ya tasfida ila kwanini chadema wanafanya nchi kutotawalika mpaka sasa na wamewachochea nccr na cuf pia kupitia ukawa kufanya nchi isitawalike

How? kwani ukawa wanashida gani? mbona moja ya andiko lako ulikuwa muungwana na kuhusu Tanganyika irudi...sasa inarudije?
 
Katika kile kinachojionyesha kwa sasa katika media za Ki-siasa ni ishara ya utekelezaji wa msemo wa Dr. Slaa, kuwa akitaka Nchi hii haitatawalika. Swala la ESCROW ni geresha tu.

Tujiulize hivi; Ujeruman na Uingereza viongozi wa Chadema walifuata nini? je wamesahau kama Ujeruman na Uingereza hawakuitawala Tanganyika (Tanzania kwa sasa), au wanafikiri walipenda kuondoka?. Kwa hali ilivyo sasa katika Nchi hizi mbili na misimamo yao isiyo na hasara yoyote kwetu ni kama vile walipelekewa taarifa ya uongo na kuaminishwa kuwa ni ya ukweli bila kuifanyia uchunguzi kisha wakakimbilia tamko.

Nawapongeza sana Watanzania wenzangu kwa kukataa Ukoloni mambo leo unaotakakuja kwa mgongo wa Ki-siasa, na kusema bora tule mlenda kwa ugali wa mtama kuliko kudanganywa na kuaminishwa, ili kuamini hayo angalia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kama kweli swala la ESCROW lingekuwa sahihi na lilivyo bichi kabisa basi Serikali ingeanguka kwani hata Rais hajatoa tamko lolote imekuwa hivyo je angekuwa amechukuwa maamuzi matokeo si yangekuwa zaidi ya hapo?.

KAFULILA kadanganya Umma na kuutapeli kwa mgongo wa Zitto Kabwe, kwani swala hili lilitoka kwa Nimrod Mkono na Kumtaarifu Zitto baada ya kuona amenyang'anywa tonge nono, Zitto akapima upepo akaona yeye hataamika kwa sababu anamgogoro na Chama chake akaamua kumtwishwa mzigo huo Kafulila na kumwahidi atamwokoa Bungeni. Je ni nani hakuona maamuzi ya PAC jinsi yalivyojiita upande mmoja na kuwa nje ya report ya CAG na TAKUKURU?. Mliona kabisa Wabunge walivyokuwa wakihoji maamuzi yale lakini mwisho wa siku Mboye kama kawaida yake akatakakuhamasisha Wafuasi wake Bungeni wagomee majadiriano ndipo wenye busara wakakuli yaishe na kufanyia marekebisho kisha kumwachia Rais.

Hivi PAC ni Bunge au ni Kamati ya Bunge?
 
Back
Top Bottom