Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

hakuna wajinga wa kuelewa pumba zako humu nenda kwenye vijiwe vya kahawa utawapata

wewe kwa vile huelewi kilichoandikwa ndo unaona ujinga. ila dr slaa mwenyewe huko aliko anandaa majibu ingawa nina hakika kuwa ataishia kujikanyaga tu kama afanyavyo kila siku
 
HAMY-D. Hata uone haya popote ulipo ww ni zaidi ya tahahira, vijana na watz wa muda huu wanajadili issues sio maisha au sifa ya watu, ambapo anhisi ccm na wafuasi wao ndio kazi yao kuangalia sifa za watu na kuwachafua wapinzani wao, sio vijana wa sasa wanawaita vijana walioko ccm kuwa ni majanga na wachumia tumbo, kila kukicha CHADEMA, SLAA NA VIONGOZI WA CHAMA HICHO PINZANI ila tu HAMY-D, ww ni zaidi ya -------- huyu aibu kila siki kule umbea machoni pa wasomi leta issue zinakabili amisha yetu ya kila wala umbea kama wanawake wa kila uswahili, sasa nakiri kwamba hii ndio kazi ya LUMUMBA DAR,kutafuta udaku kwa waswahili wenzako.
kwa sasa tunazunngumzia nafasi ya Tz kwa miaka 50 ijayo nasio maisha ya mtu au chama na kosa hatufanyi tena la kuwapa nchi wapiga deal na wauza unga kama tunavyoona sasa.
WAACHE WATZ WACHAGUE MUSTAKABALI WAO, ILA UKWELI CCM NI JANGA LA TAIFA.
ACHA UTAHIRA NA UZUZU NI ISSUE INAYO GUSA MAISHA WATZ SIO UMBEA ZA CCM NA WAFUASI WAO

Watanzania, huyu ni miongoni mwa watetezi wakubwa wa Dr Slaa. Nimesema CHADEMA kama chama cha siasa kinashusha hadhi yake, kwa kutambua umuhimu wa upinzani katika siasa zetu nimeona niliseme hili, mtu ambae ni ana-engineer kushuka kwa hadhi ya CHADEMA na kushusha nguvu ya chama kufanya upinzani wa kweli ni Dr Slaa, na kauli za chuki anazotumia moja wapo ni kukemea watu tusiombee amani yetu kwani tukifanya hivyo tunakuwa wanafiki, sasa kwa mtiririko huu unasema hakuna issue hapo. unaijua tofauti yako wewe na Dr Slaa?, kama hujui basi sioni kama kuna umuhimu wa wewe kuwepo JF, kiongozi vs raia wa kawaidi, unasema tusimjadili kiongozi?, mbona unatia aibu wewe?
 
WanaJF!

CHADEMA kama moja ya chama cha siasa Tanzania kilipata umaarufu wa ghafla miaka michache iliyopita kwa kile kinacho daiwa kuwa ni chama kinacho chukia ufisadi, kinacho kemea unyanyasaji wa aina yoyote kwenye ardhi ya Tanzania lakini kubwa zaidi CHADEMA kiliaminiwa ni chama chenye kupenda amani, utulivu na mshikamano.

Kama CHADEMA ilitokea kuaminiwa na watanzania kwa matendo yake niliyoorodhesha hapo juu, basi ni matendo hayo hayo ndio yatakifanya CHADEMA kupoteza hadhi yake kwa watanzania endapo matendo hayo HAYATAONEKANA tena kuwepo ndani ya CHADEMA.

Hivi karibuni mmoja wa viongozi wa CHADEMA kwa nafasi ya katibu mkuu, Dr Slaa, amekuwa akitoa kauli za chuki mara kwa mara anapo jitokeza kuongea na watanzania hasa kuhusiana na mambo ya amani, utulivu na mshikamano wetu.

Watanzania kama ilivyo tamaduni na desturi yetu, ni watu wakarimu, wenye kupendana na matendo haya ndio yameweza kuzaa amani na utulivu uliokomaa miongoni mwetu, lakini tangia Dr Slaa ashindwe kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 amekuwa shinikizo kubwa la chuki kati yetu watanzania.

