Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Suala la msingi ni kumuelewa Dk Slaa, ya kwamba ni mtu wa dhamira safi. Sasa wanafiki hawa wa CCM hawana jipya zaidi ya kujidhihirisha. Kumbuka usemi; njia ya mwongo ni fupi. Watajikanganya watachoka. Dhamira chafu haiwezi kutoa matunda bora hata siku moja.

Dhamira ya mtu hubainishwa na matendo yake. Huwezi kuwa na dhamira safi na watanzania huku unapora wake za watu na unazini hovyo. Huwezi kuwa na dhamira safi huku unafadhili wamwagia tindikali, wabeba sumu na waripua mabomu. Dr Slaa si msafi hata asafishwe kwa sabuni ya omo hatakasiki kamwe. Moyo wake umeota kutu kutokana na laana aliyopewa na Mungu. Kwa vile yeye mwenyewe ni mtoto wa nje ya ndoa, anajitahidi sana kuzalisha watoto wa nje ya ndoa. Dhamira nzuri ya dr slaa iko wapi?
 
[h=2]Slaa: Tukitaka nchi hii haitatawalika[/h]
Katika kauli zenye utata na hazijawahi kuhojiwa na Jeshi la Police ni hizi;
1.Tukitaka Nchi hii haitatawalika - DR. SLAA,
2. Ikishindikana tutaingi msituni - G. LEMA

Katika hali Amani Nchini ilivyowekwa Rehani ni ishara ya kauli hizo mbili huku wanchi tukiziba masikio na kufumba macho kutoona yajayo.Tuwe tunajua kuwa shetani nae ana wafuasi tena wengi nae huwa anajumuika Makanisani, Misikitini na madhabahuni. Na ndo maana hata waganga wakienyeji wadiliki kutumia Biblia na Quruan kwenye shughuli zao, tena na wala si kila amwitae Mungu atauona Ufalme wa Mungu.Tutafakari tunakoelekea kwani sasa hakuna mahamasishano ya maendeleo bali ni maandamano kila kukicha, hivi hawa tunaoandamana leo si hao hao watakaoandamana tena kumtoa madarakani waliyemweka?.

Kauli ya Nyerere: Ukisha zoea kunywa damu ya mtu utaendelea kunywa tu.

Ukitakampigane lazima mchokozane. Chadema katika mikutano,mihadhara na maandamano yao wamekuwa wakivikashivu vyombo vya Usalama sana nakushindwa kuelewa madhara ya vyombo hivyo viki-react itakuwaje?. Je ninani hajawahi wasikia Chadema wakisema Askali gani hawa na Dr. Slaa kwenye kampeni zake alienda mbali sana najinadi eti ametembea kote huko hajaona Askari anashangaa kuwakuta uwanjani ni bora waondoke kwani anajeshi lake. Hapo hapo mwehu mmoja akapanda jukwaani na kusema Rais hajafuzwa na.................... huku Slaa akiwepo hakukemea swala lile ila yeye yanapomkuta anataka Rais atoe kauli. Mimi nilifikiri kiongozi bora ni ambaye anakuwa mafano na wala si kuwasukumizia wenzake!​
 
Mkuu hakuna cha upotoshaji. Dr Slaa alitamka alichokimaanisha. Usijaribu kupuliza pafyum kwenye kinyesi

Na hili ndilo tatizo la ccm. Hamuwezi ku foresee yatakayozaliwa baadaye kutokana na yatendekayo leo. Ni ujinga na upofu wa hali ya juu. Hii ndiyo maaana mnaongoza serikali kwa kutokana na matukio na wala si malengo. Ni aibu kwamba bado mko madarakani.

Huhitaji kupiga ramli ili kujua kwamba uchumi kesho kutakuwa na shida katika suala la maendeleo kama leo unashuhudia uzalishaji duni, mgawanyo mbovu wa raslimali na utawala mbovu.

Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayeshindwa kuona ujio wa instabilities pale sheria zinapindishwa, ama hazikidhi mahitaji, ama ubabe wa wachache unatawala na pasipo haki na ambapo hakuna utaratibu wa ku deal na dissatisfaction hasa za majority.

