Skinwalker Spotted In New Mexico

Duuu kwani matukio hayawezi kufanana ? Halafu ocean rd wee unajua ya DSM tuu ??? Watu bwana...!
 
Jisome:

By mshana jr

Nilitaka kumpelekea tairi nimponde lakini nikaghairi nikampiga picha

Location : Dsm mabibo makutano

Huna hata haya wala hujui vibaya.

Hee haya ya nini hapo? Avatar yangu username yangu na location yangu vyote ni halisi kwa kuwa najiamini siwezi kujiita Jack Chen wakati sio!! hebu nawe acha descretion jiweke wazi tukufahamu wote
 
Hee haya ya nini hapo? Avatar yangu username yangu na location yangu vyote ni halisi kwa kuwa najiamini siwezi kujiita Jack Chen wakati sio!! hebu nawe acha descretion jiweke wazi tukufahamu wote

Umekiri kuwa "halisi" sasa yanini unakuja kudanganya watu kuwe eti hiyo picha ni "Ocean road alfajiri hii"?

Uongo unakusaidia nini?
 
Ahahahah.....nacheka kama mazuri
 
Last edited by a moderator:
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco
 
ina maana...mshana umefikia kiwango hiki cha uongo.....???.....na havache avae.....
 
Hee haya ya nini hapo? Avatar yangu username yangu na location yangu vyote ni halisi kwa kuwa najiamini siwezi kujiita Jack Chen wakati sio!! hebu nawe acha descretion jiweke wazi tukufahamu wote
Mkuu Mshana, just say sorry yaishe!.
Amini usiamini mtumzima mwenye akili zake timamu, hawezi kutufanyia kitu kama hii!.
Tatizo sio kuposti uongo au hoax, bali the motive behind!.
Pasco
 
Duh Mshana "nethi amburi" umeniogopesha kwa kweli pombe yoooote imekata! Hivi kama sio Pasco na FF nisingepita barabara hiyo kati ya saa 4 usiku na saa 11 alfajiri. Haya #Faiza Foxy miye nipo wapi?
 
Mkuu Mshana, just say sorry yaishe!.
Amini usiamini mtumzima mwenye akili zake timamu, hawezi kutufanyia kitu kama hii!.
Tatizo sio kuposti uongo au hoax, bali the motive behind!.
Pasco

Pasco nimekuelewa sana tuu lakini tujifunze kutafakari kila kitu nimesema ocean road lakinu sikusema ni wapi watu wakakimbilia kufikiri ni Obama rd , nimesema shetani fikiri nikwanini nisiseme kizuka mzimu au jini ? Kilichotokea hapa ni kwamba watu walifikia conclusion wanayotaka wao Vila kufikiri kwa kina
 
Mkuu Mshana, just say sorry yaishe!.
Amini usiamini mtumzima mwenye akili zake timamu, hawezi kutufanyia kitu kama hii!.
Tatizo sio kuposti uongo au hoax, bali the motive behind!.
Pasco

Sorry kitu gani?

Kwani vibwengo hawafanani?

Kama mshana kakutana na huyo mwanga Ocean Road we Pasco umekuwa nani wa KUPINGA?

Halafu nyie watu wa baliadi kwa juju balaa nyie!
Ustake tuakaanza kuwachokoa mwitunga wa huko kwenu.

Au unataka nikuonyeshe Picha?
 
Last edited by a moderator:
Asante sana FF!, hii inatusaidia sana tunapojadili serious issues humu unaweza kudhania unajadaliana na watu timamu, kumbe ni wengine ni vichaa hayawani wakubwa wasio hata haya!.Pasco

Pasco unatumia lugha ngumu bila sababu najua nimeudhi wengi kwakuwa walifikiri walivyitaka wa na si katika uhalisia wa habari yenyewe tujifunze kuwa great thinkers kwenye kila kitu
 
Ni kujidharaulisha tu kwa uongo kiasi hiki

unapoteza kabisa kuheshimika

Janjaweed kilichotokea ni watu kukurupuka na kupeleka mawazo yao Ocean road Dsm lakini kama ungepata nafasi ya kutafakari kidogo picha kama ile inahitaji automatic camera ambayo ni very powerful na yenye flash kunywa pia iangalie kwa kutulia utagundua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…