Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,782
Kazi nzuri, haya wahi kachukue buku 7 yako hapo lumumba
Njaa bana! mwisho utakubali kukalia avatar za watu

Huyu mzee anaweza kujiiba mwenyewe.
wewe kweli umechanganikana kama sio kuchanganikiwa. Je Hoja ya katiba mpya ilikuwa kwenye Ilani ya CCM au CDM? Hoja ya kushusha bei ya vifaa vya ujenzi mfano cement na n.k ilikuwa kwenye Ilani ya CCM au CDM????? Mbona ccm mlikejeli hoja hiyo lokn baadae kwa kukopi na kupest akina kinana wakasema inawezekana kushusha bei ya vifaa vya ujenzi?? CDM tulitoa kipaumbele kwenye elimu ndo maana tukasema elimu itakuwa bure!! Hoja ya kima cha chini cha mshahara CDM tunasema laki 3.15. CCM bwana kwa vituko. Hivi umekurupuka kabisa ukaandika pumba tupu aisee Lumumba wanatoa fedha zisizokuwa na matumizi halali.
Njaa bana! mwisho utakubali kukalia avatar za watu
hovyo ndivyo mlivyoelekezwa na mwenyekiti wenu? si aliwaambia mjibu hoja sio huu uharo ulioandika hapa .....silly
speech ya juzi? LOWASSA alishai-implement na matunda tunayaona, wewe vipi.
B7 FC kina Simiyu Yetu, Chabruma ni wahitimu wa shule za kata washukuru project Lumumba Jazz Band imewasaidia ajira.EL ni mtuhumiwa wa mambo mengi tu, mbali ya Richmond pia kwa kushirikiana na CCM wote wawili wanatuhumiwa kuibaka Elimu ya Tanzania kwa kuanzisha shule walizoziita eti shule za kata zisizo la vigezo vyovyote!! Vijana wanapoteza muda wao wa miaka 4 pale na walio wengi almost 90% wanaambulia sifuri - shule hizi zimepewa jina aka mitambo ya kutengeneza div sifuri.
Wahitimu wa shule hizi walio wengi ndiyo waendesha bodaboda, mafundi gereji mitaani, madereva wa daladala na wauza nguo za mitumba, machinga's ; hawa ndiyo wataihukumu CCM 2015.
kibaka kama vibaka wengineLowasa ni janga asee,
huyo mzee hapana, haiingii akilini azunguke karibu nchi nzima makanisani na miskitini bila kujua ana dhamira gani.
Kabla nilikuwa namkubali sana mh. Lowasa, kwakweli mi nashindwa kuelewa alikuwa wapi hapo kabla kuzunguka kwenye majumba ya IBADA!
Labda Membe kidogo, lakn EL hata aje na kipaumbele kipi, sina imani naye tena!
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .
CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Kama un unaona mama Mshumbuzi anafaidi kutoka kwa Dr Slaa basi nawe nenda ukapate hudumaNi kweli SLAA ni kipenzi cha rika zote, Mshumbuzi si sawa na mwanae kabisa yule.
Lowasa ni janga asee,
huyo mzee hapana, haiingii akilini azunguke karibu nchi nzima makanisani na miskitini bila kujua ana dhamira gani.
Kabla nilikuwa namkubali sana mh. Lowasa, kwakweli mi nashindwa kuelewa alikuwa wapi hapo kabla kuzunguka kwenye majumba ya IBADA!
Labda Membe kidogo, lakn EL hata aje na kipaumbele kipi, sina imani naye tena!
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .
CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Eti kipaumbele cha Gamba sugu EL. Maccm bana. Hivi Hilo gamba linaweza himili mziki wa CDM??? Wakati Mzee Sitta au Membe wanamnyima usingizi huyo EL wenu?????
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .
CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Bonyeza hapaMheshimiwa aligeukia suala la elimu na kusema kuwa CHADEMA inathamini sana elimu kwa kuwa elimu ni msingi wa kila jambo, na kusema umaskini uliopo hapa nchini unasababishwa na elimu kudharauliwa, na kuongeza kuwa umaskini wa akili ni mkubwa kuliko ule wa rasilimali hapa Nchini. Mbowe alisema endapo CHADEMA kitashika hatamu kipaumbele cha kwanza kitakuwa elimu, cha pili elimu na cha tatu elimu pia.
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .
CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Wewe unaongelea sera au ilani ya uchaguzi? tatizo watu wa CHADEMA akili zenu kama za form four, mmeathirika sana na udikteta wa huyu form four wenu.