MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Huyo ni mmoja wa mahujaji wa TZ waliopotea Makka.Lipumba je? vipi na yeye

Ameenda kufanya research ya wiki moja Ethiopia kuhusu uchumi atarudi na data na conclusions kama alivyofanya ile research ya wiki moja Rwanda! Maprofessor wengine wanashangaza.Lipumba je? vipi na yeye
Nilijua tu mods watafuta comment yangu,ila anazokashifiwa Lowassa zinaachwa.
Sio case,mmefuta comment yangu ila hamtoweza kuifuta KURA yangu!
Dr. Slaa ana akili kuliko wasanii waliobaki CHADEMA. Anakuja na bomu ambalo nyie wenyewe hamtaamini.Kujua impact ya Slaa, subiri siku si nyingi.
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Ninamhurumia sana Kikwete. Laiti kama bidii na nguvu anazotumia kupambana na Mungu angeitumia kuboresha maisha , leo hii Tanzania ingelikuwa ni hadithi nyingine duniani.
Maskini Jakaya anaponzwa na kutokumjua Mungu wala Uweza wa Nguvu zake. Mwisho wa yote atawaponza na anoawatumia kama vile farao wa Misri alivyowaponza wamisri na wanajeshi wake katika bahari ya shamu wakati kawatuma kuwafukuzia wana wa Israel.
Hivi Ccm kwa nini hammpi ushauri huyu mtu? Ni nani alimdanganya kwamba Tanzania ni mali ya ccm? Atasemaje kwamba Tanzania inautawala wa kidemokrasia ikiwa yuko tayari kumtumikia shetani hata kuangamiza taifa ili mradi maslahi yake yalindwe?
Kikwete amefanya nini kibaya hicho ambacho anatumia kila njia kuhakikisha anaweka mamluki wake serikalini la sivyo huu utakuwa mwisho wake?
Kwa nini asikumbuke namna Watanzania walivyomkabidhi nchi ikiwa na ahueni tena kwa amani na kumwacha kwa miaka kumi hata alipokuwa ameiharibu nchi namna hii?
Ni binadamu wa namna gani aliyejaa viburi, visasi na uharibifu mkuu namna hii?
MWAMBIENI HAWEZI KUWA NA UWEZO KULIKO MUNGU. MWISHO WA SIKU LAZIMA MUNGU AJITUKUZE.
Balozi wa nyumba 10 auTetesi ameshaidiwa ubalozi.
hana tena influence...wadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Slaa ndo nani
Hebu tuambie ufisadi wa El. ..Hebu fanya listing za ufisadi wake.kila mzalendo ameamka. anapambana kuzuia jaribio LA mwanaharamu, mwizi, fisadi, na mchumia tumbo kuingia ikulu. fisadi no malaika was shetan
Ninamhurumia sana Kikwete. Laiti kama bidii na nguvu anazotumia kupambana na Mungu angeitumia kuboresha maisha , leo hii Tanzania ingelikuwa ni hadithi nyingine duniani.
Maskini Jakaya anaponzwa na kutokumjua Mungu wala Uweza wa Nguvu zake. Mwisho wa yote atawaponza na anoawatumia kama vile farao wa Misri alivyowaponza wamisri na wanajeshi wake katika bahari ya shamu wakati kawatuma kuwafukuzia wana wa Israel.
Hivi Ccm kwa nini hammpi ushauri huyu mtu? Ni nani alimdanganya kwamba Tanzania ni mali ya ccm? Atasemaje kwamba Tanzania inautawala wa kidemokrasia ikiwa yuko tayari kumtumikia shetani hata kuangamiza taifa ili mradi maslahi yake yalindwe?
Kikwete amefanya nini kibaya hicho ambacho anatumia kila njia kuhakikisha anaweka mamluki wake serikalini la sivyo huu utakuwa mwisho wake?
Kwa nini asikumbuke namna Watanzania walivyomkabidhi nchi ikiwa na ahueni tena kwa amani na kumwacha kwa miaka kumi hata alipokuwa ameiharibu nchi namna hii?
Ni binadamu wa namna gani aliyejaa viburi, visasi na uharibifu mkuu namna hii?
MWAMBIENI HAWEZI KUWA NA UWEZO KULIKO MUNGU. MWISHO WA SIKU LAZIMA MUNGU AJITUKUZE.
wadau.