wadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Gwajima kiboko yake akiongea chochote tunamwita gwajima
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
awez kumjibu gwajima ata wananchi tumchangie airtime tv awez maana askof alimwacha uchi
Nadhani Mungu ataanza na kumlipa Mbowe kwa uzandiki wakeHivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Mkuu,
Nimependa tu jinsi ulivyoignore initial yake ya Dr., kwani hakika amedhihirisha jinsi alivyo Dr. feki kwa matendo yake. Ni kweli anaitwa Slaa.
Slaa kashapoteza mvuto
Slaa kashapoteza mvuto
Sikujua vijana wa nchi hii walivyo wapumbavu , kushabikia uozo ! Mnalitaka fisadi papa hili lifanye mini ? Lowassa hawezi kuleta mabadiriko ni jizi tu
Style ya push-up haiwezi na muhimu sana kwake awe makini na yale atakayoongea asije akaishia kupopolewa kwa mawe ama kupoteza mkono wa pili...
Nauliza kila saa mnasema chadema mpango wa mungu mkishindwa mungu wenu atuku ameshindwa?
Nilijua tu mods watafuta comment yangu,ila anazokashifiwa Lowassa zinaachwa.
Sio case,mmefuta comment yangu ila hamtoweza kuifuta KURA yangu!
Nadhani Mungu ataanza na kumlipa Mbowe kwa uzandiki wake
Maskini kodi za Wananchi,watoto wanakaa chini,wakina mama wanajifungua vichochoroni,vijana wameharibika kwa madawa ya kulevya,wananchi wanachangishwa ujenzi wa maabara huku mamilioni yanalipwa kwa wapinga demokrasia na wabakaji wa weledi pamoja na kununua wanasiasa mamluki..Eee MUNGU, OKOA TANZANIA kutoka katika rangi ya Kijani na njano!!MTANZANIA kwa kupiga kura yako moja kwa LOWASSA utakuwa tayari umeikomboa nchi yako!!
View attachment 293459