Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

kama tunajenga nyumba moja hakuna haja ya kugombania fito! mbona suala ni katiba ni la wapinzani lakini linatekelezwa na serikali ya ccm elimu ni muhimu sana hata wewe unajua hilo!
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Tena kwa ushahidi ni shule za lowassa kila kata nchi nzima. Alianza kuzijenga mwaka 2005 mara tu baada ya kuukwaa uwaziri mkuu
 
Kama ni hivyo mimi nasema kuwa mwanzilishi wa kipaumbele hicho cha ELIMU ni Mwalimu Nyerere. Kila akitaja maadui watatu wa taifa alikuwa anaanza na ujinga, ambao dawa yake ni Elimu! Alifuta ada na michango yote ya Elimu toka shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ili wote wasome. Enzi yake taifa lilifuta kabisa watu wasiojua kusoma na kuandika kwani alisisitiza elimu ya watu wazima. Wakati ule watoto karibu wote waliokuwa na umri wa kwenda shule waliandikishwa. Vifaa vitabu na vifaa vingine vilikuwepo. Hapakuwepo malalamiko ya motisha kwa walimu kama ilivyo leo! Wakati wake Elimu ilikuwa na dira- Elimu ya kujitegemea! Sasa chini ya akina Lowasa, elimu haina dira, wala sio kipaumbele cha taifa tena! Kuanzia wanafunzi, majengo, vitabu, maabara, mazingira ya shule, mitihani hadi motisha kwa walimu ni majanga matupu. Sidhani hii ni kipaumbele cha Lowasa kwa kuwa alikuwa Waziri mkuu na majanga haya yalizidi!

point!
 
kama tunajenga nyumba moja hakuna haja ya kugombania fito! mbona suala ni katiba ni la wapinzani lakini linatekelezwa na serikali ya ccm elimu ni muhimu sana hata wewe unajua hilo!
Suala la katiba ni la watz wote acha uzuzu
 
Aliposema Elimu bure mwaka 2010 kwenye kampeni za Urais CCM akiwepo Lowassa walimpinga.

Aliposema ataanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100 , CCM akiwemo Lowassa walimpinga.Baadae wakamuiga
Lowassa alianza kujenga shule za sekondari kila kata mwaka 2005 wakati huo ww hujui ht kuvaa nguo. Slaa ni mwizi daima
 
Chadema ktk ilani yao walisema mtoto atasoma elimu ya msingi mpaka chuo kikuu bure.. Maccm yakapinga tena yakiongozwa na Jambazi wa meno ya tembo (kinaN). lkn cha ajabu ni huyo huyo aliyepeleka ripoti ccm kwenye mkutano wao mkuu kwamba elimu iwe bure kutoka msingi hadi chuo kikuu..mnakumbuka au mambururaa?
 
I am not here for foreign aid, and CHADEMA party which I represent does not believe on foreign AID. This is my party’s philosophy, and any sane human being would not want to live off handouts, or going around begging because foreign aid is only needed as short term relief for countries coming out of calamities. Rwanda needed help to so it could emerge out of the ruins of genocide. Once it did, it became less interested on the foreign aid now a success economic story in AfricaForeign aid is a form of slavery which creates a false sense of entitlement. It confines a beggar into a psychological and mental prison of his own creation, becoming incapable to make any meaningful decision of his own. He does not think on how to get out of his difficulties as long as he knows that, someone somewhere will help him.CHADEMA party believes that all too often, foreign aid creates dependency by the receiving country onto the giving country and winds up in the pockets of corrupt rulers.Foreign aid money are your taxes, your sweat which should work for your benefit not for people sitting on their wealth. More important than your dollars, are your brain trust, investments and technological advantage. This is what we need to utilize our resources and also in planning for years beyond our non-renewable resourcesOur country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capitalWe need our resources to benefit our people. We need to create jobs for our people, we need to improve our health care, we need to improve our education, our infrastructures, communication and economy as a whole. And this is only possible if can with the wealth that we have all we need is better education for our peopleWe are currently having inequitable trade, where far eastern countries are exporting their poor populations to compete for jobs with our citizens. They are even exporting to us their prisoners to work on our roads yet millions of our young men have no jobs. This is not possible in any civilize society, unfortunately, because our rulers have signed contacts shrouded in secrecy whose contents are only known to themSome of these individuals have turn to insult us as a nation. They are now interfering on our sovereignty, publicly aligning themselves with political parties. A whole ambassador standing on a political platform to address a political rally, and has ignored the public call for him to leave the country!This is not the kind of trade we are looking for. We are looking for partners that will work with us to develop our resources in order to benefit our people; Partners that will bring to our country new skills, and also create jobs for our graduates. We need your expertise so we can turn our country into a bread basket of Africa. America is the world’s land of milk and honey where everyone wants to be, that’s the model we want to learn fromWell, we have come to realize, that if you feed us today with your milk and honey, our meals for tomorrow may not be guaranteed. We instead want to know how you made your country into a land of milk and honey so we can be able to feed ourselves for unforeseeable future and also feed the rest of the world. We have the potential but lack the expertise, and the know how is what we needTanzania is not an island; it is part of the global community where all humans have the liberty to visit whenever they want. Our boarders are open for all, as long as our laws and culture are respected. All we need is trade partnership that will guarantee fifty-fifty trade, in which the country benefits equally with the investor.The younger American generation, I am inviting you to visit Tanzania; I am talking to you as the investors of tomorrow. Come and explore the endless possibilities my country has for you. We need investors that will bring into our country, a set of skills and creativity to turn our hardwood into high quality, made in Tanzania products, as opposed to bringing cheap furniture made of plywood while hauling away our valuable timberChadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don’t need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills.We don’t need shoe boxes, we need to know how to make our own shoes. We need your technological know howCHADEMA party’s priority number one is education! Priority number two is education and so is the priority number three.
 
