Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

muwe mnafanya research kablahmjaanza kufanya hizi propaganda zenu.
 
Ndo maana dr slaa amekiri kuwa ccm ina sera nzuri kuliko wapinzani. Wataipenda tu ccm na ndo maana hawataki kuachia kadi
mwanzoni nilipata shida kukufamu nikawa nawaza huyu simiyu yetu ni nani leo ndo nimekufamu mh SHIBUDA
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Kwanza wewe ni Mwongo, Suala la Elimu lipo wazi kwenye Ilani ya Chadema 2010-2015. Ilani inasema Priority ya kwanza ni elimu, ya pili ni elimu na ya tatu ni elimu.

Lakini kuna ubaya gani kama Chadema ikichukua mawazo mazuri ya Lowassa? Kwamba Lowassa alisema ni Elimu ni kipaumbele mimi sioni tatizo la hoja hiyo. Unataka kusema kwakuwa CCM imejenga barabara basi CHADEMA ikiingia madarakani isijenge barabara kisa ni CCM walioanzisha?
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Ndio maana kila siku tunasema ccm ni janga. Sijawahi kuona chama chochote duniani kisichoweka elimu na afya katika kuboresha maisha ya watu wake na jamii kwa ujumla.

Ccm na cheap politics zenu mawazo yenu mgando yanaturudisha nyuma katika vyote viwili kutokana na viongozi wenu dhaifu kama mulugo pamoja na utekelezaji duni.
 
Asilimia 99% ya ilan ya cdm wameiga ccm. Vitu vingene ambayo ni asilimia moja wameangalia upopepo wa siasa unaelekewa wapi?? Other wise cdm ilan= ccm ilan

Mkuu ni vizuri ukaweka ulinganifu wa sera za CCM zilizoigwa na CDM. au unandika kwa sababu unajua kusoma na kuandika. Kama ungekuwa umesoma manfesto zao wala usige andika aya kwani zinatofautiana kabisa. Bora ucukue mda ujisomee mambo mbalimbali kabla ya kuajichora kama ivi.
 
Ndio maana kila siku tunasema ccm ni janga. Sijawahi kuona chama chochote duniani kisichoweka elimu na afya katika kuboresha maisha ya watu wake na jamii kwa ujumla.

Ccm na cheap politics zenu mawazo yenu mgando yanaturudisha nyuma katika vyote viwili kutokana na viongozi wenu dhaifu kama mulugo pamoja na utekelezaji duni.
Acha uzuzu ww, mhuni wa bavicha akili ya kukodi.
1. Ccm imejenga shule ya sekondari kila kata tanzania nzima.
2.ccm imejenga zahanati na kituo cha afya kila kijiji tz nzima
3. Ccm imejenga hospitali za rufaa kila mkoa nchi nzima
4. Ccm imejenga chuo kikuu kila mkoa.
Wapi chadema imejenga ht tundu moja la choo popote tz km sio porojo tuu kila kukicha. Ccm ni baba yenu. Hutaki unaacha
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Haina copyright hiyo, hata Tony Blair hiyo ilikuwa sera yake kabla hajachukua ofisi
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

WEWE UME,,,,:A S-confused1:,,,,SI BURE,
 
Inaonekana MGENI JF, hii ktu ilishajadiliwa sana humu @MODS tuwekeeni thread za enzi ile ambazo tulidiscuss kuhusu lowassa kudandia sera za CHADEMA, na bahati mabya mwandishi ajuhi kuwa hii kitu ilikuwapo kwenye ILANI ya Uchaguzi ya CHADEMA.
 
You're not ok, Huyo mwenye kipaumbele ataongoza nchi IPI?na Slaa ataongoza nchi ipi? Think big!
 
Nimepitia michango iliyotumwa na baadhi ya watu,nilicho gundua ni uchakubanga wa kijinga usiokua na upeo wa kuangalia wapi tunakwenda,kwa watu makini ambaye bado akili zake zipo hai hazijawa mfu,atagundua taifa lipo katika kiza nene,katika [elimu] [afya] [ajira] haya mambo3 yanalitafuna taifa hili kwa kasi kubwa,na chama cha mapinduzi kwa miaka 52 imeshindwa kutuletea maisha bora kama ilivyo tuhaidi 2005,ukiisoma hotuba ya dr slaa, kwa mtu makini na anaye onambali ataiunga mkono hotuba ile,kwa umakini mkubwa utagundua huyu bwana amejipanga kuhakikisha chama chake kikipewa ridhaa na wananchi,kitaleta mapinduzi makubwa katika sekta hizi [elim] [afya] [ajira] nakumbuka enzi za mwlm alikua na kauli mbiu ya kiserikali ikitaja maadui 3 [ujinga] [maradhi] [umaskini] amba sasa chama chake kimeshindwa kuvipiga vita vya maadui 3 na kubaki kukumbatia wezi na walarushwa, nimegundua wote wanao beza hoyuba ya dr slaa,hawakuwepo ezi za nyerere,tulipo soma bure kutibiwa bure, kwa pato la kaawa na katani, leo kuna ges madini mbuga za wanyama na nk: Lakini ccm imeshindwa kutuletea maisha bora, zaidi yakulinda wezi,
 
Kwani ni mara ya kwanza kw Dk Slaa kuiba?!,ni kawaida yake kuiba na hata kupora,na hivi karibuni alikuwa na kesi ya sijui ni kuiba,kupora ama ni kuvunja ndoa?!kwa hiyo kama kweli ndivyo ilivyo kwa mujibu wa kichwa cha habari kilivyo haishangazi!!
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Je,ulisoma ilani ya uchaguzi ya Chadema ya 2010 kuhusu elimu?
 
Back
Top Bottom