Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Acha uzuzu ww, mhuni wa bavicha akili ya kukodi.
1. Ccm imejenga shule ya sekondari kila kata tanzania nzima.
2.ccm imejenga zahanati na kituo cha afya kila kijiji tz nzima
3. Ccm imejenga hospitali za rufaa kila mkoa nchi nzima
4. Ccm imejenga chuo kikuu kila mkoa.
Wapi chadema imejenga ht tundu moja la choo popote tz km sio porojo tuu kila kukicha. Ccm ni baba yenu. Hutaki unaacha

Hebu nipe progress report, mafanikio na mipango ya baadae.

Vyote hivyo ni zero.
Je katika hivyo vyuo vikuu waalimu wa hisabati tumepata wangapi? Au jk inabidi aombe Jamaica tena?

Cdm lini wamekusanya kodi nchi hii mpaka wakajenge na kusimamia shule? Hao wenyewe wanaosimamia shule mkijua ni cdm mnawatimua.

Tumieni akili, acheni kucheza mduara maisha ya watu.

Uliona ile shule ya wazazi aliyesoma le mutuz ilivyochoka? Pamoja na kukaa NY miaka yote hajawahi kuhimiza alumni wenzake waisaidie. Sasa hivi na njaa zake ndio anajifanya ana mind.
 
EL ni mtuhumiwa wa mambo mengi tu, mbali ya Richmond pia kwa kushirikiana na CCM wote wawili wanatuhumiwa kuibaka Elimu ya Tanzania kwa kuanzisha shule walizoziita eti shule za kata zisizo la vigezo vyovyote!! Vijana wanapoteza muda wao wa miaka 4 pale na walio wengi almost 90% wanaambulia sifuri - shule hizi zimepewa jina aka mitambo ya kutengeneza div sifuri. Wahitimu wa shule hizi walio wengi ndiyo waendesha bodaboda, mafundi gereji mitaani, madereva wa daladala na wauza nguo za mitumba, machinga's ; hawa ndiyo wataihukumu CCM 2015.
Kwa upande mwingine vijana hao wangemaliza darasa la saba na kuingia mitaani. Lipi bora?
 
Kwani ni mara ya kwanza kw Dk Slaa kuiba?!,ni kawaida yake kuiba na hata kupora,na hivi karibuni alikuwa na kesi ya sijui ni kuiba,kupora ama ni kuvunja ndoa?!kwa hiyo kama kweli ndivyo ilivyo kwa mujibu wa kichwa cha habari kilivyo haishangazi!!

Buku Saba FC umesajiliwa mwaka jana na kabla ya hapo ulikuwa hujui siasa sasa utawezaje kujua kwamba elimu ilikuwa ni kipaumbele cha kwanza katika ilani ya uchaguzi ya Chadema mwaka 2010 wakati huo ulikuwa bado uko mbwinde unachunga mbuzi na kondoo.

Mwambieni bosi wenu wa hapo lumumba ajitahidi kuwawekea maktaba ili angalau kabla hamjaanza kuharisha hapa JF muwe mnapata mahali pa kufanyia rejea!

Lowasa hajawahi kuwa na sera na kama anayo basi si nyingine isipokuwa ni sera ya ufisadi kwanza!
 
Tena kwa ushahidi ni shule za lowassa kila kata nchi nzima. Alianza kuzijenga mwaka 2005 mara tu baada ya kuukwaa uwaziri mkuu

uongo ! Mimi ninayo lisiti niliyochangishwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kata yangu . Na nimeitunza makusudi kwa ajili ya kuwakomesha waongo kama wewe , tujenge sisi sifa wapewe wengine , msifie lowasa huko makanisani .
 
Buku Saba FC umesajiliwa mwaka jana na kabla ya hapo ulikuwa hujui siasa sasa utawezaje kujua kwamba elimu ilikuwa ni kipaumbele cha kwanza katika ilani ya uchaguzi ya Chadema mwaka 2010 wakati huo ulikuwa bado uko mbwinde unachunga mbuzi na kondoo.

Mwambieni bosi wenu wa hapo lumumba ajitahidi kuwawekea maktaba ili angalau kabla hamjaanza kuharisha hapa JF muwe mnapata mahali pa kufanyia rejea!

Lowasa hajawahi kuwa na sera na kama anayo basi si nyingine isipokuwa ni sera ya ufisadi kwanza!

Mwita Maranya nilishakwambia ndugu yangu kama wewe na ndugu zako mnakula kwa kutetea ujinga na kubeb mikoba na Tablet za Dk Slaa na hawala yake,usidhani wote tuko hivyo!!mimi kwa taarifa yako hao unaowaita buku 7 nawajua sana na wananiogopa ipo siku utaamini haya ninayokwambia mimi sitetei ujinga hata siku moja nasimamia haki na usawa pamoja na ukweli.

