Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

It is visevresa kwa taarifa yako Chadema na Elimu anagalia electral mannifesto yao utajua naona unakurupuka muda .CCM mengi wameiba toka Chadema na ngojea wenye data watakupa hapa shortly .Lowasa ni michango kwenye evangelicals ili apate kura .
CCM ipo tangu 1977, CDM ipo tangu lini?
 
Mtaweweseka sana nyie wakuda lkn Dr Slaa bado ni kipenzi cja rika zote
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Tatizo viongozi wao Mwenyekiti alianza na kumwibia mdogo wake mmoja yuko Marekani anafanyakazi ya uliberary, SLAA akaanza kuibia Kanisa, akaja kumuibia mwanaume mwenzake, sasa anaiba ruzuku za chama na kwenda kutanua na mke wa mtu huko Israeli, Ujerumani na marekani. Wataachaje kuiba sera.
 
Freeman Mbowe's speech at Serena Hotel wakati anazindua m4c alisema hivyo. Na ndo msimamo wa chama. Acha uwongo, ufitini na uzandiki!
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Hujielewi na uwezo wako mdogo wakushika vitu na kukariri................Hivi na nchi zote ambazo kipaumbele chao ni ELIMU nao wameiba wazo kwa Lowasa......Wanaweza kuwa na wazo moja ila strategies la kufanikisha hilo wazo likawa ni tofauti na hapo ndipo tunapotofautiana hata ktk vipato vya mtu mmoja mmoja coz mikakati ya huwa ni tofauti hata kama mnafanya biashara ya aina moja..Ok,kalale sasa..
 
Freeman Mbowe's speech at Serena Hotel wakati anazindua m4c alisema hivyo. Na ndo msimamo wa chama. Acha uwongo, ufitini na uzandiki!
speech ya juzi? LOWASSA alishai-implement na matunda tunayaona, wewe vipi.
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Dah... kuna mdau mmoja huwa.anasema "Kama akili ingekuwa ni kiungo cha uzazi basi wewe utakuwa tasa"
 
Asilimia 99% ya ilan ya cdm wameiga ccm. Vitu vingene ambayo ni asilimia moja wameangalia upopepo wa siasa unaelekewa wapi?? Other wise cdm ilan= ccm ilan

wewe kweli umechanganikana kama sio kuchanganikiwa. Je Hoja ya katiba mpya ilikuwa kwenye Ilani ya CCM au CDM? Hoja ya kushusha bei ya vifaa vya ujenzi mfano cement na n.k ilikuwa kwenye Ilani ya CCM au CDM????? Mbona ccm mlikejeli hoja hiyo lokn baadae kwa kukopi na kupest akina kinana wakasema inawezekana kushusha bei ya vifaa vya ujenzi?? CDM tulitoa kipaumbele kwenye elimu ndo maana tukasema elimu itakuwa bure!! Hoja ya kima cha chini cha mshahara CDM tunasema laki 3.15. CCM bwana kwa vituko. Hivi umekurupuka kabisa ukaandika pumba tupu aisee Lumumba wanatoa fedha zisizokuwa na matumizi halali.
 
Hujielewi na uwezo wako mdogo wakushika vitu na kukariri................Hivi na nchi zote ambazo kipaumbele chao ni ELIMU nao wameiba wazo kwa Lowasa......Wanaweza kuwa na wazo moja ila strategies la kufanikisha hilo wazo likawa ni tofauti na hapo ndipo tunapotofautiana hata ktk vipato vya mtu mmoja mmoja coz mikakati ya huwa ni tofauti hata kama mnafanya biashara ya aina moja..Ok,kalale sasa..

Husomeki, ulitaka kusema nini?
 
li thead la kise....ng....limejaa ----- wa ma ccm tupu lumumba hela zinalipwa kila alhamisi wanachukua 21000. ....poleni maccm.
 
Hujielewi na uwezo wako mdogo wakushika vitu na kukariri................Hivi na nchi zote ambazo kipaumbele chao ni ELIMU nao wameiba wazo kwa Lowasa......Wanaweza kuwa na wazo moja ila strategies la kufanikisha hilo wazo likawa ni tofauti na hapo ndipo tunapotofautiana hata ktk vipato vya mtu mmoja mmoja coz mikakati ya huwa ni tofauti hata kama mnafanya biashara ya aina moja..Ok,kalale sasa..

we twambie kipaumbele chako ni nini kama hutacopy na kupaste kutoka ccm
 
Back
Top Bottom