Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Tufanye mpango wa kususia thread za jamaa wa buku 7.
Tatizo vichwa vyeupe hamna kitu hoja siyo kususia sema hamna cha kuandika kwenye hoja nzito kama hizi utaongea nini na wewe umezoea viroba tu.
 
Tupe data za kushuka umaarufu wa cdm.acha blabla.rekodi za karibuni ni zile za 4-0!

Mkuu, ingawa CHADEMA imekuwa ikijitapa kuwa Arusha ni ngome yao, lakini wewe mwenyewe unaweza kushuhudia tofauti ya kura za CCM na CHADEMA zilivyokuwa ndogo, huu ni ujumbe kuwa CHADEMA imeshusha hadhg yake.
 
Hamida

Dr atabaki kuwa alivyo tu hata ukiendesha siasa zako za maji taka za kumchafua,pia hawezi kuwa level yako pamoja na kumchafua kila ukiamka lazima uandike kumchafua hivi kwenye akili yako tatizo always ni Dr Slaa?

Kakunyima nini,au kakuchukulia nini hicho ambacho isipomchafua unawashwa makalio? Kama uncho unachomdai mwambie akulipe ili ufanye kazi zingine tuone utamuandika nani tene

Usitake tuamini kuwa labda unamtaka akushughulikie sasa hataki imekuwa chuki kwake,hebu jiheshimu kuna matatizo mengi tanzania ambayo yanatakiwa kujadiliwa wewe umespecialise kumchafua asiyekujua wala hana time na wewe
 
Slaa kwa sasa maneno yake mengi hasa viunganishi,vivumishi na vielezi ni matusi tu.
 
Wewe unatakiwa upelekwe kwa mganga ukatapishwe.Mchawi aliye kurogo alitumia jina la Dr Slaa.
 
Hamida

Dr atabaki kuwa alivyo tu hata ukiendesha siasa zako za maji taka za kumchafua,pia hawezi kuwa level yako pamoja na kumchafua kila ukiamka lazima uandike kumchafua hivi kwenye akili yako tatizo always ni Dr Slaa?

Kakunyima nini,au kakuchukulia nini hicho ambacho isipomchafua unawashwa makalio? Kama uncho unachomdai mwambie akulipe ili ufanye kazi zingine tuone utamuandika nani tene

Usitake tuamini kuwa labda unamtaka akushughulikie sasa hataki imekuwa chuki kwake,hebu jiheshimu kuna matatizo mengi tanzania ambayo yanatakiwa kujadiliwa wewe umespecialise kumchafua asiyekujua wala hana time na wewe
Mkuu punguza jazba najua kuwa ukweli unauma yeye hamy alileta ni mawazo yake wala yasikulize kiasi hicho mpaka utoe machozi mengi kiasi hicho mpinge kwa hoja tu.
 
Mkuu hamy-d slaa anashetani anyemsumbua shetani huyu ndiye aliyemwambia kuacha kazi za mungu na kuja kwenye kai za kijamii hasa siasa,

mimi imani yangu inaniambia kwamba huwezi kushindwa kuendesha kazi za mungu halafu ukaweza za duniani,

Kama slaa alishindwa kufanya kazi za mungu hataweza kuzifanya za kidunia kwani shetani aliyemtoa kanisani ndiyo huyo atamtoa kwenye jamii,

kibaya zaidi kwa sasa slaa amekuwa ni mtu wa ajabu sana anasema hatuwezi kuombea amani halafu juzi kaenda kwenye kongamano la kujadili amani sasa sielewi kama mzee wetu alienda kuuza sura tu ili aonekane kwenye tv au alikwenda kufanya nini.

Idiot Aunt Deo
 
vijana wa buku saba saba kweli mnakazi ya kuwabadilisha watazania sasa endeleeni na propaganda mlizo nazo,,, subirini tuone nani ni nani hapo,,,
 
Mkuu hamy-d slaa anashetani anyemsumbua shetani huyu ndiye aliyemwambia kuacha kazi za mungu na kuja kwenye kai za kijamii hasa siasa,

mimi imani yangu inaniambia kwamba huwezi kushindwa kuendesha kazi za mungu halafu ukaweza za duniani,

Kama slaa alishindwa kufanya kazi za mungu hataweza kuzifanya za kidunia kwani shetani aliyemtoa kanisani ndiyo huyo atamtoa kwenye jamii,

kibaya zaidi kwa sasa slaa amekuwa ni mtu wa ajabu sana anasema hatuwezi kuombea amani halafu juzi kaenda kwenye kongamano la kujadili amani sasa sielewi kama mzee wetu alienda kuuza sura tu ili aonekane kwenye tv au alikwenda kufanya nini.

