The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,356
- 4,654
hana Impact huyu ss hv, yeye anaona bora ccm kuliko Lowassa? Bora angekaa kimya angebaki na kabusara fulani
Hivi wewe uwa unafanya kazi saa ngapi kila muda upo #Jamiiforums.
Amekuja na price tag yake shingoni?
Kwa kweli amewaudhi wapenda mabadiliko wengi kisa mama kakataa. Je angekuwa rais hii nchi ingeendeshwa kwa amri ya Josefine cjui tungelia na nani
hana Impact huyu ss hv, yeye anaona bora ccm kuliko Lowassa? Bora angekaa kimya angebaki na kabusara fulani
ona mlivo wapumbavu,mnayo TISS na PCCB mmashindwa kukamata hiyo rushwa,manyau nyieWaambie Mbowe na akina Sumaye nao wavae price tags zao shingoni basi.
Magufuli ni jizi tu kajenga barabara za lami chini ya kiwango kwa kodi zetu,kauza nyumba za shirika
eti kuna mtu mmoja aliandika humu kuwa Dr. Slaa angeshinda urais hata mlinzi wa getini pale ikulu angetoka bukoba. kuna watu wanautani sana kwenye dunia hii.Kwa kweli amewaudhi wapenda mabadiliko wengi kisa mama kakataa. Je angekuwa rais hii nchi ingeendeshwa kwa amri ya Josefine cjui tungelia na nani
Kiboko yako wewe na familiaa yako....huku kwetu ukawa lazima hyo dr mihogo anyama.Huyu ndio kiboko ya Chadema..
hana Impact huyu ss hv, yeye anaona bora ccm kuliko Lowassa? Bora angekaa kimya angebaki na kabusara fulani
shangaa na wewe,na ni july tu nilipanda cheo kuwa Senior Auditor,nakubalika kwa kumeet deadline na kazi za kiwango.all in all naendana na kasi ya Lowasa,akinimulika vizuri unaweka kunikuta ni Katibu Mkuu wizara ya MaliasiliHivi wewe uwa unafanya kazi saa ngapi kila muda upo #Jamiiforums.