Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Uh comments from members of Mass Destruction Group.icho kipaumbele Lowasa anahakimiliki nacho haiwezekani priority yako na yangu zikawa sawa!Wewe umemuibia mama yako kipaumbele cha kuolewa bila kujali jinsia yako haikuruhusu kuyatenda hayo sisi walimwengu tukueleweje!Hapa umesema Dr kaiba alafu unasema akiulizwa CDM kipaumbele ni kipi anasema elimu!sasa hapo mwizi ni Dr au CDM au aliiba ili apeleke CDM ndo unachotulisha hapa?Sera ya CDM ukitaka kujua ilikuwa elimu waulize watu wanaoijua Kigoma enzi za Walid Kaburu walikuta shule ngapi za serikali na wao CDM walichofanya.
 
Mama Mingoi shule nilizosoma mimi wewe huwezi kutia pua yako kwa akili yako ya panzi.

Mkuu unajibizana na maruhani unapoteza muda na pengine heshima yako.Uyo nayejiita Wabheja na Mingoi hawana lolote anajitutumua eti ni wa kwanza au wa pili kulipa kodi ilhali yeye ni toothless dog which is barking so masikini wa kutupwa hivyo achana nao huo ndo ushauri wangu.mi nimepitia pale DIT najua zali lake hao wezi wanakutoa kwenye mood no more than this wao kila kitu wanajadili ktk mfumo wa siasa!
 
Asilimia 99% ya ilan ya cdm wameiga ccm. Vitu vingene ambayo ni asilimia moja wameangalia upopepo wa siasa unaelekewa wapi?? Other wise cdm ilan= ccm ilan

Tuache utani kababu,CDM imeamsha siasa za Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Makamanda wa CDM wanatambulika hadi na watoto wadogo. Yaani hapa kawe hata mtoto anakuambia anatakuwa kuwa kama Halima Mdee,
 
Last edited by a moderator:
watu wenye akili finyu na znazotumia kamasi kufikr utaziona humu kutokana na michango yao.
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Kwani ulitaka Dr. Slaa aseme elimu bora si kipaumbele kwa kuwa eti Lowasa alisema ni kipaumbele? Ni ujumbe gani unaotaka kuufikisha kwetu sisi wasomaji wa post yako?

Ni matarajio yangu kuwa elimu bora itakuwa ni kipaumbele cha kila mmoja wetu, hususan wapiga kura. Sote tunapaswa kuhimiza umuhimu wa elimu bora. Kuongeza idadi ya watu wanaokuwa enrolled peke yake bila kujali ubora wa elimu hakutaleta mabadiliko yoyote. Jukumu hili si haki ya Bw. Lowasa au Dr. Slaa peke yao.
 
  1. President Obama has reiterated that Education Should Be Top Priority for Black America.
  2. Malala Yousafzai the Pakistani schoolgirl activist who has become a world champion of girls' rights, called today for the World Bank to make education its top priority.
Lowassa kweli kiboko...!
 
Yaani Lowasa ndo anaonekana Mhimili wq Elimu ya Tanzania according to Mleta uzi.
Jamana UVCCM jaribuni kuficha upumbavu wenu basi...
 
HOJA :A S-key: PLEASE:focus: KATIBA MPYA KWANZA

Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
 
Freeman Mbowe's speech at Serena Hotel wakati anazindua m4c alisema hivyo. Na ndo msimamo wa chama. Acha uwongo, ufitini na uzandiki!

Nikweli kabisa mkuu hata speech yake Mbowe na wana CDM wa DMV Marekani alitaja vipao mbele vinne vitatu kati ya hivyo ikiwa elimu na cha nne ikiwa ni utawala washeria sasa hawa maccm yaanza kuhangaika na huyu fisadi wao mamnvi huku wakijua ni mnafiki. Lakini maccm ndio wanaiba sera za CDM angalia katiba haikuwepo kwenye mikakati ya maccm lakini yameiba kwa CDM.
 
kweli thread ya kiaenge kiasi hiki iko page ya 11, katiba na tozo za line ziko wapi...
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Binafsi huwa sikubaliani sana na huu utaratibu wa kila chama kuwa na ilani, mara vipaumbele n.k. Matokeo yake chama kilicho madarakani kinatumia rasmali za Taifa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kusingizio kuwa miradi hiyo imetekezwa na chama. Bila shaka wengi tunakumbuka ahadi za bw. Magufuli kule Igunga wakati wa uchaguzi mdogo. Huu ni mfano tu, lakini mambo ya namna hiyo ni mengi na yanajitokeza katika kila ziara na kampeni za ubunge na urais.

