Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Maccm wapumbafu zana nyinyi kutwa kucha ni Chadema na viongoz wake mna acha kuisema serekal ya chama chenu,inafanya biashara ya sembe kaz yenu ni kuchafua wale wanaolisaidia taifa kwa kuikosoa serekal na udhalimu wake,muna acha kupambana na mafsadi na wakwepa kodi mmebak na Dr slaa,mahosptal huduma mbovu watu wana kufa hayo hamuyaoni?!nimeamin maccm wote ni wasengerema pumbafu zenyu.

Acha utahaira wewe, sasa jukumu la wapinzani ni nini kama sisi wenyewe wana CCM tukiisema serikali?, hiyo kazi ya kuisema serikali tumewapa nyinyi wapinzani, ukiona kimya ujue serikali imetukuka. ila wana CCM tutaendelea kuisema CHADEMA ili kikomae kwani kwa sasa kina mapungufu mengi ambayo yanarekebishika, hasa ili la ubovu wa viongozi, ukanda na ukaibila pamoja na udini.
 
Nahitaji watanzania wasome, sihitaji michango ya wanywa viroba kwanza mnachafua mtiririko wa mada.

Bora viroba kuliko cocane na bangi mnavyogawiwa na vingozi wenu wa ngazi za juu, na bangi mnasombewa na polisisim tena kwa kutumia magari yaliyonunuliwa kwa kodi za wananchi.
 
Mkuu, kwa hali ilivyo hivi sasa kwa huyu Dr Slaa inasemekana hata akirudi kwao Karatu na kugombea ubunge HAPATI, wana Karatu wamekuwa wakimshuhudia namna alivyo angamiza miradi mingi ya maendeleo kwenye jimbo hilo ikiwemo miradi ya maji, kwa sasa wananchi wanateseka hakuna mfano na hawajapata haueni yoyote chini ya huyu mbunge wa CHADEMA wa hivi sasa.

Tangu Dr. Slaa afanye ufisadi wa mradi wa maji anaona hata aibu kwenda kwao.

Slaa alikuwa anakaa Karatu, lakini baada ya kashfa yake ya ufisadi kubumbuluka amehamia Dar moja kwa moja!

Ameacha ugomvi mkubwa ambao ulimlazimu Mbowe kwenda kujaribu kusuluhisha bila mafanikio.

Slaa ana uroho sana wa pesa.
 
hv unaenda kuombea amani kwa haya?
Kuteswa kwa ulimboka!
Kuteswa kwa kibanda!
Mauaji yale ya morogoro, iringa, songea!
Mabomu ya arusha! Na
mengineo!
Mleta mada nafikiri unamatatizo makubwa na uache kutumika kwa buku saba,
mh.Slaa, rais wa 2015 ndiyo nuru ijayo.
 
Baada ya wana Karatu kuamka na kumkataa Dr Slaa kwa matendo yake ya ufisadi kiasi cha kumfanya ahame mpaka makazi, sasa ni jukumu letu kuwaeleza watanzania kuhusu ufisadi wa huyu babu, Dr Slaa ni mtu mbaya sana hasa kwenye pesa za umma. Ila mkuu hii tabia ameipata baada ya kujihusisha na Josephine, huyu babu Slaa hakuwa hivi.
 
ZeMarcopolo, Lizaboni, Uncle Deo, HAMY-D, naona efforts zenu kw hii thread. push hard u guys leo jmosi, mpate chenchi za '3- bomba'
 
hv unaenda kuombea amani kwa haya?
Kuteswa kwa ulimboka!
Kuteswa kwa kibanda!
Mauaji yale ya morogoro, iringa, songea!
Mabomu ya arusha! Na
mengineo!
Mleta mada nafikiri unamatatizo makubwa na uache kutumika kwa buku saba,
mh.Slaa, rais wa 2015 ndiyo nuru ijayo.

Labda awe rais wa familia yako, ila kumbuka, unapomuona Dr Slaa, weka mbali na mke!
 
Mkuu, kwa hali ilivyo hivi sasa kwa huyu Dr Slaa inasemekana hata akirudi kwao Karatu na kugombea ubunge HAPATI, wana Karatu wamekuwa wakimshuhudia namna alivyo angamiza miradi mingi ya maendeleo kwenye jimbo hilo ikiwemo miradi ya maji, kwa sasa wananchi wanateseka hakuna mfano na hawajapata haueni yoyote chini ya huyu mbunge wa CHADEMA wa hivi sasa.