Acheni akili za Abunuasi aliyetahadharishwa kwamba angeanguka kwa vile alikuwa akikata tawi alokuwa kalikalia na tawi lilipokatika akaanguka, akaona ni maajabu utabiri ule kutimia. ccm acheni ujinga na ndiyo maana hatuwataki katika uongozi kwa sababu ni wajinga msioona mbali.

Kwa tabia zenu za rushwa ugandamizaji na dhuruma zilizowazi hivi ni nai atashindwa kupata taswira ya chaos mnazozijenga? Mnadhani ni shughulil ndogo kulazimisha kutawala watu wasiowapenda, yaaani wanaowachukia na ambao na ninyi hamuwapendi ila mnataka muwe juu yao kwa maslahi yenu?

CCM wakati sasa umepita sana wa kutuachia nchi yetu.

Kusema ukwel kabisa sikufahamu kwamba ukiwa mwana ccm huwi na tabia za kuropoka tu, na wala hukosi aibu peke yake, baali hata ufahamu wa mambo ya kawaida unapotea. UNATAFUTA MCHAWI ETI KWA NINI FAMILIA YENU MNAUMWA MALARIA WAKATI UMEACHA MAZALIA YA MBU NA WALA HUNA MPANGO WA KINGA YOYOTE!. AIBU KWA CCM. ONDOKENI BWANA HATUWATAKI. MNATIA AIBU NCHI YETU.
 
Mnahangaika sana akina tumaini makene kutetea udhaifu wa dr slaa

Kama unataka kuuona udhaifu (kama unavyouita wewe) wa Dr Slaa karibu kuangalia kipindi cha majadiliano kitakachorushwa na ITV kuanzia saa 1 jioni ambapo atakutana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bw Mangula. Halafu urudi JF uueleze kwa ufasaha bila giza la akili.
 
Slaa makanisa aliyaahidi kuongeza ruzuku andepo angechaguliwa mambo yakaenda kombo.
Kumbe kwa sasa kuna ruzuku ya makanisani , tatizo ni kiasi kuwa kidogo? Hebu mtueleweshe hii ruzuku inatolewa vipi makada?
 
Kwani nchi kwa sasa inatawalika???
Kama serikali haijui mng'oa kucha, meno Dr Ulimboka, Kibanda haijui mlipua mabomu kanisani, kwenye mikutano, muuwa padri, wamwagia watu tindikali serikali haijui Waziri mkuu anasema wananchi wapigwe kisa wao wamechoka, hapo sijui nchi inatawalika kivipi.
 
Dhamira ya mtu hubainishwa na matendo yake. Huwezi kuwa na dhamira safi na watanzania huku unapora wake za watu na unazini hovyo. Huwezi kuwa na dhamira safi huku unafadhili wamwagia tindikali, wabeba sumu na waripua mabomu. Dr Slaa si msafi hata asafishwe kwa sabuni ya omo hatakasiki kamwe. Moyo wake umeota kutu kutokana na laana aliyopewa na Mungu. Kwa vile yeye mwenyewe ni mtoto wa nje ya ndoa, anajitahidi sana kuzalisha watoto wa nje ya ndoa. Dhamira nzuri ya dr slaa iko wapi?

Nape wa CCM,{KWA MAKUSUDI KABISA SIJAMWITA Nape Nnauye} ni mtoto wa Nje ya ndo au Wa ndani ya ndoa

Wewe Mwenyewe una Uhakika Gani mama yako hakubakwa katika kupatikana kwako?
 
piga tu hao, wapigwe tu - by Pinda.umeshawahi kutafakari kauli kama hiyo? Kwa kauli kama hiyo amani itatoka wapi?

Ni kawaida kwa watu wenye maono kutoa tahadhari. Nyerere alionya kuwa hapatakuwepo na amani africa ya kusini wakati watu weusi wanabaguliwa. Silaa anaadharisha kuwa TZ haitatawalika kama haki haitakuwepo. Hiyo ndiyo historia ya mwanadamu, bila haki hakuna amani
 
WanaJF!

CHADEMA kama moja ya chama cha siasa Tanzania kilipata umaarufu wa ghafla miaka michache iliyopita kwa kile kinacho daiwa kuwa ni chama kinacho chukia ufisadi, kinacho kemea unyanyasaji wa aina yoyote kwenye ardhi ya Tanzania lakini kubwa zaidi CHADEMA kiliaminiwa ni chama chenye kupenda amani, utulivu na mshikamano.