Karibu twende Bukoba jumamosi,tutaondoka na ndege ya asubuhi hapa dar hadi Mwanza,pale nimeshaweka booking ya kukodi gari pale Dolphine tutaend Bukoba baada ya mechi ya Yanga tutarudi Jumapili Mwanza then tutfly kurudi Dar Jioni,tafadhi sikutanii mkuu naomba niPM ili ujue kwamba unavyonifikiria sivyo,gharama zote juu yangu Mkuu katika hili sikutanii.
 
Acha uzuzu ww, mhuni wa bavicha akili ya kukodi.
1. Ccm imejenga shule ya sekondari kila kata tanzania nzima.
2.ccm imejenga zahanati na kituo cha afya kila kijiji tz nzima
3. Ccm imejenga hospitali za rufaa kila mkoa nchi nzima
4. Ccm imejenga chuo kikuu kila mkoa.
Wapi chadema imejenga ht tundu moja la choo popote tz km sio porojo tuu kila kukicha. Ccm ni baba yenu. Hutaki unaacha

Wewe ndio karai kabisa.
Serikali ya ccm ndio inakusanya kodi zetu shurti ituletee maendeleo ingawa hayo yote uliyoyataja hakuna la kweli hata moja! Ccm haijawahi kujenga hata tundu moja la choo pamoja na kukaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne.
 
maccm mmeishiwa sera mnajali upuuz,huwez mlinganisha mamvi na dr wa ukweli.elimu mnayoiongelea lowasa mwenyewe kashiriki kuivuruga
 
Wewe ndio karai kabisa.
Serikali ya ccm ndio inakusanya kodi zetu shurti ituletee maendeleo ingawa hayo yote uliyoyataja hakuna la kweli hata moja! Ccm haijawahi kujenga hata tundu moja la choo pamoja na kukaa madarakani kwa zaidi ya nusu karne.

Mkuu Mwita Maranya!Naomba nikwambie kitu kiukweli unajidhalilisha sana kwa jinsi ulivyo pamoja na rafiki yangu Ben hampaswi kufanya haya mnayoyafanya,na hasa katika kumtetea Dk Slaa kwenye mambo ya kipuuzi,ukitaka kujua huyu unayemtetea sio,angalia kashindwa hta kutunza familia yake na kuamua kumkimbia mke akaenda kupora mke wa mtu!Kama mngeweza kumshauri kwanza akaacha hiyo tabia mngekuwa mmemsaidia sana.

Napata shida kidogo kama ikitokea bahati akagombea urais na akashinda,wewe na Ben ndio mtakuwa washauri wake,aombe sana muendelee kuwa hai vinginevyo sijui!!
 
Mwita Maranya nilishakwambia ndugu yangu kama wewe na ndugu zako mnakula kwa kutetea ujinga na kubeb mikoba na Tablet za Dk Slaa na hawala yake,usidhani wote tuko hivyo!!mimi kwa taarifa yako hao unaowaita buku 7 nawajua sana na wananiogopa ipo siku utaamini haya ninayokwambia mimi sitetei ujinga hata siku moja nasimamia haki na usawa pamoja na ukweli.

Karibu twende Bukoba jumamosi,tutaondoka na ndege ya asubuhi hapa dar hadi Mwanza,pale nimeshaweka booking ya kukodi gari pale Dolphine tutaend Bukoba baada ya mechi ya Yanga tutarudi Jumapili Mwanza then tutfly kurudi Dar Jioni,tafadhi sikutanii mkuu naomba niPM ili ujue kwamba unavyonifikiria sivyo,gharama zote juu yangu Mkuu katika hili sikutanii.

Sina uhakika kama gharama za hiyo safari umejigharimia mwenyewe, lazima kutakuwa na uwezeshwaji umefanyika hapo!

Mkuu kama kweli uko vizuri kama unavyotaka kuniaminisha mbona unawalamba miguu maccm as if ndio miungu yako? Au unauza sembe kwahiyo usalama wako uko ccm kwahiyo unalazimika kuwatetea hata kwa mambo ya kinga sana wanayofanya!

Back to the topic: Si Lowasa wala ccm wenye sera ya elimu kwanza! #FACT
 
It is visevresa kwa taarifa yako Chadema na Elimu anagalia electral mannifesto yao utajua naona unakurupuka muda .CCM mengi wameiba toka Chadema na ngojea wenye data watakupa hapa shortly .Lowasa ni michango kwenye evangelicals ili apate kura .