Ni akili za ajabu watu mnapogeuka wasemaji wa CHADEMA wakati wao wenye chama chao wapo make naona wote wauza unga wamo humu,mnawafanya watanzania misukule kwa tamaa ya pesa?
ZeMarcopolo
Aunt Deo
Hamida
Mafilili

Yoote mauza unga na serikali yenu,Ole wenu wauza unga nyie nchi hii mtaikimbia si muda mrefu,endeleeni tu kuwaunguza Watanzania

Chama cha ccm viongozi wote wauza unga na wanachama na wabwia bwimbwi
 
ZeMarcopolo, Lizaboni, Uncle Deo, HAMY-D, naona efforts zenu kw hii thread. push hard u guys leo jmosi, mpate chenchi za '3- bomba'

'3 bomba' anazijua babu Slaa kwa wake za watu, yule babu Slaa ni balaa. Weka mbali na mke!
 
Inaripotiwa na kukaririwa mara kwa mara kuwa baada ya kushindwa uchaguzi wa 2010 Dr.Slaa alisema waziwazi kuwa nchi haitatawalika na kweli tunashuhudia kwa macho yetu, tokea sababu za kukamatwa kwa Lwakatare mpaka bomu lililolipuliwa Kanisani huko Arusha!

Hali ni mbaya kiasi Watanzania wamekaa na kujiuliza baada ya matukio haya ni kipi kinachofuatia? kulipua Bunge na kuambiwa aliyerusha bomu ameonekana na mtoto mdogo akiwa kavalia kanzu? Ikulu? Airport...wapi? maana yake tumeambiwa
Kimtazamo wangu na nadhani kuna wengi tu watakaokubaliana na mimi ni kuwa Dr.Slaa hastahili kuwa uraiani na kuishi kwa kodi ya haohao anaotaka kuwaharibia nchi.
ukishavuta bangi zako ukalale au kapige debe,usitoe maoni maana yanatokana na ulevi wa mihAdarati
 
Inwezekana alimaanisha kuwa nchi haitatawalika kwakuwa akili ndogo imeingia Ikulu. Hata mwenyewe unaona hali kwa sasa hivi watu wanauawa na polisi no action nchi inaiingia katika migogoro na majirani zake kutawalik hapo kutatoka wapi. Inabidi slaa apongezwe kwa kuona mbali. Muwe mnatafakili kabla ya kuandika siokukurupuka kama kasuku.
Inaripotiwa na kukaririwa mara kwa mara kuwa baada ya kushindwa uchaguzi wa 2010 Dr.Slaa alisema waziwazi kuwa nchi haitatawalika na kweli tunashuhudia kwa macho yetu, tokea sababu za kukamatwa kwa Lwakatare mpaka bomu lililolipuliwa Kanisani huko Arusha!

Hali ni mbaya kiasi Watanzania wamekaa na kujiuliza baada ya matukio haya ni kipi kinachofuatia? kulipua Bunge na kuambiwa aliyerusha bomu ameonekana na mtoto mdogo akiwa kavalia kanzu? Ikulu? Airport...wapi? maana yake tumeambiwa kuwa nchi haitatawalika.

Kimtazamo wangu na nadhani kuna wengi tu watakaokubaliana na mimi ni kuwa Dr.Slaa hastahili kuwa uraiani na kuishi kwa kodi ya haohao anaotaka kuwaharibia nchi.
 
Baba V wewe ni mtu mzima, ningependa utoe mchango ambao ni constructive kwa ajili ya kukijenga chama chako. Bila upinzani imara na madhubuti, CCM italemaa.

sheikh mkuu katushauri hasamwezi huu mtukufu,kuhamishia njaa zenu za matumboni mkazihamishia vichwani u alipwa kwa kumsakama dr slaa lakini wazee wa ccm hawafurahishwi na mwenendo ccm toeni kwanza boriti(mafisadi,wezi wa meno ya tembo,wauza unga ambao wengi mnafaidika na pesa zzao chafu na mnawajua) halafu hangaikeni na chama cha wAtu chadema
 
Sideeq,
Kwa bahati mbaya hata hujui mazingira yaliyomfanya Dr Slaa kusema, Kikwete kama hutarekebisha na na kuendelea kwa Hali hii nchi haitatawalika. Naomba niwaambie Watanzania, kuwa sijutii kutoa onyo Hilo, na Leo naomba kulirudia, tena kwa mdisitiso zaidi.

