Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

Nakumbuka kuna siku alitwambia Mme wake anajihusisha na uchimbaji wa madini..kwa namna anavyo ipigia debe wizata ya nishati na madini atakuwa beneficially kwenye uozo uliopo katika hii wizara
 
Hivi kwa nini nchi iwekwe rehani halafu watu wanajifanya hawataki kujua ukweli? Haifa limeingia katika hatari ya kusambaratishwa na watu wachache kwa maslahi binafsi halafu Bado hatuoni umuhimu wa kujikosoa. Escrow ni tamithilia ya akina Zitto na wenzake Sasa imefikia mwisho.
 
Tulisema humu kuwa escrow ilikuwa na billion 182 na ndizo zimo kwenye ripoti ya CAG, hizo 300 na PAC walizitoa wapi?

PAC wamedanganya Watanzania, inafaa kamati yote ya PAC iende jela kwa kulidanganya taifa au wapigwe risasi hadharani iwe fundisho kwa wengine.

Haka kabibi kanapenda kupotosha masuala muhimu kwa taifa..tujitu kama hutu ni kutupiga makofi hadharani kisha unakaambia funga domo
 
Tulisema humu kuwa escrow ilikuwa na billion 182 na ndizo zimo kwenye ripoti ya CAG, hizo 300 na PAC walizitoa wapi?

PAC wamedanganya Watanzania, inafaa kamati yote ya PAC iende jela kwa kulidanganya taifa au wapigwe risasi hadharani iwe fundisho kwa wengine.

fundisho lingeanzia kwa wezi kwnza hqlqf ndio wangefat PAC
 
Una mamlaka ya kusema escrow ilikuwa na bilion 182? Nani alikupa mamlaka hayo? Acknowledge source yake.
Ukisoma vizuri taarifa ya PAC utajua walifikiaje kusema zilikuwa 306 bilion ila kama umejiandaa kutokuelewa kama kawaida yako hutaelewa.
Tulisema humu kuwa escrow ilikuwa na billion 182 na ndizo zimo kwenye ripoti ya CAG, hizo 300 na PAC walizitoa wapi?

PAC wamedanganya Watanzania, inafaa kamati yote ya PAC iende jela kwa kulidanganya taifa au wapigwe risasi hadharani iwe fundisho kwa wengine.
 
Taifa limekuwa la wehu watupu ati PAC ivunjwe; hivi hadi marekani na wafadhili kusimamisha misaada kwa tanzania unafikiri wao hawajui kuwa fedha za escrow ni Mali ya umma? Maswi na muhongo mmekula wa chuya endeleeni kugawa pesa.
 
kwa taarifa yako wananchi wanataka wote waliohusika na sakata hili waishie jela pia wenye kuwajibika kwa nafasi zao wawajibike period. hizo longo longo za kuwasingizia wananchi hazitosaidia

Si uoneshe walioiba, ripoti ya CAG hujaiona? ni nani kaiba? mlitaka umeme wa bure?
 
C🙂 🙂 UOTE=intruder;11432299]BUNGE ni Taasisi yenye heshima kubwa ndani na nje ya Nchi. Heshima ya Bunge inatokana na umuhimu wa kazi yake kwa maslahi ya nchi na wananchi.

Kazi za Bunge kupitia kamati zake mbalimbali zina manufaa makubwa kwa Taifa. Mathalani, Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge ina kazi muhimu ya kuhakikisha kuwa hesabu za serikali zinakuwa bayana na sahihi.

Kwa kufanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo, Kamati za Bunge zina nafasi muhimu ya kuisukuma na kuiwajibisha serikali kwa manufaa ya Umma. Kwa kiasi fulani, hatusiti kusema kuwa Kamati hizo zinajitahidi kutimiza wajibu wao.

Hata hivyo, tunalazimika kuikosoa hadharani Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge kwa namna ilivyoandaa na kuwasilisha ripoti yake ya Fedha za Akaunti ya Escrow.

Taifa lilishitushwa na taarifa ya Kamati hiyo kuwa fedha nyingi za nchi zimechotwa kinyume na taratibu. Kamati imetaja majina ya watu na hata mazingira ya wizi ikiwa ni pamoja na maboksi, viroba na masandarusi yaliyotumika kubebea fedha hizo!

Mjadala ukawa mzito ambapo ndani ya Bunge na nje yake, moto wa hasira uliwaka kwelikweli. Ni ujasiri wa hali ya juu uliohitajika kutuliza hasira hizo kwa
maneno tofauti na yale ya Kamati.

Ilikuwa kana kwamba kila mtu alitakiwa kuamini bila kuhoji. Aliyehoji au kutoa maoni tofauti akaonekana kama ‘mchawi’ na labda ni sehemu ya watu waliopata mgao.

Ndani ya Bunge, ujasiri wa mawaziri kama Hawa Ghasia, Celina Kombani na Angellah Karuki pamoja na Wabunge kama Asumta Mshama na Job Lusinde wa kukataa uongo ulionekana kama ‘kero’ tu ambayo Taifa halikutakiwa kuisikia. Mawaziri hawa wanwake na Wabunge hawa wanabaki kama wapiganaji waliojitoa muhanga kuhakikisha kuwa ukweli unachukua nafasi masikioni na machoni mwa wananchi.

Pale mwanzo, ujasiri huo ulionekana kwa wachache ambao ilionekana kama vile wangeshindwa na wengi walioamini kila kilichoandikwa na kusemwa na Kamati hiyo ya Bunge!

Ni kweli, PAC ilivuna imani ya wananchi wengi. Lakini, kadiri muda ulivyokwenda hasa baada ya ripoti kukabidhiwa kwa Rais,na serikali kufanya uamuzi wa kuichunguza upya kadhia nzima ya Escrow,kiwango cha imani ya watu juu ya Ripoti ya Kamati kimeonekana kupungua.

