Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

HOPELESS THINKING, tumechoka kuishi kimasikini sio eti chadema walisema au mwita alisema, ni tumechoka na CCM
 
Nafikiri ulikuwa unataka kumaanisha ''vitu'' Ndugu hivi kweli unaamini Slaa aletwa special kutoka kwa Mungu ili aje aongoze?, La hasha hata Rais Kikwete tuliambiwa hivyo hivyo kama utakuwa umesahau kwa sababu ya matukio mengi. Macho yamefungwa huoni na hutaki kujishughulisha ilibuone.
Wewe ni muongo na jamii ya waongo wako kuzimu wengine wapo duniani wakijaribu kusogeza watu motoni kama wewe!!
 
1. Wauza unga wote nawafahamu kwa majina

2. Mafisadi wana nguvu tukiwashitaki nchi itayumba

Maneno ya nani haya, akahojiwe
 
Hivi umeshawahi kujipa mda wakufikiria tu hata kwa dakika 5 ilikuwaje twiga wakasafirishwa mchana wa jua kali, huku tukiambiwa tz inaongoza kwa ulinzi mkali kusini mwa jwangwa la sahara?

Mkuu upo sahihi sasa jiulize tata mura zimo na je anaelewa kitu?
 
Nafikiri ulikuwa unataka kumaanisha ''vitu'' Ndugu hivi kweli unaamini Slaa aletwa special kutoka kwa Mungu ili aje aongoze?, La hasha hata Rais Kikwete tuliambiwa hivyo hivyo kama utakuwa umesahau kwa sababu ya matukio mengi. Macho yamefungwa huoni na hutaki kujishughulisha ilibuone.

Mkuu Mbona hueleweki?Kama unawaamini waliosema Kikwete aliletwa Special toka kwa Mungu kwa nini uwakataze wanaosema Slaa naye katoka kwa Mungu?.Kama huwaamini waliosema Kikwete aliletwa Special kutoka kwa Mungu,kwa nini Uwapinge wanaomwona hana Uwezo wa kutuunganisha kama Taifa kwa ajili ya kutupatia Maendeleo?
 
Nilidhani labda una pointi niisome post yako kumbe upuuzi wa kutupwa? Kauli ngapi za Pinda hujazisema usiwe mnafiki. Alisema kuhusu mgomo wa Madkatari Litakalokuwa na liwe siku ya pili yake Ulimboka alitekwa, Akawaagiza polisi wapige wananchi vipigo vinaendelea nchi nzima. Unapoandika uwe unatumia ubongo kufikiri
 
LIWALO NA LIWE(MIZENGO PINDA) na Likawa kweli Ulimboka akatekwa na Rama Igondu wa Tiss yaliyompata yanajulikana.
MSIPOICHAGUA CCM ' MTAKUFA'(LAMECK MWIGULU NCHEMBA) na watu wakafa kweli
baada ya bomu kurushwa kwenye mkutano wa CDM.
Mleta mada ulishafikirishaga japo kaubongo kidogo kuhusu hata hizo statement mbili za viongozi wako wa chama na serikali?????
 
Katika kauli zenye utata na hazijawahi kuhojiwa na Jeshi la Police ni hizi;
1.Tukitaka Nchi hii haitatawalika - DR. SLAA,
2. Ikishindikana tutaingi msituni - G. LEMA

Katika hali Amani Nchini ilivyowekwa Rehani ni ishara ya kauli hizo mbili huku wanchi tukiziba masikio na kufumba macho kutoona yajayo.Tuwe tunajua kuwa shetani nae ana wafuasi tena wengi nae huwa anajumuika Makanisani, Misikitini na madhabahuni. Na ndo maana hata waganga wakienyeji wadiliki kutumia Biblia na Quruan kwenye shughuli zao, tena na wala si kila amwitae Mungu atauona Ufalme wa Mungu.Tutafakari tunakoelekea kwani sasa hakuna mahamasishano ya maendeleo bali ni maandamano kila kukicha, hivi hawa tunaoandamana leo si hao hao watakaoandamana tena kumtoa madarakani waliyemweka?.

Kauli ya Nyerere: Ukisha zoea kunywa damu ya mtu utaendelea kunywa tu.

Ukitakampigane lazima mchokozane. Chadema katika mikutano,mihadhara na maandamano yao wamekuwa wakivikashivu vyombo vya Usalama sana nakushindwa kuelewa madhara ya vyombo hivyo viki-react itakuwaje?. Je ninani hajawahi wasikia Chadema wakisema Askali gani hawa na Dr. Slaa kwenye kampeni zake alienda mbali sana najinadi eti ametembea kote huko hajaona Askari anashangaa kuwakuta uwanjani ni bora waondoke kwani anajeshi lake. Hapo hapo mwehu mmoja akapanda jukwaani na kusema Rais hajafuzwa na.................... huku Slaa akiwepo hakukemea swala lile ila yeye yanapomkuta anataka Rais atoe kauli. Mimi nilifikiri kiongozi bora ni ambaye anakuwa mafano na wala si kuwasukumizia wenzake!

Ndugu yangu hakuna Mganga anayetumia Biblia.Hiki ni Kitabu cha Mungu aliye hai.
 
Small brains will never understand issues presented by big brains!
 
LIWALO NA LIWE(MIZENGO PINDA) na Likawa kweli Ulimboka akatekwa na Rama Igondu wa Tiss yaliyompata yanajulikana.
MSIPOICHAGUA CCM ' MTAKUFA'(LAMECK MWIGULU NCHEMBA) na watu wakafa kweli
baada ya bomu kurushwa kwenye mkutano wa CDM.
Mleta mada ulishafikirishaga japo kaubongo kidogo kuhusu hata hizo statement mbili za viongozi wako wa chama na serikali?????

mkuu mtoa mada ni walewale ambao ndo wa kamleten, kujikombakomba, kulinadana, elimu yake ya ni ya mashaka sn, ata mkate wake wa kila cku ni tatzo msameheni!
 
Je wewe umeisha wahi kujiuliza ni kwanini maandamano hayafanyiki Moshi au Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla?

Kilimanjaro chadema ndio chama tawala kama ni maandamano wafanye ccm_ndesa pesa
hivi airport ya dar ilikuweje unga ukapita kwenda sauzi na kia zikapita wanyama hai hadi UAE_tz hakuna serekali na mbona hajawajibishwa mtu?
are you crzy?
 
Bila kusahau kauli ya babu tendwa nitaifuta chadema..pia ni uchochezi kufuta chama cha mungu.
 
Back
Top Bottom