Kama Taifa tunapaswa kuwa dira na vipaumbele vya Taifa. Mfano tungeweza kuboresha dira ya maendeleo ya taifa 2025 au mpango wa maendeleo wa miaka 5 ili kuwa na mwelekeo wa pamoja kuhusu nini tunataka kufanya. Vyama vya siasa na wanasiasa, kazi yao iwe ni kutuambia nini watafanya ili kutekeleza malengo yetu ya Taifa na si vinginevyo. Kwa maneno mengine, kampeni na sera za wanasiasa zijikite zaidi kwenye 'mikakati' watakayotumia kulifikisha Taifa linapotaka kufika. Sio mara, nitanunua meli, oooh nitajenga uwanja wa ndege, nitajenga barabara ya lami. Haya ni mahitaji muhimu ambayo kila mtu anayehitaji, hivyo haiwezi kuwa ndio sababu ya kukupa kuongoza nchi au la. Tuambie utafanya nini ili kutekeleza hayo!!!
 
una nia nzuri katika hoja lakini logic inapwaya ukiitizama kwa jicho la haki. dunia ingekuwa inaruhusu watu kuiba mawazo ya wengine na kuyafanya yao eti kwa sababu tunaweza kuleta maendeleo kwa hicho unachokiita 'wholistic approach' na siyo 'fragmented approach', basi dunia isingetunga sheria za patents na copyright laws au labda niseme sheria za haki miliki ya mawazo zisingetungwa. maneno kama plagiarism yasingekuwepo.

CCM wamejaribu kutekeleza sera karibu zote za CHADEMA tangu chama hiki kinaanza isipokuwa moja tu ya Majimbo. Binafsi nisingeona ubaya katika hili kama CCM wangekuwa na courtesy kukiri haya wakawaambia watanzania haya wanayojaribu kuyafanya wamechukuwa CHADEMA au hata mahala pengine kama kuna kitu wametoa pale. Huo ndo ustaarabu wa kisomi unavyoelekeza. Wanachukua mawazo ya watu, kisha wanaenda kudai ni mawazo ya Lowassa au mwanaCCM mwingine.

This is bull shit! It is plagiarism. na wewe unataka tukubali upuuzi huo kwa kuupatia jina zuri, eti 'wholistic approach' na siyo 'fragmented approach'. Think again dude.

Ninakubaliana na wewe hasa katika sheria ulizo quote, kimsingi, intellectual rights should be protected and any bleach of the same should not be left unpunished. That's very clear..!! Katika nchi zilizo serious na sheria hizi, wahusika wameadhibiwa vilivyo. Tatizo, nchi zinazoitwa 'developing/underdeveloped/third world countries' hazina clear and distinct political ideologies/manifesto zenye kuonesha tofauti kati ya chama kimoja na kingine. hii, inapelekea ugumu wa ulichopendekeza, pili, walio madarakani wanapata advantage ya kutekeleza hata yale mazuri yalionadiwa na wapinzani wao (kumbuka jukumu la kwanza na la msingi la serikali yoyote ni ku-ensure social uplift ya watu wake). Najua utasema wanavyo! utanitajia za CCM, CDM, CUF nk. ukweli, hawana, labda wanayo 'matarajio' ambayo mengi huwa hayatekelezeki (kumbuka speech ya Rais mstaafu Ben Mkapa, baada ya kuchaguliwa 1995, alilitangazia taifa kuwa sera za CCM alizo zinadi kwa nguvu HAZITEKELEZEKI!!!, ingekuwa ni nchi yenye proactive citizens, tungeorganize collective social action AJIUZULU mara mojakwa sababu kilicho tufanya tumchague yeye anasema hawazi kukitekeleza). 2005 baada ya ushindi ulioitwa wa sunami, Rais aliyeko madarakani (JK) alinadi sera ya 'mahakama ya kadhi, baada ya kuchaguliwa akasema yeye hakushiriki kuiandaa, ni chama chake na iliwekwa kimakosa! waulize waliohaidiwa kama kura zao zililipwa kwa kutimiziwa ahadi yao? mpaka kesho na kesho kutwa, mifano ni mingi.... That's why, utaona wana siasa wamegeuka kuwa 'wahamaji' kutoka chama hiki na kuelekea kile and vice versa..na huko hupokelewa na kupewa vyeo au nafasi za kugombea nyadhifa mbalimbali za kisiasa, huu ni ushahidi kuwa hawana politica ideology. Ukitaka kuelewa vizuri ninachojaribu kusema, zitizame siasa za USA (Republican Vs Democracts na vyama vingine vidogo), UK (Labour Vs Conservative na vinginevyo), imani walizonazo wanasiasa (ideologies) haziwezi kuwafanya wahame vyama vyao eti kwa sababu yeyote ile wanataka nafasi za kisiasa. Ndiyo MAANA kwangu, mawazo mazuri yatokayo upande wowote ilimradi yana tija kwa wananchi, yakitekelezwa sawiya na yakawa na positive impact for peoples' life, SINA UGOMVI! that's what i call ''wholistic approach''
 
CDM walisema elimu bure shule ya msingi hadi University,hiyo ni nini kama sio kipaumbele
 
you've made yourself clear. Nimependa mtiririko wa hoja yako, hasa katika huu mtizamo wa taifa kukosa demarcation lines za ideology. hilo umelieleza vema na ninakubaliana nawe.

