Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

ndugu yenu kashindwa kuwafukuza mafisadi anaokula na kucheka nao mchana kweupe, lakini anajitutumua kwenda kuwafukuza M23 kwenye misitu ya masokwe ya Kongo.
 
Katika kauli zenye utata na hazijawahi kuhojiwa na Jeshi la Police ni hizi;
1.Tukitaka Nchi hii haitatawalika - DR. SLAA,
2. Ikishindikana tutaingi msituni - G. LEMA
Subutuu!!!!

Si wajaribu tujue moja!!!
 
katika kauli zenye utata na hazijawahi kuhojiwa na jeshi la police ni hizi;
1.tukitaka nchi hii haitatawalika - dr. Slaa,
2. Ikishindikana tutaingi msituni - g. Lema

katika hali amani nchini ilivyowekwa rehani ni ishara ya kauli hizo mbili huku wanchi tukiziba masikio na kufumba macho kutoona yajayo.tuwe tunajua kuwa shetani nae ana wafuasi tena wengi nae huwa anajumuika makanisani, misikitini na madhabahuni. Na ndo maana hata waganga wakienyeji wadiliki kutumia biblia na quruan kwenye shughuli zao, tena na wala si kila amwitae mungu atauona ufalme wa mungu.tutafakari tunakoelekea kwani sasa hakuna mahamasishano ya maendeleo bali ni maandamano kila kukicha, hivi hawa tunaoandamana leo si hao hao watakaoandamana tena kumtoa madarakani waliyemweka?.

Kauli ya nyerere: Ukisha zoea kunywa damu ya mtu utaendelea kunywa tu.

Ukitakampigane lazima mchokozane. Chadema katika mikutano,mihadhara na maandamano yao wamekuwa wakivikashivu vyombo vya usalama sana nakushindwa kuelewa madhara ya vyombo hivyo viki-react itakuwaje?. Je ninani hajawahi wasikia chadema wakisema askali gani hawa na dr. Slaa kwenye kampeni zake alienda mbali sana najinadi eti ametembea kote huko hajaona askari anashangaa kuwakuta uwanjani ni bora waondoke kwani anajeshi lake. Hapo hapo mwehu mmoja akapanda jukwaani na kusema rais hajafuzwa na.................... Huku slaa akiwepo hakukemea swala lile ila yeye yanapomkuta anataka rais atoe kauli. Mimi nilifikiri kiongozi bora ni ambaye anakuwa mafano na wala si kuwasukumizia wenzake!

hii ndiyo post yako? Big up you need to pull up your socks
 
Maandamano huyaoni jinsi yanavyoangamiza Maisha ya watu kwa masrahi ya watu wachache. Hivi mfano watu wanauana ili Diwani aingie kwenye uraji wake na familia yake na viongozi wajuu wa chama.

Kwenye maandamano wanaouwa ni akina nani?
Polisiccm na green guard ndo wanaopanga mauaji na si CDM.tumeshuhudia!
 
Ni Tanzania tu Waziri wa nishati anawatangazia wananchi kuanzia mwakani tutaanza kuuza umeme nchi za jirani wakati asilimia 87 ya wa Tz bado hawaja unganishiwa umeme na hawajui ni lini wataunganishiwa umeme.
 
hayo mawazo ya kihuni, wakati huo nchi haitawaliki wao na familia zao watakua ng'ambo wanatuangalia ktk tv... pu***f sana .kwel umasikin mbaya kuliko wote ni wa mawazo kama mnataka nchi si msubir 2015 au mna wasiwas? cdm hamna uwezo wa kuikomboa Tanzania ni porojo tu na kelele. ni bora tuchague sauti ya umma kuliko nyinyi!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni Tanzania tu Waziri wa nishati anawatangazia wananchi kuanzia mwakani tutaanza kuuza umeme nchi za jirani wakati asilimia 87 ya wa Tz bado hawaja unganishiwa umeme na hawajui ni lini wataunganishiwa umeme.
 
Katika kauli zenye utata na hazijawahi kuhojiwa na Jeshi la Police ni hizi;
1.Tukitaka Nchi hii haitatawalika - DR. SLAA,
2. Ikishindikana tutaingi msituni - G. LEMA

Katika hali Amani Nchini ilivyowekwa Rehani ni ishara ya kauli hizo mbili huku wanchi tukiziba masikio na kufumba macho kutoona yajayo.Tuwe tunajua kuwa shetani nae ana wafuasi tena wengi nae huwa anajumuika Makanisani, Misikitini na madhabahuni. Na ndo maana hata waganga wakienyeji wadiliki kutumia Biblia na Quruan kwenye shughuli zao, tena na wala si kila amwitae Mungu atauona Ufalme wa Mungu.Tutafakari tunakoelekea kwani sasa hakuna mahamasishano ya maendeleo bali ni maandamano kila kukicha, hivi hawa tunaoandamana leo si hao hao watakaoandamana tena kumtoa madarakani waliyemweka?.

Kauli ya Nyerere: Ukisha zoea kunywa damu ya mtu utaendelea kunywa tu.

