Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Hata hivyo michango hiyo inatolewa kwa hiyari... hakuna anayeshikiwa fimbo kutoa hela hiyo. Tofauti na hii ya serikali ya CCM inayotukata kila laini sh 33.3 kwa siku-na nina hasira na ninyi ccm kwa hili suala la kukatwa kwenye sim card; tutakutana kwenye sanduku la kura 2015. Tuwe hai tu!

kweeli.ndo manama slaa ameenda izrael kutanua kwa garama ndogo ya zaidi ya tsh 150,000,000/ na akarudi na ethiopian air line.sisi wa tz atuijui izrael kama ni kitu gani.lakini ufisadi wa cdm umefikia kuiuza nchi kwa kipande cha mkate.kama mmeona mtuletee uzayuni poa na hayo ndio yalio kuwa malengo ya baba yenu mtei tangia enzi za nyerere.ndo mana teacher alimpa beach. mazombi hawawezi kunielewa.
 
"U can not see the light in the cave, unless you are out of the cave because the cave fool the foolish"-Allegoy of the cave in the Republic by Plato
 
Hizo ni kauli tu,
vipi kuhusu hali halisi ya wizi wa mali ya umma/ufisadi/mauaji holela/kubana uhuru wa habari n.k.
Nani alipaswa kuhojiwa kwanza?

wizi wa magari, kuuza madawa ya kulevya, kiongozi kuishi na kuzaa na mkee wa mtu. kulaghai pesa za chama nk
 
Hivi umeshawahi kujipa mda wakufikiria tu hata kwa dakika 5 ilikuwaje twiga wakasafirishwa mchana wa jua kali, huku tukiambiwa tz inaongoza kwa ulinzi mkali kusini mwa jwangwa la sahara?

Tunaongoza kwenye ulinzi wa vitu gani,rasilimali,wananchi ama mipaka ya nchi?

Kwasababu sidhani kama hao wanaolinda hawahusiki.

Kama wameshindwa kuzilinda rasilimali za taifa.Then hiyo kauli ya kuwa tunaongoza kwa ulinzi mkali kusini mwa jangwa la sahara ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Siku bakhressa(non-partisan huyu sio CDM wala CCM) au mtoto wake akiandamana namimi ndo nitaandamana,,unapoteza maisha au kupata ulemavu kisa diwani,mbunge,chama au haki ka mnavyosema,,wakati haki haipatikani duniani,,ndio CCM ni wezi ila nchi yetu ina nafasi chungu nzima za kuwekeza,tafuta pesa somesha watoto wako alafu ongeza GDP ya nchi,,fikiri MO ana account asilimia 2-3 ya GDP,,tungekuwa na watu 10000 ka yeye,kweli tungesema CCM mbaya,,,,hao CDM na CCM wote ni OPPORTUNISTS tu,hakuna mzalendo,anayebisha aseme
 
hayo mawazo ya kihuni, wakati huo nchi haitawaliki wao na familia zao watakua ng'ambo wanatuangalia ktk tv... pu***f sana .kwel umasikin mbaya kuliko wote ni wa mawazo kama mnataka nchi si msubir 2015 au mna wasiwas? cdm hamna uwezo wa kuikomboa Tanzania ni porojo tu na kelele. ni bora tuchague sauti ya umma kuliko nyinyi!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ilo tusi likurudie wewe, Hebu tuambia nape and Co anaposema wananchi wakichagua upinzani damu itamwagika ana maana gani?au kwako hii ni kauli ya Amani?
 
Viongozi wote wakuu wa serikari ya CCM wamejificha nyuma ya makalio ya jeshi la POLISI na hivi karibuni makalio ya JWTZ huku wakiwaagiza vyombo vya Dola hivvyo kuwapiga wananchi kwa nguvu zao zote kwa niaba yao. Wakati huohuo wakuu kadhaa wa majeshi na Polisi wakiahidiwa vyeo uraiani muda ukifika, na wengine kama Generali Shimbo wa JWTZ akiwa ameukwaa Ubalozi tayari.

KWa taarifa yenu huko kwenye makalio ya MAAFANDE mtatoka tu na kuonyesha sura zenu wazi wazi bila kificho.

