Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

mchakato wa kupata katiba mpya umekwama vipi tena!!si mnaendelea kutuletea katiba jamani au tena kuna mabadiliko mengine?? tehe tehe yaani sasa hivi ccm wamekuwa wamechanganyikiwa kila wanachoshika hakiendi,kumbe hata wao wanajua kuwa kupata katiba mpya kumekwama!!
 
Umeshikiwa akili wala kwetu hakuna kifuniko cha chungu kama wewe!
 
hakika wewe ni mpu.mb.avu(rejea tafsiri ya Prof Kabudi),pamoja na elimu yote inayotolewa na makundi mbali mbali,ikiwemo tume ya Warioba,bado umeshupaa tu!
 
Halafu CHADEMA haohao katika kuendeleza nchi kutokutawalika wameamua kufunga tovuti ya tume ili watu wasipate ukweli na kupitia maoni ya tume kwa ufasaha. CHADEMA haohao hawakuishia hapo wakaamua kusema ITV iangaliwe maana wamewaita akina Jaji Warioba walioamua kusema ukweli kuhusu maoni ya wananchi.

CHADEMA haohao wanaficha mikataba iliyoingiwa katika nchi ili wananchi wasijue kinachoendelea. CHADEMA hawajaishia hapo chenji ya rada wamegoma kuitoa. NCCR na CUF jichungeni maana hawa CHADEMA kwa kuchakachua matokeo ya kura hawajambo kuuza unga ndio usiseme. Nawasihi sana NCCR na CUF kukaa mbali na CHADEMA maana makada wake wanatuhumiwa kwa rushwa kubwakubwa kama IPTL, ESCROW haswa Slaa na Mbowe. Shauri yenu CUF na NCCR nchi hii isipotawalika laana hii itawatafuna milele kwa kuungana na CHADEMA.
 
NCCR NA CUF HII NI KWENU. kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo chama cha ccm kilipanda ushindi kwa mgombea wake ndugu kikwete kuwa rais kwa kipindi cha pili,mara baada ya hapo kulitokea matamko mbalimbali kwa upinzani hasa chadema kwa kutoa matamko ya kwamba NCHI HAITA TAWALIKA, nccr na cuf niwakumbushe kuwa mmeamua kuungana na chadema na kujiita UKAWA na kukwamisha mchakato wa kupata katiba mpya.niwakumbushe nccr na cuf kwamba chadema wamekuwa watu wa vurugu sana na ninyi kujiunga nao nawaambia kuwa dhambi hiyo ya kukwamisha mchakato wa katiba mpya hamtasamehewa na vizazi vijavyo,mosi mnaendeleza nchi kutotawalika.muogopeni MUNGU na viongozi wanaoamini katika MGOMO HAWAFAI.nawasilisha

Uchaguzi 2015 ni kati ya UKAWA vs CCM.Kaeni mkao wa kushindwa
 
NCCR NA CUF HII NI KWENU.

kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo chama cha CCM kilipata ushindi kwa mgombea wake ndugu Kikwete kuwa rais kwa kipindi cha pili,mara baada ya hapo kulitokea matamko mbalimbali kwa upinzani hasa CHADEMA kwa kutoa matamko ya kwamba nchi haitatawalika.

NCCR na CUF niwakumbushe kuwa mmeamua kuungana na CHADEMA na kujiita UKAWA na kukwamisha mchakato wa kupata katiba mpya.niwakumbushe NCCR na CUF kwamba CHADEMA wamekuwa watu wa vurugu sana na ninyi kujiunga nao nawaambia kuwa dhambi hiyo ya kukwamisha mchakato wa katiba mpya hamtasamehewa na vizazi vijavyo,mosi mnaendeleza nchi kutotawalika.

Muogopeni MUNGU na viongozi wanaoamini katika Mgomo haufai.

Nawasilisha

Mtasujudu sana na kuongea kama misukule,hiyo ndio UKAWA
 
mchakato wa kupata katiba mpya umekwama vipi tena!!si mnaendelea kutuletea katiba jamani au tena kuna mabadiliko mengine?? tehe tehe yaani sasa hivi ccm wamekuwa wamechanganyikiwa kila wanachoshika hakiendi,kumbe hata wao wanajua kuwa kupata katiba mpya kumekwama!!

