Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

Ndo maana dr slaa amekiri kuwa ccm ina sera nzuri kuliko wapinzani. Wataipenda tu ccm na ndo maana hawataki kuachia kadi

Watu waipende CCM wakati imeshaoza na wamesha anza kukimbia harufu yake.
 
ndo maana dr slaa amekiri kuwa ccm ina sera nzuri kuliko wapinzani. Wataipenda tu ccm na ndo maana hawataki kuachia kadi

haya ni maneno ya hovyo hovyo,,sera nzuri zakufungia kwenye kabati au mapambo ya sebleni??? Alafu utekelezai sifuri,,,,tunataka utekelezaji wa sera zenu na sio kujisifia kwa sera nzuri wakati hakuna utekelezaji,,,acheni mambo yenu
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Elimu ni nipaumbele cha Lowassa akiwa kama nani!Mbona hueleweki?mmezoea kudandia sasa mmedandia train ya katiba mpya kwa mbele wakati haikuwa kipaumbele chenu inawatoa kamasi!umesahau na hilo?
 
Nakumbuka Dr. wakati wa kampeni yake 2010 alisema Elimu itakuwa bure kuanzia Chekechea hadi Vyuo Vikuu. Je, alipora kipaumbele cha EL kipindi kile!
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.
Kichwani kukiwa hamna kitu lazima utaandika vitu kama hivi
 
we twambie kipaumbele chako ni nini kama hutacopy na kupaste kutoka ccm
Acheni ujinga ninyi watoto wa secondary,umeambiwa vipaumbele alivyotaja Slaa ni vya vyake au vya CHADEMA.....hivyo mimi nikutajie vipaumbele vyangu mimi nimebeba jina la chama chochote????? Mbona mnajidhalilisha kwa ufinyu wa akili zenu,sina haja tena na kujibishana na wapu....vu kama ninyi...sorry for that my sister
 
Asilimia 99% ya ilan ya cdm wameiga ccm. Vitu vingene ambayo ni asilimia moja wameangalia upopepo wa siasa unaelekewa wapi?? Other wise cdm ilan= ccm ilan
Ilani za maendeleo ktk vyama somehow lazima zishabihiane,mlitaka cdm wawe na ilani ya KUFUNGA SHULE NA KUUA WANAFUNZI?
 
Nakumbuka Dr. wakati wa kampeni yake 2010 alisema Elimu itakuwa bure kuanzia Chekechea hadi Vyuo Vikuu. Je, alipora kipaumbele cha EL kipindi kile!
Elimu itakuwa bure wakati ameshindwa ksomesha watoto wake wa kuwazaa aliowatelekeza
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

Eleza vizuri Mkuu, Lowasa na CCM wana vipaumbele tofauti? Sera ya CCM kuhusu Elimu ni ipi?
 
Safi mkuu watu wanaropoka tu kwasababu ya buku 7,,,wape elimu

hujielewi na uwezo wako mdogo wakushika vitu na kukariri................hivi na nchi zote ambazo kipaumbele chao ni elimu nao wameiba wazo kwa lowasa......wanaweza kuwa na wazo moja ila strategies la kufanikisha hilo wazo likawa ni tofauti na hapo ndipo tunapotofautiana hata ktk vipato vya mtu mmoja mmoja coz mikakati ya huwa ni tofauti hata kama mnafanya biashara ya aina moja..ok,kalale sasa..
 

Attachments

  • 1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    6.5 KB · Views: 105
Kama ni hivyo mimi nasema kuwa mwanzilishi wa kipaumbele hicho cha ELIMU ni Mwalimu Nyerere. Kila akitaja maadui watatu wa taifa alikuwa anaanza na ujinga, ambao dawa yake ni Elimu! Alifuta ada na michango yote ya Elimu toka shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ili wote wasome. Enzi yake taifa lilifuta kabisa watu wasiojua kusoma na kuandika kwani alisisitiza elimu ya watu wazima. Wakati ule watoto karibu wote waliokuwa na umri wa kwenda shule waliandikishwa. Vifaa vitabu na vifaa vingine vilikuwepo. Hapakuwepo malalamiko ya motisha kwa walimu kama ilivyo leo! Wakati wake Elimu ilikuwa na dira- Elimu ya kujitegemea! Sasa chini ya akina Lowasa, elimu haina dira, wala sio kipaumbele cha taifa tena! Kuanzia wanafunzi, majengo, vitabu, maabara, mazingira ya shule, mitihani hadi motisha kwa walimu ni majanga matupu. Sidhani hii ni kipaumbele cha Lowasa kwa kuwa alikuwa Waziri mkuu na majanga haya yalizidi!
 
Falsafa ya CHADEMA ni nguvu ya uma. Umma utapata nguvu tu iwapo kuna uhuru wa
kweli, usawa, wajibu na fursa kwa kila Mtanzania. Haya yanawezekana iwapo pana
uongozi wa kizalendo, adilifu, makini na wenye upeo. Kwa kuzingatia misingi hii,
CHADEMA imeweka vipaumbele tisa vifuatavyo katika ilani ya uchaguzi huu.
Vipaumbele hivi ni:
13
1. Fursa kwa kila Mtanzania kupata elimu bora
2. Fursa kwa kila Mtanzania kupata huduma bora za jamii
3. Wajibu wa serikali kufanikisha Kilimo bora
4. Fursa kwa kila Mtanzania kumiliki uchumi imara na shirikishi
5. Wajibu na fursa kwa kila Mtanzania katika kupata uongozi bora na mfumo mpya
wa utawala
6. Fursa kwa kila Mtanzania kupata ajira na ujira bora
7. Wajibu wa kuimarisha ulinzi na usalama kwa kuzingatia matishio ya kisasa na
mbinu za kisasa.
8. Wajibu na fursa ya kukuza nafasi ya Tanzania katika diplomasia ya kimataifa
9. Wajibu na fursa ya kuinua na kukuza sanaa, michezo na utamaduni wa
Mtanzania

http://www.chahali.com/2010/08/ilani-ya-chadema-ya-uchaguzi-mkuu-2010.html

Hivi kwani Chadema wana SERA???
 
Dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha CHADEMA anasema ni elimu.Kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana CCM Edward Lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla Slaa hajaanza.Hata iliposemwa kilimo kwanza Lowasa alisema Elimu kwanza .

CHADEMA walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-CCM lowasa bila hata kumnukuu.CHADEMA mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia LOWASA.

hilo la elimu halihitaji hata shahada kutambua umuhimu wake ! hapa kwetu Tz wamisionari na serikali ya kikoloni na walisimamia Baba wa taifa alifanya kazi kubwa kutoa elimu na serikali zilizofuata hali kadhalika ,tuache upofu unaotokana na itikadi!
 
dr.slaa kila anapoenda akiulizwa kipaumbele cha kwanza cha chadema anasema ni elimu.kipaumbele hiki mwanzilishi wake ni mwana ccm edward lowasa ambaye wimbo wake ulikuwa elimu kwanza na alianza kuimba kabla slaa hajaanza.hata iliposemwa kilimo kwanza lowasa alisema elimu kwanza .

Chadema walikuwa hawana kipaumbele wamepora kipaumbele cha elimu kwanza toka kwa mwana-ccm lowasa bila hata kumnukuu.chadema mfilisi wa sera hata hiyo ya elimu kwanza wizi mtupu wamemwibia lowasa.

nimekudharau halafu nimekuhurumia ! Mpaka leo hujui kipaumbele cha lowasa , cha sadaka kwanza ?
 
Leo Lumumba ni chereko chereko mtindo mmoja. Dhaifu karudi nini?
 
Back
Top Bottom