Katika kauli zenye utata na hazijawahi kuhojiwa na Jeshi la Police ni hizi;
1.Tukitaka Nchi hii haitatawalika - DR. SLAA,
2. Ikishindikana tutaingi msituni - G. LEMA
Katika hali Amani Nchini ilivyowekwa Rehani ni ishara ya kauli hizo mbili huku wanchi tukiziba masikio na kufumba macho kutoona yajayo.Tuwe tunajua kuwa shetani nae ana wafuasi tena wengi nae huwa anajumuika Makanisani, Misikitini na madhabahuni. Na ndo maana hata waganga wakienyeji wadiliki kutumia Biblia na Quruan kwenye shughuli zao, tena na wala si kila amwitae Mungu atauona Ufalme wa Mungu.Tutafakari tunakoelekea kwani sasa hakuna mahamasishano ya maendeleo bali ni maandamano kila kukicha, hivi hawa tunaoandamana leo si hao hao watakaoandamana tena kumtoa madarakani waliyemweka?.
Kauli ya Nyerere: Ukisha zoea kunywa damu ya mtu utaendelea kunywa tu.
Ukitakampigane lazima mchokozane. Chadema katika mikutano,mihadhara na maandamano yao wamekuwa wakivikashivu vyombo vya Usalama sana nakushindwa kuelewa madhara ya vyombo hivyo viki-react itakuwaje?. Je ninani hajawahi wasikia Chadema wakisema Askali gani hawa na Dr. Slaa kwenye kampeni zake alienda mbali sana najinadi eti ametembea kote huko hajaona Askari anashangaa kuwakuta uwanjani ni bora waondoke kwani anajeshi lake. Hapo hapo mwehu mmoja akapanda jukwaani na kusema Rais hajafuzwa na.................... huku Slaa akiwepo hakukemea swala lile ila yeye yanapomkuta anataka Rais atoe kauli. Mimi nilifikiri kiongozi bora ni ambaye anakuwa mafano na wala si kuwasukumizia wenzake!