Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

Mkuu mada ina akili sana ila wengi waliochangia nadhani wako na mahang over. Cdm kuhubiri kwamba ccm ndiyo wa kuleta ya nchi ni kuwalemaza watz na kuwafanya waisubiri gvt tu. Kitendo hiki kitakuwa mwiba kwa cdm. Na tusishangae ya misri kutokea. Wanasiasa wanapaswa kuzungumza yanayotekelezeka na si kuitazama ikulu tu. For exmpl unaahidi kutoa ajira kwa vijana wote, wap na wap. Mataifa yaliyoendelea stil ajira ni tatizo. Tuwe makini.
 
Ni mwendawazimu tu ndie anaweza akaiamini CCM. CCM ndio kansa inayotafuna nchi. Chadema wanawahamasisha wananchi wasichangie maendeleo kwa sababu hata wakichangia zinaishia mifukoni mwa manyang'au ya CCM. Msiwafanye watanzania mazuzu Magamba wakubwa nyie. Yeyote anayeishabikia CCM ana LAANA yeye na KIZAZI chake kwa kuisaliti TANZANIA.

safi sana mkubwa!!!
 
Chadema hawawezi kuongoza nchi miaka yote watabakia serikali kivuli.
 
Angalia usije kumuumbua slaa anayejichotea ruzuku ya chama halafu anaenda kutumbua israeli

Ntamuumbua yule aliyetusainisha mikataba 19 na akina TOYO ili kumuokoa prince asinyongwe kwa kukamatwa na madawa ya kulevya yaliyomwathiri Ray c hadi akaokolewa na raisi wetu MPENDWA...
 
Ntamuumbua yule aliyetusainisha mikataba 19 na akina TOYO ili kumuokoa prince asinyongwe kwa kukamatwa na madawa ya kulevya yaliyomwathiri Ray c hadi akaokolewa na raisi wetu MPENDWA...

hahaha baba v bhana, mjanja mjanjaaaa!
 
85% ya misaada inaishia kwa wahindi through tenda!kazi zetu ulinzi usiku na udereva!pesa ya madini mnaweka mfukoni,tukijitahidi kwa chochote mnakuja na TRA,TBS,NEMC,TFDA,POLISI mnafunga ka mradi ketu

Umesahau michango ya mwenge na wakuu wa kichama wanapotembelea maeneo yetu. Ukikataa kuchangia = Hakuna ruhusa ya kufanya biashara na ukikaidi fasta unalambishwa udongo.
 
Back
Top Bottom