Hahaha hahaha hahaha hahaha magamba safari hii imekula kwao
 
Mmaranguoriginal ulikuwa unataka kusemaje?issue ni nin hapa?

mkuu kombajr,nimeamua kutumia lugha ya tasfida ila kwanini chadema wanafanya nchi kutotawalika mpaka sasa na wamewachochea nccr na cuf pia kupitia ukawa kufanya nchi isitawalike
 
NCCR NA CUF HII NI KWENU.

kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo chama cha CCM kilipata ushindi kwa mgombea wake ndugu Kikwete kuwa rais kwa kipindi cha pili,mara baada ya hapo kulitokea matamko mbalimbali kwa upinzani hasa CHADEMA kwa kutoa matamko ya kwamba nchi haitatawalika.

NCCR na CUF niwakumbushe kuwa mmeamua kuungana na CHADEMA na kujiita UKAWA na kukwamisha mchakato wa kupata katiba mpya.niwakumbushe NCCR na CUF kwamba CHADEMA wamekuwa watu wa vurugu sana na ninyi kujiunga nao nawaambia kuwa dhambi hiyo ya kukwamisha mchakato wa katiba mpya hamtasamehewa na vizazi vijavyo,mosi mnaendeleza nchi kutotawalika.

Muogopeni MUNGU na viongozi wanaoamini katika Mgomo haufai.

Nawasilisha

Wewe nae huko tawi la ccm Sangisi Meru .tena jimbo la Nasary .huu umbea umeupata wapi !?
 
Haooooo.....wanatetemeka......haooooo......wamaweweseka.......Haoooooooooo........niemchoka naomba mwingine aendeleeeeee......aaaaaahiii......MABONGOLALA haoooooo. Mmaranagu orijinal kichwa chako, Hakuna mapumbafu kama wewe marangu kwetu.
 
NCCR NA CUF HII NI KWENU.

kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo chama cha CCM kilipata ushindi kwa mgombea wake ndugu Kikwete kuwa rais kwa kipindi cha pili,mara baada ya hapo kulitokea matamko mbalimbali kwa upinzani hasa CHADEMA kwa kutoa matamko ya kwamba nchi haitatawalika.

NCCR na CUF niwakumbushe kuwa mmeamua kuungana na CHADEMA na kujiita UKAWA na kukwamisha mchakato wa kupata katiba mpya.niwakumbushe NCCR na CUF kwamba CHADEMA wamekuwa watu wa vurugu sana na ninyi kujiunga nao nawaambia kuwa dhambi hiyo ya kukwamisha mchakato wa katiba mpya hamtasamehewa na vizazi vijavyo,mosi mnaendeleza nchi kutotawalika.

Muogopeni MUNGU na viongozi wanaoamini katika Mgomo haufai.

Nawasilisha
Acha kuwajaza ujinga.wazo lako haluna ushawishi
 
Halafu CHADEMA haohao katika kuendeleza nchi kutokutawalika wameamua kufunga tovuti ya tume ili watu wasipate ukweli na kupitia maoni ya tume kwa ufasaha. CHADEMA haohao hawakuishia hapo wakaamua kusema ITV iangaliwe maana wamewaita akina Jaji Warioba walioamua kusema ukweli kuhusu maoni ya wananchi.

CHADEMA haohao wanaficha mikataba iliyoingiwa katika nchi ili wananchi wasijue kinachoendelea. CHADEMA hawajaishia hapo chenji ya rada wamegoma kuitoa. NCCR na CUF jichungeni maana hawa CHADEMA kwa kuchakachua matokeo ya kura hawajambo kuuza unga ndio usiseme. Nawasihi sana NCCR na CUF kukaa mbali na CHADEMA maana makada wake wanatuhumiwa kwa rushwa kubwakubwa kama IPTL, ESCROW haswa Slaa na Mbowe. Shauri yenu CUF na NCCR nchi hii isipotawalika laana hii itawatafuna milele kwa kuungana na CHADEMA.

mmaranguoriginal anaangalia hapa na kucheka!anajuta kuchokoza!
 
Last edited by a moderator:
Haooooo.....wanatetemeka......haooooo......wamaweweseka.......Haoooooooooo........niemchoka naomba mwingine aendeleeeeee......aaaaaahiii......MABONGOLALA haoooooo. Mmaranagu orijinal kichwa chako, Hakuna mapumbafu kama wewe marangu kwetu.

wewe ni tumbili,unanichagulia kabila.mimi ni mchaga mwenye akili nyingi nina degree.pimbi wewe
 
Back
Top Bottom