We have a concrete plan in hand to smoke you out of AFANDEZ behinds

Hakuna jeshi lililowahi kupambana na raia wake likashinda. Jeshi linaweza kuwachukua wananchi wake na kuwatenda uovu wote wautakao kwa kipindi fulani lakini kwa kufanya hivyo linaanzisha ufa mkubwa wa kujimaliza.

Kwa sababu;

Jeshi linaundwa na wananchi haliundwi na wanajeshi, wanaoliunda wakiamua kuliua linakufa tu.

POLISI wa CCM wote tunakaa nao mtaani, tunajua siri zao zote ikiwa ni pamoja na mahangaiko yao ya maisha.
Ugomvi wa Polisi na wananchi kama ungekuwepo kweli POLISI wangekuwa chali siku nyingi, kinachoendellea si ugomvi kati ya vyama na wananchi, bali ni Jeshi la Polisi linapiga wananchi na hakuna mwananchi anayejibu mapigo.

Tena afadhari hawa POLISI wa kawaida.
FFU ndo wana maisha ya kipuuzi na yanayowaanda kushindwa kwa kila hali. Zaidi wao hawana mtu wa kumtoa mchicha kila siku ili angalau watoto na wake zao waende chooni.

Ujanja wa viongozi wa CCM wa kuanzisha ukorofi kutokea makalioni mwa vyombo vya Dola kisha wao wenyewe kujitenga na matokeo yote ya ukorofi wao, ni ishara inayoonyesha ngome zote za CCM zimebomoka sasa wanataka kuuziba mkondo mkali wa mabadiliko ya kisiasa kwa kutumia behind zao.

Mabomu ya Machozi yametumika kwa maelfu elfu.
Risasi za moto kwa mamilioni.
Mabomu ya kivita pia yametumika.
Wamebaka Dada na Mama zetu
Wamewatia vilema wananchi wasio na hatia
Wananchi kwa mamia wameuawa na POLISI kwa maagizo ya CCM.

CCM Walichobakiza ni kula nyama za Watanzania wenzao tu and may be huko gizani wakicheza ngoma za madogoli wanakula
Unafikiri kuna nini cha zaidi wananchi wamebakizwa kufanywa??

Swali ambalo CCM hawajiulizi ni hili siku wananchi wakiamua kwenda kumwadhibu aliyewatua POLISI kuja kuwapiga itakuwaje?????
 
"U can not see the light in the cave, unless you are out of the cave because the cave fool the foolish"-Allegoy of the cave in the Republic by Plato

tetea hizo kashfa sisi watanzania hatuitambui izrael kama taifa je slaa alienda kivipi
a. kama alienda hija. hija huwezi kwenda na kimada
b. kama alienda ziarani.izrael dunia nzima wanawafahamu kama wanyang'anyi,basi hata slaa atakua kenda kupata semina za ki mossad(uporaji)
c. kama kaenda kimatanuzi na pesa za bakuli zenu.yaani mia mia mpaka zimetia pesa zaidi 150,000,000/ basi nyie ndo mazombi. izo poem zako hazipo clear watu wanata ukweli na uwazi.we unaleta lugha za walevi jamvini.
 
Ilo tusi likurudie wewe, Hebu tuambia nape and Co anaposema wananchi wakichagua upinzani damu itamwagika ana maana gani?au kwako hii ni kauli ya Amani?

inavyo semekana kuna watu miongoni mwa wapinzani wameshavuta advance na siku ya kuapishwa wanaipiga bei tz jumla.sasa kwa hilo we utakubali nchi iuzwe?
 
Damu ya chacha zakayo wangwe na legia mtema itawamaliza wanachadema, mbowe hataki kuona mtu wa kanda nyingine akipata nguvu ndani ya chadema hata zitto mmemaliza kwa majungu wakati bila zito chama chenu kisingelienda mbali hivyo basi msitafute mchawi nje ya chama chenu mchawi wenu ni mbowe na huyo padre mpenda wake za watu,
 
kweeli.ndo manama slaa
ameenda izrael kutanua kwa garama ndogo ya zaidi ya tsh 150,000,000/ na
akarudi na ethiopian air line.sisi wa tz atuijui izrael kama ni kitu
gani.lakini ufisadi wa cdm umefikia kuiuza nchi kwa kihpande cha
mkate.kama mmeona mtuletee uzayuni poa na hayo ndio yalio kuwa malengo
ya baba yenu mtei tangia enzi za nyerere.ndo mana teacher alimpa beach.
mazombi hawawezi kunielewa.

