Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Haitoshi kuwa na 'business plan' nzuri na kuiweka kabatini...CCM wana mipango-mikakati mingi tu ya kusadikika tokea Mkurabika,Mkukuta na mingine inayofanana na hiyo ila utekelezaji wake uko kwenye makabrasha tu!
 
CCM ipo tangu 1977, CDM ipo tangu lini?
Na hilo ndiyo tatizo toka 1977 m:busupaka sasa hivi CCM wana nini cha kujivunia kando ya kudidimiza elimu. Matokeo yake sector zote zinaendeshwa kisiasa, day in day out, business as usual. Insanity is repeatedly doing the same thing the same way and repeatedly expecting different results.
 
ni kweli kabisa najuta kuwa mtanzania hii Elimu ya Form 4 niliyoipata chini ya ccm imeniathiri kabisa huo sio uongo. Ndo maana asilimia 90 ya matokeo form 4 mwaka 2012 watu wamefeli sasa unasemaje?? Hao waliofeli wameathiriwa na Elimu au sera feki ya magamba au??? Yaani ww kuniambia nimeathirika na f4 unajidhalilisha mwenyewe maana chama chako ndo kimenifanya niathirike. Shake your brain before use okay???????
Dah, MWANAKASULU umenena!
 
Dk Slaa amezoea kwibakwiba tu. kaiba wake za watu na sasa anaiba sera za watu.
...hahahaaa! hivi hao wake ni magunia ya mahindi mpaka wanaibiwa au wao ndo wanamzimia. Kwa nini wasipige kelele wanapoibiwa au anawaziba midomo? Kama unachosema ni true basi na hao wake za watu wanamuiba Dr wetu.
 
It is visevresa kwa taarifa yako Chadema na Elimu anagalia electral mannifesto yao utajua naona unakurupuka muda .CCM mengi wameiba toka Chadema na ngojea wenye data watakupa hapa shortly .Lowasa ni michango kwenye evangelicals ili apate kura .

You are right. Uwongo huu hautamsaidia Lowasa kushinda kura za maoni ndani ya ccm.
 
Sina uhakika kama gharama za hiyo safari umejigharimia mwenyewe, lazima kutakuwa na uwezeshwaji umefanyika hapo!

Mkuu kama kweli uko vizuri kama unavyotaka kuniaminisha mbona unawalamba miguu maccm as if ndio miungu yako? Au unauza sembe kwahiyo usalama wako uko ccm kwahiyo unalazimika kuwatetea hata kwa mambo ya kinga sana wanayofanya!

Back to the topic: Si Lowasa wala ccm wenye sera ya elimu kwanza! #FACT

Mwita Maranya,kwanza kwa bahati mbaya hunijui,nashukuru kwa hilo ingawa ipo siku utanifahamu tu mkuu,sina biashara yoyote ya wizi wala ulaghai nadhani nitakuwa mtanzania pengine kama sio wa kwanza basi ni wa pili ama watatu katika kumiliki biashara/kazi ya uhalali na nalipa kodi,Uliza watu wanaitwa TMAA na wizara y Madini watakwambia ukiacha makampuni makubw kwenye uwekezaji wa madini nchini ambayo mimi napambana nayo kila siku namna yanqvyotuinia.

Nimeajiri zaidi ya vijana 400 na uwezo wao kifedha si haba,na naamini huwezi kuwafikia kifedha hata siku moja mkuu,sio kwamba naitetea ccm,hapana!lakini hata kama ningekuwa naietetea ccm siyo mbaya kwa sbb wewe unakula kutokana na kujibu haya maneno yangu ninayoyaandika humu jf pamoja na hao unaowaita Lumumba mara sijui buku saba!.

kwa hiyo mimi nikuombe tu kwa sbb una haki ya kuiunga mkono chadema vivyo hivyo mimi ama mtu mwingine awaye yote ana haki ya kuiunga mkono cm,Nccr mageuzi,cuf na chama kingine chochote kile.