lakini hebu litizame hili kwa namna nyingine. should past mistakes be allowed to justify present and future mistakes? hapo kwa upande wangu jibu ni NO. Tukikubali kujustify watu kuiba mawazo ya watu wengine kwa kuyaita wholistic approach ni kubariki na kuidhinisha yaendelee makosa ya nyuma. Ni kukubali kuishi katika past iliyokubali wizi wa mawazo. Hichi ulichoeleza ni kweli kipo katika nchi yetu. Lakini bahati ni kwamba unapolinganisha wanasiasa wetu na wale wa vyama pinzani vya nchi kama uingereza na marekani, unaleta kikoo cha hali iliyo na afya kisiasa tujipime kwayo. na ninadhani uliweka mifano hiyo miwili kwa lengo hilo la kuonesha tofatui iliyopo kati ya mazingira yetu dhaifu na yale ambayo ni bora.

Tufike mahali tuifukie past. Si sahihi kuendelea kuchukua mawazo ya wengine bila kukiri umeyatoa wapi. Kwa hiyo, hiyo wholistic approach yako si kitu sahihi? tukiifanya bila marekebisho ni kuendekeza wizi. Our past mistakes should NOT justify more mistakes sugar coated as wholistic approaches. No!

Tufike mahali kila mtu akae katika serikali kwa merit yake. Na pale atapohitaji msaada kutoka fikra mbadala, watu wajue, kitu ambacho kwa upande nionavyo mimi itamwongezea crediti mtumiaji huyo wa mawazo mbadala kwa sababu katika leadership honesty inakupa merit sana. Watu wa magazeti huwa wanafundishwa kukiri kosa katika maandiko kunakuongea watu kukuamini. Siku unapokataa kukiri kosa watu wanajua huu ni ukweli.

Honesty. Semeni hii tumeitoa CUF kwa sababu tumekubaliana katika cabinet kwenye hili CUF walikuja na wazo zuri. That becomes a win-win situation na nchi inajiondoka kutoka kwenye siasa za wiziwizi wa kila kitu na kuchuka sura mpya. Mwenye wazo anafurahi kupokelewa. Mtendaji anajiongezea credibilty kwa kuwa mkweli. Kwanini huwezi kuona hili? Kwa lugha nyingine hiyo wholistic approach naikubali tu kama inazingatia kukiri mawazo yametoka wapi. Ikifanyika kama inavyofanyika hapa tanzania huu ni wizi wa intellectual property.
 
Kimsingi, nakubaliana na wewe, kuna umuhimu wa ku-acknowledge mawazo ya watu wengine. Hata hivyo, ili hilo litendeke, ni lazima wahusika (vyama vya siasa) vianze utaratibu wa kusajili ilani/manifesto/sera/strategic plan zao nk, ziandikwe vitabuni na vipewe International Standard Serial Number (ISSN) au International Standard Book Number (ISBN) nk. kwa kufanya hivyo, itakuwarahisi kubaini nani ka-copy na ku-paste wapi, kamuibia nani na hapo ndipo copyright laws dhidi ya wote wanao fanya pradgiarism watabanwa vizuri kwa kutumia ushahidi usiokuwa na chembe ya shaka!

Kwa pamoja, tuijenge Tanzania kwa mawazo huru na tunduizi!
Thank you so very much for your critical argumentation

*******
DR. LOVE
 
Naona wote isipokuwa wachahche tu ndio wamejaribu kuongelea hii issue ya sera japo kwa umakini kidogo, mlio wengi naona mnabase kwa watu binafsi. Elimu Kamwe haijawahi kuwa sera ya Lowasa wala Slaa bali sera Tanzania. Tangu uhuru sera na kipaumbele hiki cha elimu kimekuwepo tatizo limekuwa utekelezaji yaani namna ya kuiteleza hii sera ya Elimu. Na hata wanasiasa wanapokuwa majukwaani hakuna hata mmoja anayejitapa kwamba yeye ndiye kaanzisha sera ya elimu kama kipaumbele kwani huo utakuwa uongo mkubwa na hata mtu ambaye hajaenda shule ataugundua huo uongo mapema mno! Vyama vya siasa vinashindana namna ya kuitekelza tu hiyo sera na suala la kuwa kipaumbele ni kwa vyama vyote hakuna chama ambacho kipo makini kitaacha elimu kuwa kipaumbele cha sera zake! Ni ajabu sana! Kwani maendeleo yoyote duniani yanakuja kwa njia ya elimu katika ngazi zote za maisha: Conclusion:n Si Lowasa wala si Dr. Slaa wenye hati milki wa kipaumbele cha elimu hapa Tanzania kwani wote wamekuta sera ya elimu ipo na ikiwa kipaumbele cha kwanza wakati wa awamu ya Mwalimu Nyerere! (RIP)!
 
Back
Top Bottom