Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,953
Viroba fc kwenu mnayo hiyo maktaba?Buku Saba FC umesajiliwa mwaka jana na kabla ya hapo ulikuwa hujui siasa sasa utawezaje kujua kwamba elimu ilikuwa ni kipaumbele cha kwanza katika ilani ya uchaguzi ya Chadema mwaka 2010 wakati huo ulikuwa bado uko mbwinde unachunga mbuzi na kondoo.
Mwambieni bosi wenu wa hapo lumumba ajitahidi kuwawekea maktaba ili angalau kabla hamjaanza kuharisha hapa JF muwe mnapata mahali pa kufanyia rejea!
Lowasa hajawahi kuwa na sera na kama anayo basi si nyingine isipokuwa ni sera ya ufisadi kwanza!
Kama mnayo nadhani itakuwa imejaa viroba