Dr Slaa ameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kukemea watanzania kuwa wasithubutu kuombea amani ya nchi yetu, kwani kwa kufanya hivyo ni kama tunajikomba na kujipendekeza kwa serikali yetu. Maneno hayo ameyatoa akiwa kwenye mkutano wa hadhara huku wananchi wakiwa hawaamini kama yanatoka kwa mtu mzima na mwenye akili timamu.

ndugu watanzania, tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ya viongozi wetu wa kiimani hasa yake yenye sura ya kuombea amani na utulivu kwa taifa letu, mfano tu ni kama yafuatayo;

1. Tulimshuhudia padre Felician nkwera na wafuasi wake wakiandamana kutokea Tazara hadi Ubungo riverside kuombea amani ya nchi yetu.

2. Tumeshuhudia mchungaji Getrude Rwakatale akifanya ibada maalumu ya kuombea amani ya nchi yetu kwenye kanisa lake la mlima wa moto.

3. Pia tumeshuhudia mashekhe wakifanya dua maalumu kwa mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani.

Ndugu watanzani, swali la kujiuliza ni moja tu, hivi Dr Slaa ni bora sana, mwelevu na mkweli wa kuzidi hawa viongozi wetu wa kiimani?, naamini majibu mengi kwa mtu yeyote mwenye muono wa kati yatakuwa HAPANA, kama ni hivyo, nini sasa kifanyike dhidi ya Dr Slaa na kauli zake za chuki kwa taifa?

Kwa upande wangu napendekeza baraza la wazee la CHADEMA akiwemo na mzee Mtei wakae na Dr Slaa ili wamueleze mapungufu yake na siasa zake za chuki kwa taifa kisha wamshauri namna bora ya ufanyaji wa siasa, kwani hata hao wazee nao walikuwa wanasiasa enzi zao ila hawakuwahi kuhubiri siasa za CHUKI.
Mkuu Hammy-D;
.......wisdom is having things right in your life and knowing why...!shame on you
 
Mimi huwa nawashangaa vijana wa CCM!Sasa kauli za Dr Slaa zikishusha hadhi ya Chadema si ndio faida kwenu magamba?Dr.Slaa amekuwa sahihi tangu mwanzo kabisa wa "list of shame" mpaka "ukweli kuhusu walipuaji wa mabomu Arusha".Sasa sijui utaniaminishaje na kauli yoyote kutoka CCM ambazo zimekuwa za kufunika kombe mwanaharamu apite!
Suala la kuombea amani yetu aliloliongelea Dr Slaa ni jambo la wazi kabisa,huwezi kuombea amani ya nchi kama hakuna haki,lazima haki itolewe kwa usawa ndio amani itatamalaki.Usanii wa kushawishi viongozi waombee amani wakati mnavunja katiba kwa kusema "WAPIGWE TU" ,"TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI HAITATAWALIKA" na ile "WANAOUA MAALBINO ,NAO WAUWAWE" ni kumdhihaki Mungu!

Lazima HAKI kwanza,ndio AMANI itapatikana!Sasa hapo kauli za chuki za Dr.Slaa ni zipi?
 
Kwa sasa slaa ni kama debe tupu ambalo halivuma.

mkuu, dr slaa kwa sasa anaonekana kachanganyikiwa. naona laana ya kupora wake za watu na kufanya uzinzi hovyo ndo inamtafuna sasa
 
mkuu, kwa alivyo dr slaa kwa sasa na matendo yake ya sasa ni vigumu kupata kura za kumwezesha kutawala nchi hii. dr slaa ni kama yule mtu anayemtukana mkunga wakati uzazi ungalipo. anawatukana watanzania kuwa ni wajinga, anatukana vyombo vya dola na anatukana viongozi wa nchi. hivi unategemea nani atampa ridhaa ya kuongoza nchi? yaani huyu hana tofauti na Morsy wa Misri
Mimi nadhani slaa angehamishia nguvu zake kwenye mahubiri ya barabarani akitumia vema uongo alionao na elimu ya dini atapata sadaka nyingi tu.
 