Kama CHADEMA ilitokea kuaminiwa na watanzania kwa matendo yake niliyoorodhesha hapo juu, basi ni matendo hayo hayo ndio yatakifanya CHADEMA kupoteza hadhi yake kwa watanzania endapo matendo hayo HAYATAONEKANA tena kuwepo ndani ya CHADEMA.

Hivi karibuni mmoja wa viongozi wa CHADEMA kwa nafasi ya katibu mkuu, Dr Slaa, amekuwa akitoa kauli za chuki mara kwa mara anapo jitokeza kuongea na watanzania hasa kuhusiana na mambo ya amani, utulivu na mshikamano wetu.

Watanzania kama ilivyo tamaduni na desturi yetu, ni watu wakarimu, wenye kupendana na matendo haya ndio yameweza kuzaa amani na utulivu uliokomaa miongoni mwetu, lakini tangia Dr Slaa ashindwe kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 amekuwa shinikizo kubwa la chuki kati yetu watanzania.

Dr Slaa ameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kukemea watanzania kuwa wasithubutu kuombea amani ya nchi yetu, kwani kwa kufanya hivyo ni kama tunajikomba na kujipendekeza kwa serikali yetu. Maneno hayo ameyatoa akiwa kwenye mkutano wa hadhara huku wananchi wakiwa hawaamini kama yanatoka kwa mtu mzima na mwenye akili timamu.

Ndugu watanzania, tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ya viongozi wetu wa kiimani hasa yake yenye sura ya kuombea amani na utulivu kwa taifa letu, mfano tu ni kama yafuatayo;

1. Tulimshuhudia padre Felician nkwera na wafuasi wake wakiandamana kutokea Tazara hadi Ubungo riverside kuombea amani ya nchi yetu.

2. Tumeshuhudia mchungaji Getrude Rwakatale akifanya ibada maalumu ya kuombea amani ya nchi yetu kwenye kanisa lake la mlima wa moto.

3. Pia tumeshuhudia mashekhe wakifanya dua maalumu kwa mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani.

Ndugu watanzani, swali la kujiuliza ni moja tu, hivi Dr Slaa ni bora sana, mwelevu na mkweli wa kuzidi hawa viongozi wetu wa kiimani?, naamini majibu mengi kwa mtu yeyote mwenye muono wa kati yatakuwa HAPANA, kama ni hivyo, nini sasa kifanyike dhidi ya Dr Slaa na kauli zake za chuki kwa taifa?

Kwa upande wangu napendekeza baraza la wazee la CHADEMA akiwemo na mzee Mtei wakae na Dr Slaa ili wamueleze mapungufu yake na siasa zake za chuki kwa taifa kisha wamshauri namna bora ya ufanyaji wa siasa, kwani hata hao wazee nao walikuwa wanasiasa enzi zao ila hawakuwahi kuhubiri siasa za CHUKI.

ANGALIZO: BILA UPINZANI MADHUBUTI, CCM ITALEMAA.
 
Tufanye mpango wa kususia thread za jamaa wa buku 7.
 
Unajipa taabu sana na vita yako dhidi ya Dr. Slaa, hope inakulipa sana..
 
Pole sana, slaa ndo amekupa kula bila kauli zake hizo we na watoto wako hamwendi chooni
 
Unajipa taabu sana na vita yako dhidi ya Dr. Slaa, hope inakulipa sana..

Baba V wewe ni mtu mzima, ningependa utoe mchango ambao ni constructive kwa ajili ya kukijenga chama chako. Bila upinzani imara na madhubuti, CCM italemaa.
 
Mkuu hamy-d slaa anashetani anyemsumbua shetani huyu ndiye aliyemwambia kuacha kazi za mungu na kuja kwenye kai za kijamii hasa siasa,

mimi imani yangu inaniambia kwamba huwezi kushindwa kuendesha kazi za mungu halafu ukaweza za duniani,

Kama slaa alishindwa kufanya kazi za mungu hataweza kuzifanya za kidunia kwani shetani aliyemtoa kanisani ndiyo huyo atamtoa kwenye jamii,

kibaya zaidi kwa sasa slaa amekuwa ni mtu wa ajabu sana anasema hatuwezi kuombea amani halafu juzi kaenda kwenye kongamano la kujadili amani sasa sielewi kama mzee wetu alienda kuuza sura tu ili aonekane kwenye tv au alikwenda kufanya nini.
 
hiv ile threads ya SITA KUHUSU DR. ILIISHIA WAP???
 