Mkuu wewe njoo twende Bukoba kwenye timu yetu ya Yanga.
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Chadema sera namba moja ni ELIMU, Lowassa ndiye aliyeiga sera hiyo. Kumbuka kwamba Lowassa hana Chama chake binafsi bali ni CCM, anachokifanya Lowassa ni kuweka mtazamo wake tofauti na sera za CCM kielimu kwa kuiga sera za Chadema. Kumbuka sera hizo ziko katika ilani zao za kichama za uchaguzi ambazo walizinadi wakati wa uchaguzi mwaka 2010.. Lowassa hana sera kwa kuwa Lowassa si chama bali Lowassa anamawazo sawa kabisa na sera za Chadema baada ya kuona yanaweza kutekelezeka akadandia.
 
dr ni mzee wa ku copy na kupest?

Ni kweli anacopy na ku-paste: Mi hadi najua amekopy wapi. Em soma hii hapa:
SOMA KIPENGELE CHA 7 KUONA CHADEMA ILISEMA ELIMU KWANZA 1992. LOWASSA NA CCM NDIO WALIOIGA
View attachment 116093
Elimu kwanza ni sera ya CHADEMA kuanzia mwaka 1992. Imetungwa pale Kisutu jijini Dar es Salaam karibu na mahekalu ya Wahindi. Nakupa sehemu ya ushahidi hapa chini.

Wakati huu Sera ya Lowassa ilikuwa kuuza Viunga vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Lowassa pia alikuwa tayari keshauza Kata yooote ya LolKisale kule Arusha kumpa mwekezaji uchwara mmoja mzungu akiitwa Stein. Hizo ndo sera za Lowassa tunazozijua. Kama si Wamasai kupandisha mori Lolkisale ilikuwa ndo imeshauzwa tayari. Kwa hiyo ndugu yangu sera kuu ya Lowassa ni kuuza ardhi Tanzania. Elimu kwanza ni sera ya CHADEMA.

Sera ya elimu CHADEMA ambayo unaiona hapa kwenye vivuli nimekuwekea CCM wamejaribu kuiga lakini hawapati mafanikio kwa sababu wanaiga sera so ya kwao. Sera ya Lowassa inayojulikana ni ile ya kuuza Lolkisale, Viwanja ya Mnazimmoja na kusaidia Wahindi kupora nchi yetu; kusaidia wahindi kuwekeza kwa hati miliki zetu wenyewe.

View attachment 116092


Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hat iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza . CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
babu Slaa ni mzee wa kukopy na kupest. hana sera jamanimwoneeni huluma kaishazeeka. kumbukeni mtu akizeeka akili huwa kama za mtoto, si kosa lake niuzee
 
babu Slaa ni mzee wa kukopy na kupest. hana sera jamanimwoneeni huluma kaishazeeka. kumbukeni mtu akizeeka akili huwa kama za mtoto, si kosa lake niuzee

Tatizo husomi majibu unayopewa​
Elimu kwanza ni sera ya CHADEMA kuanzia mwaka 1992. Imetungwa pale Kisutu jijini Dar es Salaam karibu na mahekalu ya Wahindi. Nakupa sehemu ya ushahidi hapa chini.

Wakati huu Sera ya Lowassa ilikuwa kuuza Viunga vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Lowassa pia alikuwa tayari keshauza Kata yooote ya LolKisale kule Arusha kumpa mwekezaji uchwara mmoja mzungu akiitwa Stein. Hizo ndo sera za Lowassa tunazozijua. Kama si Wamasai kupandisha mori Lolkisale ilikuwa ndo imeshauzwa tayari. Kwa hiyo ndugu yangu sera kuu ya Lowassa ni kuuza ardhi Tanzania. Elimu kwanza ni sera ya CHADEMA.

Sera ya elimu CHADEMA ambayo unaiona hapa kwenye vivuli nimekuwekea CCM wamejaribu kuiga lakini hawapati mafanikio kwa sababu wanaiga sera so ya kwao. Sera ya Lowassa inayojulikana ni ile ya kuuza Lolkisale, Viwanja vya Mnazimmoja na kusaidia Wahindi kupora nchi yetu; kusaidia wahindi kuwekeza kwa hati miliki zetu wenyewe.

SOMA KIPENGELE CHA 7 HAPA CHINI. LOWASSA NA CCM NDIO WAIGAJI WA MAMBO HAWAYAELEWI



View attachment 116092
 
Hivi nyie vibaraka wa lumumba buku7. Hamna kazi za kufanya hadi mnajidhalilisha hivo mnapigiana cm kwaajiri ya kuchangia uzi wa kipuuzi kama huu.njaa mpaka lini? Kama hicho kipaumbele ni cha mwana ccm tena aliyekuwa waziri mkuu mbona hatukuona elimu bule kama wanavyo tuambia chadema. Mbona hata michango yake tunaona kwenye makanisa"ama ni makanisa kwanza. Njooni na mada nzuri ili wenye uchungu na nchi wajadiri sio maneno ya kwenye kanga kama haya
 
Tehe tehe. Hivi wadau wa JF tujuzane nani ana hati miliki ya vipaumbele hapa Tanzania?