Kwanza nikupe pongezi kwa kufunguka bila woga wala ajizi, maana vijana wengi tumekuwa na woga kwenye kusema ukweli.

Pili, Dr Slaa sio tu alisema amani haiombewi, bali pia alisema amani haijadiliwi, sasa ndio inakuja hoja, kama amani haijadiliwi, ni nini kilimpeleka Dr Slaa na mchumba wake pale Nkurumah hall UDSM kwenye kongamano la amani?, utagundua kuwa Dr Slaa wenda akawa na pepo baya sana.

Kuhusu kukicha kazi ya Mungu, mimi nikwambie tu ndugu yangu, kama hawa viongozi wetu wa kiroho wangekuwa na mipepo mitaka madaraka kama aliyokuwa nayo Dr Slaa kwa sasa, ni wazi Shekhe Ponda angekuwa rais wa Zanzibar kwa sasa, lakini amehamua kushikilia kile anacho kiamini. na hataki ukigeu geu kama aliokuwa nao Dr Slaa.
 
Tatizo vichwa vyeupe hamna kitu hoja siyo kususia sema hamna cha kuandika kwenye hoja nzito kama hizi utaongea nini na wewe umezoea viroba tu.

Utumbo nao ni mzito kulingana na makapi yaliyomo ndani.
 
Hamida

Dr atabaki kuwa alivyo tu hata ukiendesha siasa zako za maji taka za kumchafua,pia hawezi kuwa level yako pamoja na kumchafua kila ukiamka lazima uandike kumchafua hivi kwenye akili yako tatizo always ni Dr Slaa?

Kakunyima nini,au kakuchukulia nini hicho ambacho isipomchafua unawashwa makalio? Kama uncho unachomdai mwambie akulipe ili ufanye kazi zingine tuone utamuandika nani tene

Usitake tuamini kuwa labda unamtaka akushughulikie sasa hataki imekuwa chuki kwake,hebu jiheshimu kuna matatizo mengi tanzania ambayo yanatakiwa kujadiliwa wewe umespecialise kumchafua asiyekujua wala hana time na wewe

Kama kuna matatizo mengi Tanzania na wewe unayajua, kwanini sasa usilete mada ili tuyajadili?, kwa kutokufanya hivyo naweza kusema kichwa chako hakina akili.
 
Vipi Mwigulu Lameck Nchemba anahubiri nini au anafanya nini na amani ya nchi hii?
 
Tufanye mpango wa kususia thread za jamaa wa buku 7.

mkuu, si kususia bali ukweli unauma. HAMY-D ni mkweli na kila anachoandika ndo uhalisia. badala ya kususia ingekuwa busara kwa CHADEMA kutafakari kwa kina kile anachoeleza mzalendo huyu
 
HAMY-D. Hata HuonI haya popote ulipo ww ni zaidi ya tahahira, vijana na watz wa muda huu wanajadili issues sio maisha au sifa ya watu, ambapo ccm na wafuasi wao ndio kazi yao kuangalia sifa za watu na kuwachafua wapinzani wao, sio BURE vijana wa sasa wanawaita vijana walioko ccm kuwa ni majanga na wachumia tumbo, kila kukicha CHADEMA, SLAA NA VIONGOZI WA CHAMA HICHO PINZANI ila tu HAMY-D, ww ni zaidi ya ZUZU huoni aibu kila siki kuleta umbea machoni pa wasomi leta issue zinakabili maisha yetu ya kila wala sio umbea kama wanawake wa kuswahilini, sasa nakiri kwamba hii ndio kazi ya LUMUMBA DAR,kutafuta udaku kwa waswahili wenzao..
kwa sasa tunazunngumzia nafasi ya Tz kwa miaka 50 ijayo nasio maisha ya mtu au chama na kosa hatufanyi tena la kuwapa nchi wapiga deal na wauza unga kama tunavyoona sasa.
WAACHE WATZ WACHAGUE MUSTAKABALI WAO, ILA UKWELI CCM NI JANGA LA TAIFA.
ACHA UTAHIRA NA UZUZU LETA ISSUE INAYO GUSA MAISHA WATZ SIO UMBEA ZA CCM NA WAFUASI WAO
SHAME UPON YOU.