Dr. Slaa atastaafu akiwa amejiharibia kabisa historia yake.
Amekuwa mropokaji mno siku hizi.
Kila siku anaonga MIPASO tu!!!

Tabia yake ya uroho wa pesa na madaraka imewafanya watu wengi wapoteze imani naye!!!
Dr. Slaa HAAMINIKI...
 
mkuu, dr slaa kwa sasa anaonekana kachanganyikiwa. naona laana ya kupora wake za watu na kufanya uzinzi hovyo ndo inamtafuna sasa
Wakati anaanza watu walikuwa hawajamjua vema sasa kaongea uongo wote umekwisha watu wanamuona bure tu,kwa sasa hata akiongea kama anaongea bambo wa the comedy.
 
Dr. Slaa atastaafu akiwa amejiharibia kabisa historia yake.
Amekuwa mropokaji mno siku hizi.
Kila siku anaonga MIPASO tu!!!

Tabia yake ya uroho wa pesa na madaraka imewafanya watu wengi wapoteze imani naye!!!
Dr. Slaa HAAMINIKI...
Mkuu siyo rahisi mtu kama slaa kuaminiwa make hata akija kwako huwezi kumwacha nyumbani labda uwe hujaoa na si vinginevyo.
 
Dr. Slaa atastaafu akiwa amejiharibia kabisa historia yake.
Amekuwa mropokaji mno siku hizi.
Kila siku anaonga MIPASO tu!!!

Tabia yake ya uroho wa pesa na madaraka imewafanya watu wengi wapoteze imani naye!!!
Dr. Slaa HAAMINIKI...

Mkuu, kwa hali ilivyo hivi sasa kwa huyu Dr Slaa inasemekana hata akirudi kwao Karatu na kugombea ubunge HAPATI, wana Karatu wamekuwa wakimshuhudia namna alivyo angamiza miradi mingi ya maendeleo kwenye jimbo hilo ikiwemo miradi ya maji, kwa sasa wananchi wanateseka hakuna mfano na hawajapata haueni yoyote chini ya huyu mbunge wa CHADEMA wa hivi sasa.
 
Ben saanane akija hapa atatukana make hapendi mzee wake aguswe lazima povu litamtoka.
 
Ben saanane akija hapa atatukana make hapendi mzee wake aguswe lazima povu litamtoka.

Mkuu, nimesha ongea na Mods kuhusu hiyo tabia ya matusi inayofanywa na hawa watetezi wa Dr Slaa na nimehakikishiwa kwa yeyote atakae weka matusi ndani ya JF ni mwendo wa kulimwa BAN tu.
 
mkuu, dr slaa kwa sasa anaonekana kachanganyikiwa. naona laana ya kupora wake za watu na kufanya uzinzi hovyo ndo inamtafuna sasa

Mkuu, ile nadhiri aliyoifanya Dr Slaa kwa Mungu wake kuwa hatoshiriki kufanya tendo la ndoa mpaka kufa kwake yapo wapi?, unaambiwa ukifanya ile nadhiri halafu kwa tamaa zako za kimwili ukaivunja, basi huwezi kuishi na akili zako timamu, ni lazima uwe chizi. Sasa sijui ndio yanayo mtokea Dr Slaa.
 
mkuu, kwa alivyo dr slaa kwa sasa na matendo yake ya sasa ni vigumu kupata kura za kumwezesha kutawala nchi hii. dr slaa ni kama yule mtu anayemtukana mkunga wakati uzazi ungalipo. anawatukana watanzania kuwa ni wajinga, anatukana vyombo vya dola na anatukana viongozi wa nchi. hivi unategemea nani atampa ridhaa ya kuongoza nchi? yaani huyu hana tofauti na Morsy wa Misri

Maccm wapumbafu zana nyinyi kutwa kucha ni Chadema na viongoz wake mna acha kuisema serekal ya chama chenu,inafanya biashara ya sembe kaz yenu ni kuchafua wale wanaolisaidia taifa kwa kuikosoa serekal na udhalimu wake,muna acha kupambana na mafsadi na wakwepa kodi mmebak na Dr slaa,mahosptal huduma mbovu watu wana kufa hayo hamuyaoni?!nimeamin maccm wote ni wasengerema pumbafu zenyu.
 
