Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
Hii picha haijajibu hoja kuhusu mwamko wa wanawake katika chadema, haijalishi watakuja kwa vx au kwa boda boda, kinachotakiwa ni mwamko ili mwisho wa siku wawe mstari wa mbele katika kupiga kura. Naamini wanojitokeza kwenye mikutano hao ndo wanatupa picha ya muamko siamini kama wanaweza wakawa majumbani wakisubiri siku ya kupiga kura, ila kama wapo basi ni wachache sana.
mbona wote wanalia au ni siku ile mjomba alilamba sakafu?