Kibuja
JF-Expert Member
- Aug 12, 2009
- 510
- 90
Alionana na Pope Francis?
Kwani Pope ana muda na ma padri walioasi kanisa?
Alionana na Pope Francis?
Angeibadilisha Monduli ikawa Dubai ! lofa wewe ! ....kawatumia wamasai tu na shida zao kujitajirisha.
Kama Lowassa anavyo watumia UKAWA ! Mbowe uso umemkomaa kwa kuzibeba aibu za Lowassa. kutumika ni shida ! Samaritan
Gwajima kiboko yake akiongea chochote tunamwita gwajima
Huyo ni mmoja wa mahujaji wa TZ waliopotea Makka.
wadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Na mahaba yenu mmehamishia kwa Lowassa, mpo bize na kinyesi!
Astaghafirulahi!!Lipumba hana maradhi ya kulipiwa, labda mzee wa kujinyea !
dr. Slaa is the most patriotic man of this decade in tzwadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini dar es salaam jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Slaa ndo nani