Kuiga siyo dhambi . Tatizo kubwa la magambah ni walk the talk yaani wanachofanya ni kufikiria kwa ma------ wakati mungu amewapa vichwa bure
 
Asilimia 99% ya ilan ya cdm wameiga ccm. Vitu vingene ambayo ni asilimia moja wameangalia upopepo wa siasa unaelekewa wapi?? Other wise cdm ilan= ccm ilan

Tatizo sio kufanana ilani tatizo ni njia za kutekeleza ilani. Hakuna jambo jipya litakuja mambo ni yaleyale mfano elimu, kilimo, afya. n.k ishu ni jinsi ya kutekeleza hiyo ilani ambapo kwa CCM ni ngumu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza . CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
dr ni mzee wa ku copy na kupest?
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
...ukiachilia mbali hoja yako dhaifu,so unatuthibitishia kwamba maccm hayajielewi,kila mtu anaibuka na sera itakayompa ulaji. Umesahau wakati wa kampeni tuliposema elimu bure,mkaiga mkatangaza hakuna ada alafu mkashindwa kutekeleza alafu unaleta utumbo jukwaani. Kama ni sera yenu mbona elimu inadidimia kila kuitwapo leo na kila resource mnayo..? Uj..inga wa kukimbilia mipasho wakati hata mngepewa miaka mia tano ya kuongoza hakuna mtakalofanya wachumia tumbo wakubwa...
 
CCM wana akili sana hata Karume alilisema hilo..... Kipaumbele ni JEMBE na NYUMBO........ shule za kata bila Waalimu, vitabu, darasa, maabara na Wanafunzi wasiojuza kusoma wala kuandika ila wapo Sekondari.

CCM-Samaki-430x320.jpg
ccm%5B1%5D.gif
 
Wewe katika yote aliyoyafanya point uliyoiona ni hiyo tu. Hakuna namna ya kujenga hoja nyingine maana hiyo ilisha shindwa tangu 2010. imeisha kuwa polojo ya wafuasi wengi wa ccm. Ama kweli kazi bado ipo
Dk Slaa amezoea kwibakwiba tu. kaiba wake za watu na sasa anaiba sera za watu.
 
Mkuu Mwita Maranya!Naomba nikwambie kitu kiukweli unajidhalilisha sana kwa jinsi ulivyo pamoja na rafiki yangu Ben hampaswi kufanya haya mnayoyafanya,na hasa katika kumtetea Dk Slaa kwenye mambo ya kipuuzi,ukitaka kujua huyu unayemtetea sio,angalia kashindwa hta kutunza familia yake na kuamua kumkimbia mke akaenda kupora mke wa mtu!Kama mngeweza kumshauri kwanza akaacha hiyo tabia mngekuwa mmemsaidia sana.

Napata shida kidogo kama ikitokea bahati akagombea urais na akashinda,wewe na Ben ndio mtakuwa washauri wake,aombe sana muendelee kuwa hai vinginevyo sijui!!

Mkuu Wabhejasana siku nikiona maccm mmeanza kunifagilia basi nitajua kwamba nimeshapoteza mwelekeo. Hatahivyo siji hapa JF kutafuta kusifiwa na magamba. Sitegemei kwa aina ya misumari ninayowapigilia buku saba fc eti mnisifie.

Btw mtu ambaye huna mke unawezaje kuzungumzia hali ya ndoa ya mwanaume mwenzako? Unajua mke anavyotunzwa ama anavyoibiwa? Chadema hii inayowanyima usingizi lumumba street ni kwasababu ya uongozi shupavu wa Dkt. Slaa!
 
Kweli ww ni kiazi pamoja na maccm ni mambulula sana elimu lowasa sera yake ni ufisadi bro wake fastjt yani ww ni yule mwanafunzi aliyechora zombi ni ww bila kukosea
 
Chris Lukosi, nasikia ulikimbia kwenu Iringa baada ya Vimbwa (Maga Dog) kuisha na sasa umevamia ma DOG ya Wadhungu UK?

Waambieni Wadhungu UK, wakiona Magari yanakwenda ni Dr. Mponjoli ila wakiona Mbwa wanapotea, Wahehe wafanyiwe utafiti na hasa huyu Lukosi. Ukija likizo Tanzania, karibu sana hapa Sikonge kwani kuna Mbwa wa jirani yangu simpendi sana kwa usumbufu wake ninaporudi usiku nimelewa Gongo langu na huwa ananidaka na kuninyang'anya nyama pori yangu. Wanyamwezi hatuna noma.

a.baa-One-very-big-dog.jpg
Bonge to kitoweo cha Wahehe.
 
Back
Top Bottom