WanaJF!

CHADEMA kama moja ya chama cha siasa Tanzania kilipata umaarufu wa ghafla miaka michache iliyopita kwa kile kinacho daiwa kuwa ni chama kinacho chukia ufisadi, kinacho kemea unyanyasaji wa aina yoyote kwenye ardhi ya Tanzania lakini kubwa zaidi CHADEMA kiliaminiwa ni chama chenye kupenda amani, utulivu na mshikamano.

Kama CHADEMA ilitokea kuaminiwa na watanzania kwa matendo yake niliyoorodhesha hapo juu, basi ni matendo hayo hayo ndio yatakifanya CHADEMA kupoteza hadhi yake kwa watanzania endapo matendo hayo HAYATAONEKANA tena kuwepo ndani ya CHADEMA.

Hivi karibuni mmoja wa viongozi wa CHADEMA kwa nafasi ya katibu mkuu, Dr Slaa, amekuwa akitoa kauli za chuki mara kwa mara anapo jitokeza kuongea na watanzania hasa kuhusiana na mambo ya amani, utulivu na mshikamano wetu.

Watanzania kama ilivyo tamaduni na desturi yetu, ni watu wakarimu, wenye kupendana na matendo haya ndio yameweza kuzaa amani na utulivu uliokomaa miongoni mwetu, lakini tangia Dr Slaa ashindwe kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 amekuwa shinikizo kubwa la chuki kati yetu watanzania.

Dr Slaa ameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kukemea watanzania kuwa wasithubutu kuombea amani ya nchi yetu, kwani kwa kufanya hivyo ni kama tunajikomba na kujipendekeza kwa serikali yetu. Maneno hayo ameyatoa akiwa kwenye mkutano wa hadhara huku wananchi wakiwa hawaamini kama yanatoka kwa mtu mzima na mwenye akili timamu.

Ndugu watanzania, tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ya viongozi wetu wa kiimani hasa yake yenye sura ya kuombea amani na utulivu kwa taifa letu, mfano tu ni kama yafuatayo;

1. Tulimshuhudia padre Felician nkwera na wafuasi wake wakiandamana kutokea Tazara hadi Ubungo riverside kuombea amani ya nchi yetu.

2. Tumeshuhudia mchungaji Getrude Rwakatale akifanya ibada maalumu ya kuombea amani ya nchi yetu kwenye kanisa lake la mlima wa moto.

3. Pia tumeshuhudia mashekhe wakifanya dua maalumu kwa mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani.

Ndugu watanzani, swali la kujiuliza ni moja tu, hivi Dr Slaa ni bora sana, mwelevu na mkweli wa kuzidi hawa viongozi wetu wa kiimani?, naamini majibu mengi kwa mtu yeyote mwenye muono wa kati yatakuwa HAPANA, kama ni hivyo, nini sasa kifanyike dhidi ya Dr Slaa na kauli zake za chuki kwa taifa?

Kwa upande wangu napendekeza baraza la wazee la CHADEMA akiwemo na mzee Mtei wakae na Dr Slaa ili wamueleze mapungufu yake na siasa zake za chuki kwa taifa kisha wamshauri namna bora ya ufanyaji wa siasa, kwani hata hao wazee nao walikuwa wanasiasa enzi zao ila hawakuwahi kuhubiri siasa za CHUKI.

ANGALIZO: BILA UPINZANI MADHUBUTI, CCM ITALEMAA.
HAMY-D.Ndugu yangu, bahati mbaya sana unasababisha watu wasitake kusoma au kujadili post zako kwa sababu kila mara unmjadili Dr slaa katika mukitadha wa mtu binafsi ambae unaugomvi nae. Utaonekana mtu bora kama utajadili chadema kama Taasisi na utoe ushauri; hata hivyo wewe sio mtu sahihi wa kutoa ushauri kwa Chadema.

