Ok tukubali Lowassa ni mchafu....then what is the way forward..
Kwenye List of shame kwa nini yeye peke yake anazungumzwa....
Je ni kwa sababu anagombea uongozi,kama ndiyo vipi kuhusu walioko madarakani na wametajwa kwenye list..
Chadema wako strategic saana,walijuwa EL atakuwa next Presida kupitia ccm ndiyo maana wakaanza kumchafuwa ili wao Chadema washinde kiurahisi.
Mimi naamini wako mafisadi zaidi yake na wengi wanatumika kwa kulipwa kuendelea kumchafuwa lakini siku ya siku mbele ya Mungu wetu hatujui watsema nini.
Ndugu yangu Bantugresi, kwanini lowassa anazungumzwa peke wakati List of shame ina watu 11, Ndugu ningependa kuwa share with you methali moja niliyoipenda sana ya ndugu zetu wa kisomali ambao no marafiki zangu hapa Arusha, I nasema hivi:
" ULITAKA USAKAMWE NA WATU, AMUA KUOA, LAKINI UKITAKA AMANI KALIMANTAN AMA KACHUNGE NGAMIA ZAKO"
LOWASA CHOOSE TO STAND FOR ELECTION, SO HE HAS PLACED HIMSELF ON THE MAGNIFIENG GLASS AND WILL STAY ON IT UNTILL HE SURRENDERS TO THE executioner of all corrupt figures