Ukitakampigane lazima mchokozane. Chadema katika mikutano,mihadhara na maandamano yao wamekuwa wakivikashivu vyombo vya Usalama sana nakushindwa kuelewa madhara ya vyombo hivyo viki-react itakuwaje?. Je ninani hajawahi wasikia Chadema wakisema Askali gani hawa na Dr. Slaa kwenye kampeni zake alienda mbali sana najinadi eti ametembea kote huko hajaona Askari anashangaa kuwakuta uwanjani ni bora waondoke kwani anajeshi lake. Hapo hapo mwehu mmoja akapanda jukwaani na kusema Rais hajafuzwa na.................... huku Slaa akiwepo hakukemea swala lile ila yeye yanapomkuta anataka Rais atoe kauli. Mimi nilifikiri kiongozi bora ni ambaye anakuwa mafano na wala si kuwasukumizia wenzake!

Jaribu ku-edit kwanza kiswahili chako ndio nitachangia, unaandika kama unakimbizwa? Umenipa mashaka hata kwenye uchambuzi wako wa mambo! Samahani!
 
Tafakari kwanza anayeleta hzi vurugu kama sio hii serikali inayepiga watu mabomu kwenye mikutano halali, maandano halali ya amani na kuiba rasimali ya taifa.
 
Hivi umeshawahi kujipa mda wakufikiria tu hata kwa dakika 5 ilikuwaje twiga wakasafirishwa mchana wa jua kali, huku tukiambiwa tz inaongoza kwa ulinzi mkali kusini mwa jwangwa la sahara?

Umeshakaa ukafikiri kwa nini kila siku SLAA yuko ISRAELI, UJERUMANI, JAPANI NA KANADA yeye na MSHUMBUZI kwa ruzuku ya chama?
 
Umeshakaa ukafikiri kwa nini kila siku SLAA yuko ISRAELI, UJERUMANI, JAPANI NA KANADA yeye na MSHUMBUZI kwa ruzuku ya chama?

JK na salma wanasafiri sana kwa kutumia kodi yetu; halafu wanabembea Jamaica;
 
Thread zingine hizi kichefu chefu sana,
Hiv wewe ndio kusema ugumu wa maisha huu tulionao sasa unasababishwa na wapinzani au hawa waliopo madarakani??
Huduma tunachangia lakini mbona sasa hajizainuka??watu wanalala chini hospitalin,watoto wana kaa chini mashuleni,madawa kupatikana hadi ulie kilio cha mbwa,mfumuko wa bei uko juu,pesa imeshuka thamani,vijana hawana ajira mitaani,kilimo hakina tija vijijin,jeshi la polisi na jwtz linapiga wananchi,yan mambo chungu mbovu unadhani nchi hii itatawalika namna gani??
Watu wamechoka kweli na wamekosa matumain,usione kupo cool ukahis kuna amani,hakuna amani,

Kama kutupiga waje tuh kutupiga,potelea mbali nasisi tumeshachoka sasa,na ole wenu nyinyi mnaowakumbatia kumbatia hawa mafisadi,mungu anawaona na laana yake haitawaacha,
 
piga tu hao, wapigwe tu - by Pinda.umeshawahi kutafakari kauli kama hiyo? Kwa kauli kama hiyo amani itatoka wapi?


Huyu mleta uzi ameiona kweli hii post
Copy imfikie muda wowote tata mura maana Mi naona fikra yake ni fupi sana!
 
Last edited by a moderator:
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

huko walishajua haki zao siku nyingi walishakataa mafisadi mda mrefu ndo maana elimu inapelekwa ambako bado, ila sasa hamtaki ndo maana mnapiga mabomu, ila haitasaidia nguvu ya umma ikishaamua hata wewe utajiunga tu.

Mkuu umemjibu huyu gamba vizuri..kwa jibu hilo lazima atoke nduki.
 
wenye hekima walijitoa mapema chadema,kauli ya dj pale furahisha mwanza akiuliza watu walio hudhuria mkutano wangapi wanataka tanzania iwe kama libya?. kwahio kama tunakubali wale walioanzisha vurugu nchini libya ni wahuni.sasa mtu kama dj au kababu kalikosa mke adi leo au lile jambazi sugu pale arusha unaweza kusemaje.
 
Hawa MENDE wala wasikupe shida. Wameshajijengea wigo na sababu za kutosha za kukataliwa( au kunyimwa kama wakipata).
Nani atakubali MANGI wapewe nchi????"""THIS COUNTRY CAN NEVER BE LEFT TO DOGS"
Dogs of this nation are well known
 
Hayo ni matatizo ya akili ndogo kutawala akili kubwa.
Mumekalia hayo hayo nchi inaangamia.
Michango ya chadema ni sehemu ndogo sana ukilinganisha na fedha za umma zinazo potea.Wala haziliwi zinatolewa kama sadaka kutokana na majukumu waliokubaliana.

Hata hivyo michango hiyo inatolewa kwa hiyari... hakuna anayeshikiwa fimbo kutoa hela hiyo. Tofauti na hii ya serikali ya CCM inayotukata kila laini sh 33.3 kwa siku-na nina hasira na ninyi ccm kwa hili suala la kukatwa kwenye sim card; tutakutana kwenye sanduku la kura 2015. Tuwe hai tu!
 
Je wewe umeisha wahi kujiuliza ni kwanini maandamano hayafanyiki Moshi au Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla?

we mpuu.zi acha ukabila na ukanda, usinitafutie ban saa hizi! Njoo moshi wewe ukafanye maandamano! Poor magamba, sera=0.0!
 
Back
Top Bottom