Hivi kwanini isiwezekane?/ bmona Enzi za mwalimu watu walisoma bure, usafiri bure. Tena hakutumia rasilimali nyingi kihivyo?? Hebu nyie wazee wa Lumumba chukueni sera za mwalimu mzifanyie kazi.
 
watanzania hawajui tu.shule za kata zilianzishwa kwa ajili ya kupigia kampeni za urais 2015.hizi shule ni majanga!!zitakapoanza kuanguka na kupondaponda wanafunzi ndio mtaelewa.zilijengwa fasta fasta.urais wa huyu gamba utatutoa kamasi.hospitali za kata zilipigwa stop kinoma.
 
Umemsahau Mbowe, alifeli form 4 vibaya sana.

Tukitaja list ya ma CCM walio feli na kufoji vyeti utasema neno hapa ? Chuki za kijinga shetani mtu wewe .Makamba alifanya nini hadi akaiba mitihani ?
 
Mijitu iliyozoea wizi,kila kitu inafikiria wizi,halafu wanakuwa na upungufu hata wa hoja.ina maana lowasa au mwanasiasa akiongea jambo lisifanyiwe kazi!?au ni hoja ya mtu si kwa maslahi ya umma?kama aliianzisha mbona hakuifanyia kazi mpaka elimu imefikia umahututi?wacheni ubinafsi tusongeshe mbele.
 
Lowasa sec school?yani wewe unatakiwa kula vyakula vya kuongeza akili..
 
nahuzunika sana pindi ninapogundua kuwa ccm inamiliki idadi kubwa ya wajinga waliokubali kuweka silaha muhimu ya kufikiri chini na kukubali kutawaliwa na wale wenye uwezo wa kufikiri, ukiwa kama mwana ccm jitahidi uisome sera na ilani ya chama chako na uielewe, na pia ukiwa mwana chadema, cuf na nccr pia isome sera na ilani ya chama chako vizuri uielewe kisha kaisome na ya chama pinzani na kile ulichopo na kisha upime ni kipi kinatekelezeka na kipi hakitekelezeki na kwa nini, niliisoma ilani ya chadema mwaka 2010 na kugundua kipa umbele chao ni elimu na ndio viongozi wao wanainadi ili kupata elimu bora na ccm kipa umbele chao hakikuwa elimu na ndio maana wanapingana, je! Lowassa ana kipa umbele chake mwenyewe akiwa kama nani? Na kwa mamlaka yapi hasa? Dr. Slaa ana mamlaka ya kukitangaza kipaumbele cha chama chake akiwa ndiye kiongozi mkuu, je! Mwenzetu huyu mjanja mjanja katika siasa ni nani hasa awe na kipa umbele chake? Naomba jibu
 
Tukitaja list ya ma CCM walio feli na kufoji vyeti utasema neno hapa ? Chuki za kijinga shetani mtu wewe .Makamba alifanya nini hadi akaiba mitihani ?

Mbona la Mbowe limekuuma sana wakati ni ukweli.
 
Back
Top Bottom