Unajipa taabu sana na vita yako dhidi ya Dr. Slaa, hope inakulipa sana..
Haya ndiyo mawazo ya vijana wa bavicha wanywa viroba asubuhi badala ya chai sasa umeandika nini walevi bana.
 
WanaJF!

CHADEMA kama moja ya chama cha siasa Tanzania kilipata umaarufu wa ghafla miaka michache iliyopita kwa kile kinacho daiwa kuwa ni chama kinacho chukia ufisadi, kinacho kemea unyanyasaji wa aina yoyote kwenye ardhi ya Tanzania lakini kubwa zaidi CHADEMA kiliaminiwa ni chama chenye kupenda amani, utulivu na mshikamano.

Kama CHADEMA ilitokea kuaminiwa na watanzania kwa matendo yake niliyoorodhesha hapo juu, basi ni matendo hayo hayo ndio yatakifanya CHADEMA kupoteza hadhi yake kwa watanzania endapo matendo hayo HAYATAONEKANA tena kuwepo ndani ya CHADEMA.

Hivi karibuni mmoja wa viongozi wa CHADEMA kwa nafasi ya katibu mkuu, Dr Slaa, amekuwa akitoa kauli za chuki mara kwa mara anapo jitokeza kuongea na watanzania hasa kuhusiana na mambo ya amani, utulivu na mshikamano wetu.

Watanzania kama ilivyo tamaduni na desturi yetu, ni watu wakarimu, wenye kupendana na matendo haya ndio yameweza kuzaa amani na utulivu uliokomaa miongoni mwetu, lakini tangia Dr Slaa ashindwe kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 amekuwa shinikizo kubwa la chuki kati yetu watanzania.

Dr Slaa ameenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kukemea watanzania kuwa wasithubutu kuombea amani ya nchi yetu, kwani kwa kufanya hivyo ni kama tunajikomba na kujipendekeza kwa serikali yetu. Maneno hayo ameyatoa akiwa kwenye mkutano wa hadhara huku wananchi wakiwa hawaamini kama yanatoka kwa mtu mzima na mwenye akili timamu.

ndugu watanzania, tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ya viongozi wetu wa kiimani hasa yake yenye sura ya kuombea amani na utulivu kwa taifa letu, mfano tu ni kama yafuatayo;

1. Tulimshuhudia padre Felician nkwera na wafuasi wake wakiandamana kutokea Tazara hadi Ubungo riverside kuombea amani ya nchi yetu.

2. Tumeshuhudia mchungaji Getrude Rwakatale akifanya ibada maalumu ya kuombea amani ya nchi yetu kwenye kanisa lake la mlima wa moto.

3. Pia tumeshuhudia mashekhe wakifanya dua maalumu kwa mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani.

Ndugu watanzani, swali la kujiuliza ni moja tu, hivi Dr Slaa ni bora sana, mwelevu na mkweli wa kuzidi hawa viongozi wetu wa kiimani?, naamini majibu mengi kwa mtu yeyote mwenye muono wa kati yatakuwa HAPANA, kama ni hivyo, nini sasa kifanyike dhidi ya Dr Slaa na kauli zake za chuki kwa taifa?

Kwa upande wangu napendekeza baraza la wazee la CHADEMA akiwemo na mzee Mtei wakae na Dr Slaa ili wamueleze mapungufu yake na siasa zake za chuki kwa taifa kisha wamshauri namna bora ya ufanyaji wa siasa, kwani hata hao wazee nao walikuwa wanasiasa enzi zao ila hawakuwahi kuhubiri siasa za CHUKI.

Umeshakamilisha kazi ya bosi wako saaafi. Buku zako 7 kibindoni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tupe data za kushuka umaarufu wa cdm.acha blabla.rekodi za karibuni ni zile za 4-0!
 
Back
Top Bottom