Slaa amerejea nchini

Slaa amerejea nchini

mtetezi wa wanyonge na mpinga ufisadi amerejea??? pleased to hear
 
Kama alipewa mpunga kwa ajili ya kazi na kazi haijakamilika lazima aifanye tu hata kama hataki, ndio shida ya kutumika.
 
Hao wengine wenye tamaa huwaon ila umemuona dr&mkewe 2?nao pia watahukumiwa cz kila mtenda dhambi huukumiwa hapahapa
 
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,

(Easst west home is best) wanasiasa wanasahau kuna maisha baada ya siasa dr mihogo ataheshimka na CCM tu lkn inawezekana pia kwa hela alizopewa impact yake imekuwa ndogo labad CCM wamejipanga upya (may be he has come to work for it) tutamuona ni kibaraka tu ( we have reached a point of no return) no retreat no surrender
 
Kiruuu!! amekuja tena kuropoka nini mangi? itakuwa ni uongo mwingine na unafiki bila shaka. ngoja niwashtue masela.
 
wadau.

Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.

Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.

Be first to know

Khaa!! Kama kweli basi karibu raisi wangu wa moyoni
 
Ajiangalie akileta ujinga safari hii tunampopoa
 
Pengine kafata last instalment yake.shame on him.
 
Back
Top Bottom