ANGALIZO.Umeshindwa kukarabati nyumba yako hutaweza kukarabati nyumba yangu.
 
mkuu, ni punguani tu kama wewe ndiye atakayemwona dr slaa kuwa ni mwerevu. yaani maneno na matendo ya dr slaa hayaashirii kuwa alikuwa padre

dr kawagusa wote v.i.n.e.m.b.e, mnaweweseka kwa kum miss kila mkimkumbuka. pinheads..
 
Kwanza nikupe pongezi kwa kufunguka bila woga wala ajizi, maana vijana wengi tumekuwa na woga kwenye kusema ukweli.

Pili, Dr Slaa sio tu alisema amani haiombewi, bali pia alisema amani haijadiliwi, sasa ndio inakuja hoja, kama amani haijadiliwi, ni nini kilimpeleka Dr Slaa na mchumba wake pale Nkurumah hall UDSM kwenye kongamano la amani?, utagundua kuwa Dr Slaa wenda akawa na pepo baya sana.

Kuhusu kukicha kazi ya Mungu, mimi nikwambie tu ndugu yangu, kama hawa viongozi wetu wa kiroho wangekuwa na mipepo mitaka madaraka kama aliyokuwa nayo Dr Slaa kwa sasa, ni wazi Shekhe Ponda angekuwa rais wa Zanzibar kwa sasa, lakini amehamua kushikilia kile anacho kiamini. na hataki ukigeu geu kama aliokuwa nao Dr Slaa.

Ni wazi kuwa kwa kiwango chako cha ufahamu wewe na baadhi ya viongozi wa CCM ni ngumu sana kumuelewa Dr Slaa anazungumza nini. Maneno yake yako katika level ya juu kifalsafa kuliko uwezo wenu wa kuchambua mambo.
Nakubaliana na Dr kuwa amani haiombewi misikitini wala makanisani,Amani kesha sema ni tunda la haki hivyo haki ikiwapo lazima itazaa amani. Kwa nini huko misikitini na makanisani wasiiombee serikali ili itende HAKI kisha hiyo amani izaliwe na kukua? Mwenyezi MUNGU sio mnafiki kama mnavyomkufuru. Unamwomba amani kwa nchi hii huku nyuma Polisi wanawabambika watu kesi, wanawapiga bila sababu, viongozi wanashiriki kuhujumu maisha ya wananchi kwa kuwapa vijana madawa ya kulevya, rasilimali za nchi zinaibiwa kweupe na kuwaacha raia masikini kiasi cha kushindwa kula na hata matibabu na masomo ya watoto wao nk nk?
Huko ni kumshirikisha MUNGU na unafiki wenu! Dr Slaa kasema AMANI NI TUNDA LA HAKI. Jee haki ipo nchi hii?
Unasema Dr Slaa nataka madaraka, hivi kweli unatumia akili? Dr mwaka 2010 kama asingekuwa na uvumilivu unadhani nchi hii ingekuwa hivi ilivyo? Angeweza kutamka neno moja tuu na yaliyotokea Kenya 2007 yangetokea hapa na kubadili kabisa historia ya nchi yetu.
CCM kama chama Tawala kina uwanja mpana sana wa kujionyesha ni bora katika vitendo kwa kutekeleza yale wananchi wanayo yategemea kuliko kila siku kufikiri na kujaza maandishi kuhusu Dr Slaa utadhani yeye ni Kiongozi mkuu wa nchi hii. Kazi ya Chadema sasa inafanywa na CCM na wenye akili wanaona mtapona kweli 2014/15?
 
Mkuu, nimesha ongea na Mods kuhusu hiyo tabia ya matusi inayofanywa na hawa watetezi wa Dr Slaa na nimehakikishiwa kwa yeyote atakae weka matusi ndani ya JF ni mwendo wa kulimwa BAN tu.

Lile tusi lako la kikwenu tumeli miss.. hebu tukumbushie tena vile
 
Back
Top Bottom