Kama taifa, tunayo safari ndefu kuyafikia maendeleo tuyatakayo. kwani tatizo liko wapi kwa mfano idea nzuri na yenye tija kwa taifa ikatoka kwa Mtanzania anaye amini katika itikadi tofauti na yako i.e. CDM, CUF, CCM, NCCR-Mageuzi, wasio na vyama nk? tukiruhusu akili zetu kutizama maendeleo katika 'wholistic approach' na siyo 'fragmented approach' tutaweza kuvuna mawazo mengi mazuri bila kujali limetolewa na nani. Kwa mtanzania yeyote, elimu bora, huduma nzuri za afya, miundombinu bora, taasisi imara na unafuu wa maisha kwa ujumla ni vipaumbele muhimu bila kujalisha imeasisiwa na chama gani au mtu gani..,,
 
...hahahaaa! hivi hao wake ni magunia ya mahindi mpaka wanaibiwa au wao ndo wanamzimia. Kwa nini wasipige kelele wanapoibiwa au anawaziba midomo? Kama unachosema ni true basi na hao wake za watu wanamuiba Dr wetu.
hahaha akikabidhiwa nchi ataiba yote aihamishie mbulu lo!
 
Kama taifa, tunayo safari ndefu kuyafikia maendeleo tuyatakayo. kwani tatizo liko wapi kwa mfano idea nzuri na yenye tija kwa taifa ikatoka kwa Mtanzania anaye amini katika itikadi tofauti na yako i.e. CDM, CUF, CCM, NCCR-Mageuzi, wasio na vyama nk? tukiruhusu akili zetu kutizama maendeleo katika 'wholistic approach' na siyo 'fragmented approach' tutaweza kuvuna mawazo mengi mazuri bila kujali limetolewa na nani. Kwa mtanzania yeyote, elimu bora, huduma nzuri za afya, miundombinu bora, taasisi imara na unafuu wa maisha kwa ujumla ni vipaumbele muhimu bila kujalisha imeasisiwa na chama gani au mtu gani..,,

una nia nzuri katika hoja lakini logic inapwaya ukiitizama kwa jicho la haki. dunia ingekuwa inaruhusu watu kuiba mawazo ya wengine na kuyafanya yao eti kwa sababu tunaweza kuleta maendeleo kwa hicho unachokiita 'wholistic approach' na siyo 'fragmented approach', basi dunia isingetunga sheria za patents na copyright laws au labda niseme sheria za haki miliki ya mawazo zisingetungwa. maneno kama plagiarism yasingekuwepo.

CCM wamejaribu kutekeleza sera karibu zote za CHADEMA tangu chama hiki kinaanza isipokuwa moja tu ya Majimbo. Binafsi nisingeona ubaya katika hili kama CCM wangekuwa na courtesy kukiri haya wakawaambia watanzania haya wanayojaribu kuyafanya wamechukuwa CHADEMA au hata mahala pengine kama kuna kitu wametoa pale. Huo ndo ustaarabu wa kisomi unavyoelekeza. Wanachukua mawazo ya watu, kisha wanaenda kudai ni mawazo ya Lowassa au mwanaCCM mwingine.

This is bull shit! It is plagiarism. na wewe unataka tukubali upuuzi huo kwa kuupatia jina zuri, eti 'wholistic approach' na siyo 'fragmented approach'. Think again dude.
 
attachment.php
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Maadui wakubwa watatu, as outlined by Nyerere 1. UJINGA, Solution, Elimu. 2.MARADHI,Soulution Afya bora. 3.UMASIKINI, Solution Ajira na Biashara. Kwa hiyo kwa kiongozi makini kama nyerere na Slaa hivi vitu vinatekelezwa kivitendo...sio kama nyie msioweza chochote, Mara kilimo kwanza, kufumba na kufumbua Big result now,hata hamtabiriki Magamba nyie, mwisho wenu umefika
 
Back
Top Bottom