WanaJF!

CHADEMA kama moja ya chama cha siasa Tanzania kilipata umaarufu wa ghafla miaka michache iliyopita kwa kile kinacho daiwa kuwa ni chama kinacho chukia ufisadi, kinacho kemea unyanyasaji wa aina yoyote kwenye ardhi ya Tanzania lakini kubwa zaidi CHADEMA kiliaminiwa ni chama chenye kupenda amani, utulivu na mshikamano.

Kama CHADEMA ilitokea kuaminiwa na watanzania kwa matendo yake niliyoorodhesha hapo juu, basi ni matendo hayo hayo ndio yatakifanya CHADEMA kupoteza hadhi yake kwa watanzania endapo matendo hayo HAYATAONEKANA tena kuwepo ndani ya CHADEMA.

Hivi karibuni mmoja wa viongozi wa CHADEMA kwa nafasi ya katibu mkuu, Dr Slaa, amekuwa akitoa kauli za chuki mara kwa mara anapo jitokeza kuongea na watanzania hasa kuhusiana na mambo ya amani, utulivu na mshikamano wetu.

Watanzania kama ilivyo tamaduni na desturi yetu, ni watu wakarimu, wenye kupendana na matendo haya ndio yameweza kuzaa amani na utulivu uliokomaa miongoni mwetu, lakini tangia Dr Slaa ashindwe kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 amekuwa shinikizo kubwa la chuki kati yetu watanzania.

Dr Slaa ameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kukemea watanzania kuwa wasithubutu kuombea amani ya nchi yetu, kwani kwa kufanya hivyo ni kama tunajikomba na kujipendekeza kwa serikali yetu. Maneno hayo ameyatoa akiwa kwenye mkutano wa hadhara huku wananchi wakiwa hawaamini kama yanatoka kwa mtu mzima na mwenye akili timamu.

ndugu watanzania, tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ya viongozi wetu wa kiimani hasa yake yenye sura ya kuombea amani na utulivu kwa taifa letu, mfano tu ni kama yafuatayo;

1. Tulimshuhudia padre Felician nkwera na wafuasi wake wakiandamana kutokea Tazara hadi Ubungo riverside kuombea amani ya nchi yetu.

2. Tumeshuhudia mchungaji Getrude Rwakatale akifanya ibada maalumu ya kuombea amani ya nchi yetu kwenye kanisa lake la mlima wa moto.

3. Pia tumeshuhudia mashekhe wakifanya dua maalumu kwa mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani.

Ndugu watanzani, swali la kujiuliza ni moja tu, hivi Dr Slaa ni bora sana, mwelevu na mkweli wa kuzidi hawa viongozi wetu wa kiimani?, naamini majibu mengi kwa mtu yeyote mwenye muono wa kati yatakuwa HAPANA, kama ni hivyo, nini sasa kifanyike dhidi ya Dr Slaa na kauli zake za chuki kwa taifa?

Kwa upande wangu napendekeza baraza la wazee la CHADEMA akiwemo na mzee Mtei wakae na Dr Slaa ili wamueleze mapungufu yake na siasa zake za chuki kwa taifa kisha wamshauri namna bora ya ufanyaji wa siasa, kwani hata hao wazee nao walikuwa wanasiasa enzi zao ila hawakuwahi kuhubiri siasa za CHUKI.
 
Baba V wewe ni mtu mzima, ningependa utoe mchango ambao ni constructive kwa ajili ya kukijenga chama chako. Bila upinzani imara na madhubuti, CCM italemaa.

