Slaa amerejea nchini

Slaa amerejea nchini

Kama alipewa mpunga kwa ajili ya kazi na kazi haijakamilika lazima aifanye tu hata kama hataki, ndio shida ya kutumika.

Kama Lowassa anavyo watumia UKAWA ! Mbowe uso umemkomaa kwa kuzibeba aibu za Lowassa. kutumika ni shida ! Samaritan
 
Last edited by a moderator:
Kwa huu ugeni..nawashauri muongeze manunuzi ya pampaz

Wa nini sisi?Aropoke utumbo wake aone dawa atakazopewa na kiboko yake Gwajima.
Umesahau alichomfanyia ile siku hadi ukashindwa kula?
Hahahaaaa
 
Lipumba je? vipi na yeye
Lipumba CCM wamempiga bao alichotarajia kupata wamemuingiza mjini kwa hiyo hapo alipo amekosa yote CUF kaikosa UKAWA kaukosa na fedha kakosa, alichoambulia ni kulipiwa maradhi na chakula bila kusahau usafiri kwenda na kurudi kule Rwanda
 
Sisi tunataka mabadiliko wao wanataka u first lady?Watu wanamdharau sana kwa hilo tu bora angenyamaza angebaki na heshima yake.Mtu asiye na maadili hafai hata kidogo!Unawezaje kuzaa na mtu ukiwa Padre?Inawezekana wapo wengine ambao aliwamenya na hawakufanikiwa kuzaa tu!Kibaya zaidi unatelekeza familia!!!
 
Lowassa ndo ana maadili !? au yule 'Mwenyekiti' aliye enda kupiga mikasi na hawara kwa allowance ya Bunge hapo Dubai!? kibaravumba
 
Last edited by a moderator:
Lipumba CCM wamempiga bao alichotarajia kupata wamemuingiza mjini kwa hiyo hapo alipo amekosa yote CUF kaikosa UKAWA kaukosa na fedha kakosa, alichoambulia ni kulipiwa maradhi na chakula bila kusahau usafiri kwenda na kurudi kule Rwanda

Lipumba hana maradhi ya kulipiwa, labda mzee wa kujinyea !
 
Hahahahahaa....ameona tangu kaondoa ameishia kuandikwa na gazeti la sani......mwee hii sio kuporomoka kisiasa bali ni kufa kisiasa...pole babu cassava tulikupenda lakini Josephine kakupenda zaidi....

Na mahaba yenu mmehamishia kwa Lowassa, mpo bize na kinyesi!
 
Nabisha kidogo but ni exception tu .Lowassa ni zaidi ya CCM kwasababu magamba yana jamba tu

hapana uukweli usemwe

Lowasa so zaidi ya CCM

Slaa sio zaidi ya chadema
 
Hana nafasi sasa ya kisiasa ajipange kwa mengine..
 
Back
Top Bottom