Ningependa Watanzania tufike mahali na kuacha ushabiki na itikadi kwenye mambo yasiyohitaji ushabiki na itikadi. Kwa Mara ya Kwanza kauli hiyo niliitoa kwenye Mkutano tarehe 5 January 2011 siku ambayo kwa Mara ya kwanza Polisi wametumia mabomu mengi ya Machozi na Risasi za Moto na kuua watu 3 ( kwa taarifa ya Serikali).

Leo miaka 3 baadaye, ninairudia kauli hiyo kwa ujasiri zaidi, baada ya kuisoma Taarifa ya Kamissioner wa Haki za Binadamu Mhe. De Mello ( ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama Kuu). Taarifa hiyo, haikuwekwa hadharani, kwa kuwa Serikali iliona inaidhalilisha.

Nilichokisema, kinathibitishwa na Taarifa hiyo,

(1) Wahalifu wa Siku hiyo wa kwanza ni Polisi kwa kufuta maandamano ya Chadema yaliyokuwa halali mpaka usiku yalipofutwa na polisi bila kufuata utaratibu wa Sheria. Taarifa inataja kabisa kuwa Sheria ya vyama vya siasa ilivunjwa na polisi.
2) haki za binadamu zilivunjwa na Polisi kwa kutumia nguvu kubwa kinyume na Sheria, na Taarifa iliwataka wahusika wote kuchukuliwa hatua.
3) IGP ndiye kinara wa kuvunja Sheria kwa kuingilia kuzuia maandamano kinyume na Sheria.

Baadhi ya Watanzania wakaendeleza ushabiki wa "Dr Slaa kachochea kwa kueleza nchi haitatawalika"..... Taarifa hiyo ya Arusha, inathibitishwa kwa mara ya pili na Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu ( ambayo ni chombo cha Serikali) ambayo nayo katika tukio la Mabomu lililosababisha kifo cha Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi, Polisi wakiongozwa na Kamanda Kamuhanda ndio wanaotuhumiwa kuvunja Sheria ya vyama vya siasa kwa kuingilia mikutano ya Chadema ten a ya ndani. Katika Tukio la Mwangosi, naye msajili wa vyama vya siasa anatuhumiwa kuvunja Sheria ya nchi kwa kuzuia mikutano ya Chadema wakati sheria ya Sensus haizuii shughuli.

Watanzania wenye kutafiti na kusoma Taarifa hizi badala ya kuandika kwa ushabiki. Kwa Taarifa yako ndio maana Dr. Slaa anaconda nje, kwa kuwa Serikali inajua onyo lilikuwa sahihi, kwa mujibu wa sheria, na lingetekelezwa maisha ya watanzania yasingeliangamia. Aidha, yote niliyoonya, mishahara, maisha magumu, ufisadi, ulinzi wa rasilimali za Taifa, tusingelifika tulipofika Leo. Serikali ijilaumu yenyewe, na mashabiki nanny mnasehemu yenu ya lawama.
 
Tangu Dr. Slaa afanye ufisadi wa mradi wa maji anaona hata aibu kwenda kwao.

Slaa alikuwa anakaa Karatu, lakini baada ya kashfa yake ya ufisadi kubumbuluka amehamia Dar moja kwa moja!

Ameacha ugomvi mkubwa ambao ulimlazimu Mbowe kwenda kujaribu kusuluhisha bila mafanikio.

Slaa ana uroho sana wa pesa.

ha ha ha kweli dr slaa ni mwiba wenu kwa raha zetu tunajidai kwani hatuna kiongozi dhaifu kama mwenyekiti wenu
 
Acha utahaira wewe, sasa jukumu la wapinzani ni nini kama sisi wenyewe wana CCM tukiisema serikali?, hiyo kazi ya kuisema serikali tumewapa nyinyi wapinzani, ukiona kimya ujue serikali imetukuka. ila wana CCM tutaendelea kuisema CHADEMA ili kikomae kwani kwa sasa kina mapungufu mengi ambayo yanarekebishika, hasa ili la ubovu wa viongozi, ukanda na ukaibila pamoja na udini.

nina mashaka na jinsia yako hamy d
 
'3 bomba' anazijua babu Slaa kwa wake za watu, yule babu Slaa ni balaa. Weka mbali na mke!

tutweka picha yako na profile yako kama zemacopolo ili wana jf waelewe who you are maana khadija kopa hana kazi tena magomeni
 
Hakutawalika nyumbani kwake tu kwenye familia yake labda anaona ameshindwa kuiongoza, Tanzania iko shwari. Mungo yuko ANSI.
 
vjana wa lumumba wameishusha hadhi jf imekuwa kama tanuru.la fikra huko fb
 
Back
Top Bottom