Ilemae mara ngap kwel we ni kipofu unaejidai kuona!pinda mkubwa wewe,nadhan ni watanzania wa chache sana tena wanaopalilia matumbo na familia zao kupata rizki huko kwa magamba,wenye akili wote na waliojitambua walishakimbia hilo li chama lenu cku nying.
 
Nahitaji watanzania wasome, sihitaji michango ya wanywa viroba kwanza mnachafua mtiririko wa mada.

hakuna wajinga wa kuelewa pumba zako humu nenda kwenye vijiwe vya kahawa utawapata
 
Vipi Mwigulu Lameck Nchemba anahubiri nini au anafanya nini na amani ya nchi hii?

mkuu, ni punguani tu kama wewe ndiye atakayemwona dr slaa kuwa ni mwerevu. yaani maneno na matendo ya dr slaa hayaashirii kuwa alikuwa padre
 
Mkuu hamy-d slaa anashetani anyemsumbua shetani huyu ndiye aliyemwambia kuacha kazi za mungu na kuja kwenye kai za kijamii hasa siasa,

mimi imani yangu inaniambia kwamba huwezi kushindwa kuendesha kazi za mungu halafu ukaweza za duniani,

Kama slaa alishindwa kufanya kazi za mungu hataweza kuzifanya za kidunia kwani shetani aliyemtoa kanisani ndiyo huyo atamtoa kwenye jamii,

kibaya zaidi kwa sasa slaa amekuwa ni mtu wa ajabu sana anasema hatuwezi kuombea amani halafu juzi kaenda kwenye kongamano la kujadili amani sasa sielewi kama mzee wetu alienda kuuza sura tu ili aonekane kwenye tv au alikwenda kufanya nini.

Hao viongoz wa din unao wasema ni wanafiki tena wasio na hofu wa kumjua Mungu,kiongoz gan wa din anaye ona na kushuhudia serekal iki tesa na ku ua raia bila hatia alafu akae kimya!huyo Lwakatare ali ingia choo cha kike nadhan hata yeye anajuta sana ila njaa ya maslah ina mtesa,angekua ni kiongoz anaye mwakilisha Mungu hakika angeanza ku kemea uovu unaotendwa na serekal ya chama chake,maccm wote Mungu amewakataa huo ndio ukwel
 
HAMY-D. Hata HuonI
haya popote ulipo ww ni zaidi ya tahahira, vijana na watz wa muda huu
wanajadili issues sio maisha au sifa ya watu, ambapo ccm na wafuasi wao
ndio kazi yao kuangalia sifa za watu na kuwachafua wapinzani wao, sio
BURE vijana wa sasa wanawaita vijana walioko ccm kuwa ni majanga na
wachumia tumbo, kila kukicha CHADEMA, SLAA NA VIONGOZI WA CHAMA HICHO
PINZANI ila tu HAMY-D, ww ni zaidi ya ZUZU huoni aibu kila siki kuleta
umbea machoni pa wasomi leta issue zinakabili maisha yetu ya kila wala
sio umbea kama wanawake wa kuswahilini, sasa nakiri kwamba hii ndio
kazi ya LUMUMBA DAR,kutafuta udaku kwa waswahili wenzao..
kwa sasa tunazunngumzia nafasi ya Tz kwa miaka 50 ijayo nasio maisha ya
mtu au chama na kosa hatufanyi tena la kuwapa nchi wapiga deal na wauza
unga kama tunavyoona sasa.
WAACHE WATZ WACHAGUE MUSTAKABALI WAO, ILA UKWELI CCM NI JANGA LA
TAIFA.
ACHA UTAHIRA NA UZUZU LETA ISSUE INAYO GUSA MAISHA WATZ SIO UMBEA ZA CCM
NA WAFUASI WAO
SHAME UPON YOU.

mkuu, kwa alivyo dr slaa kwa sasa na matendo yake ya sasa ni vigumu kupata kura za kumwezesha kutawala nchi hii. dr slaa ni kama yule mtu anayemtukana mkunga wakati uzazi ungalipo. anawatukana watanzania kuwa ni wajinga, anatukana vyombo vya dola na anatukana viongozi wa nchi. hivi unategemea nani atampa ridhaa ya kuongoza nchi? yaani huyu hana tofauti na Morsy wa Misri
 
Back
Top Bottom