jipange ndo uje hapa we umeona kuna Police hapa bongo .
 
wizi wa magari, kuuza
madawa ya kulevya, kiongozi kuishi na kuzaa na mkee wa mtu. kulaghai
pesa za chama nk

we acha kujitoa akili mahakama ilio halalisha ndoa hiyo ifungwe wanao ufahamu kuliko wewe jipange upya ndo uje na uzushi ,unapata faida gani na ccm wakati bibi yako anakufa huuko kwa kukosa Asprin
 
Siku bakhressa(non-partisan huyu sio CDM wala CCM) au mtoto wake akiandamana namimi ndo nitaandamana,,unapoteza maisha au kupata ulemavu kisa diwani,mbunge,chama au haki ka mnavyosema,,wakati haki haipatikani duniani,,ndio CCM ni wezi ila nchi yetu ina nafasi chungu nzima za kuwekeza,tafuta pesa somesha watoto wako alafu ongeza GDP ya nchi,,fikiri MO ana account asilimia 2-3 ya GDP,,tungekuwa na watu 10000 ka yeye,kweli tungesema CCM mbaya,,,,hao CDM na CCM wote ni OPPORTUNISTS tu,hakuna mzalendo,anayebisha aseme

ndugu umemaliza wenye akili timamu watakuelewa tatizo wengi ni wajazwa upepo ambao hawataki kuumiza kichwa namnagani watajikwamua kwa hichokichache walichonacho wanategemea wanasiasa wawakomboe wakati wanasiasa nao wakokwenye kujikwamua yaani wajasiliamali wakisiasa lkn nikawaida wajinga ndio waliwao na ndio waumiao . Na ukitaka kujua wanasiasa wetu ni wajasiliamali wameingiza udini kwenye siasa kwa ulazma wa madaraka na hii ni hatari kubwa kuliko hayo matamshi ya kuwajaza upepo watuwaliochanganyikiwa na ugumu wamaisha .
 
Je wewe umeisha wahi kujiuliza ni kwanini maandamano hayafanyiki Moshi au Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla?

Uliwahi kusikia MOSHI wakipata huduma mbovu?
Halmashauri a Moshi iko chini ya CHADEMA!
 
tetea hizo kashfa sisi watanzania hatuitambui izrael kama taifa je slaa alienda kivipi
a. kama alienda hija. hija huwezi kwenda na kimada
b. kama alienda ziarani.izrael dunia nzima wanawafahamu kama wanyang'anyi,basi hata slaa atakua kenda kupata semina za ki mossad(uporaji)
c. kama kaenda kimatanuzi na pesa za bakuli zenu.yaani mia mia mpaka zimetia pesa zaidi 150,000,000/ basi nyie ndo mazombi. izo poem zako hazipo clear watu wanata ukweli na uwazi.we unaleta lugha za walevi jamvini.

Poor tofyo, unayoongea yote ni hallucinations, sijui unapigaga vigoba vingapi! Mbaya zaidi wewe ni gamba tena la kobe, hata ukijaribu kulivua unamuua kobe mwenyewe. Mwenyekiti wenu anatumia bei gani kwa kila safari? Mengine sioni cha kujibu kwa kweli kwa kuwa ulichoandika ni upumbavu tu!
 
tetea hizo kashfa sisi watanzania hatuitambui izrael kama taifa je slaa alienda kivipi
a. kama alienda hija. hija huwezi kwenda na kimada
b. kama alienda ziarani.izrael dunia nzima wanawafahamu kama wanyang'anyi,basi hata slaa atakua kenda kupata semina za ki mossad(uporaji)
c. kama kaenda kimatanuzi na pesa za bakuli zenu.yaani mia mia mpaka zimetia pesa zaidi 150,000,000/ basi nyie ndo mazombi. izo poem zako hazipo clear watu wanata ukweli na uwazi.we unaleta lugha za walevi jamvini.

Tofyo mimi sijaelewa hv kinakuuma kitu gani hapo? Hizo pesa si tunachanga sisi kwa hiari?
 
Back
Top Bottom