Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,020
Ndo analeta yale "mabomu" yake mengine aliosema amebakiza itakuwa.
Hayo mabomu yatamlipukia mwenyewe sisi tunasonga mbele chadema mpango wa Mungu.
Ndo analeta yale "mabomu" yake mengine aliosema amebakiza itakuwa.
dr amefanya wrong turn.
Kwani aliirudisha hiyo kadi? au ni uzoefu wa chura kama alivyosema mzee wa spidi na standardHivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Slaa kashapoteza mvuto
kati ya yeye na Lowas nani mroho???
Comment yako mrembo nifah ilikuwa inasemaje?
bwabwa ni bwabwa tu habadiliki
Sikujua vijana wa nchi hii walivyo wapumbavu , kushabikia uozo ! Mnalitaka fisadi papa hili lifanye mini ? Lowassa hawezi kuleta mabadiriko ni jizi tu
wadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Bado anahiji