Hatua ya Rais kuteua CAG mpya yaweza kuhesabika kama msingi wa kujenga mazingira ya kupata ukweli juu ya hesabu zilizoleta utatanishi. Kila mtu sasa akatulia kusubiri CAG mpya angesema nini.

Yumkini wengi waliamini kuwa majibu ya CAG yangewaweka pagumu wale waliotuhumiwa. Lakini Ripoti ya CAG,baada ya uhakiki, imewalowesha wale
ambao awali waliamini Ripoti ya PAC!

Kusawajika huko kunatokana na masahihisho ya hesabu zilizowasilishwa na Kamati. Mgongano wa kimahesabu kati ya dola bilioni 306.6 zilizodaiwa na PAC kuwemo katika Akaunti ya Escrow na dola bilioni 182.7 ambazo CAG anasema ndizo zilizokuwemo kwenye Akaunti hiyo umewashangaza wengi!

Taifa linamwamini CAG kwa asilimia 100 kwamba ndiye chombo cha kuweza kutoa taarifa sahihi. Na hata PAC inategemea taarifa za CAG. Swali linaweza kuulizwa, ni nani aliyesababisha mgongano wa mahesabu kwa kughushi na kukikuza kiasi cha fedha kinyume na taarifa ya CAG?

Na aliyefanya hivyo alikusudia nini? Na alifanya kwa maslahi ya nani? Je, huu sio mcphezo mchafu wa kuchezea hesabu za serikali kwa malengo yaliyojificha yakiwemo ya kimasilahi, kisiasa na kibiashara?

Kwa kuwasilisha hesabu ambazo CAG anasema si sahihi, maana yake PAC imelidanganya Bunge na Taifa kwa ujumla! Kwa kuwa uongo huu umeleta usumbufu na umegharimu heshima za watu, pamoja na kulishulishushia heshima Tiafa mbele ya jumuiya ya kimataifa kuwa la wala rushwa na wafuja pesa, sisi tunapendekeza kuwa Bunge likutane kwa dharura ili PAC iliombe radhi Taifa kwa uongo huo.

Zaidi ya hivyo, kwa kuwa imepoteza imani ya watu juu ya umakini na uadilifu wake, PAC haina sababu ya kubaki na uongozi uliopo hivi sasa. Bunge linahitaji kujisafisha kwa kuivunja PAC na kuiunda upya.

Ni muhimu kuivunja PAC na kuipatia uongozi mpya kwani, kwa sura ya sasa haitaaminika tena masikioni na machoni mwa wananchi. Sio tu viongozi wake wa sasa hawapaswi kuwepo madarakani bali wana kila sababu ya kukabiliwa na jinai ya kuwapotosha Wananchi na kuhatarisha usalama wa Taifa.

BUNGE ni Taasisi yenye heshima kubwa ndani na nje ya Nchi. Heshima ya Bunge inatokana na umuhimu wa kazi yake kwa maslahi ya nchi na wananchi.

Kazi za Bunge kupitia kamati zake mbalimbali zina manufaa makubwa kwa Taifa. Mathalani, Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge ina kazi muhimu ya kuhakikisha kuwa hesabu za serikali zinakuwa bayana na sahihi.

Kwa kufanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo, Kamati za Bunge zina nafasi muhimu ya kuisukuma na kuiwajibisha serikali kwa manufaa ya Umma. Kwa kiasi fulani, hatusiti kusema kuwa Kamati hizo zinajitahidi kutimiza wajibu wao.

Hata hivyo, tunalazimika kuikosoa hadharani Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge kwa namna ilivyoandaa na kuwasilisha ripoti yake ya Fedha za Akaunti ya Escrow.

Taifa lilishitushwa na taarifa ya Kamati hiyo kuwa fedha nyingi za nchi zimechotwa kinyume na taratibu. Kamati imetaja majina ya watu na hata mazingira ya wizi ikiwa ni pamoja na maboksi, viroba na masandarusi yaliyotumika kubebea fedha hizo!

Mjadala ukawa mzito ambapo ndani ya Bunge na nje yake, moto wa hasira uliwaka kwelikweli. Ni ujasiri wa hali ya juu uliohitajika kutuliza hasira hizo kwa maneno tofauti na yale ya Kamati.

Ilikuwa kana kwamba kila mtu alitakiwa kuamini bila kuhoji. Aliyehoji au kutoa maoni tofauti akaonekana kama ‘mchawi’ na labda ni sehemu ya watu waliopata mgao.

Ndani ya Bunge, ujasiri wa mawaziri kama Hawa Ghasia, Celina Kombani na Angellah Karuki pamoja na Wabunge kama Asumta Mshama na Job Lusinde wa kukataa uongo ulionekana kama ‘kero’ tu ambayo Taifa halikutakiwa kuisikia.

Mawaziri hawa wanwake na Wabunge hawa wanabaki kama wapiganaji waliojitoa muhanga kuhakikisha kuwa ukweli unachukua nafasi masikioni na machoni mwa wananchi.

Pale mwanzo, ujasiri huo ulionekana kwa wachache ambao ilionekana kama vile wangeshindwa na wengi walioamini kila kilichoandikwa na kusemwa na Kamati hiyo ya Bunge!

Ni kweli, PAC ilivuna imani ya wananchi wengi. Lakini, kadiri muda ulivyokwenda hasa baada ya ripoti kukabidhiwa kwa Rais, na serikali kufanya uamuzi wa kuichunguza upya kadhia nzima ya Escrow, kiwango cha imani ya watu juu ya Ripoti ya Kamati kimeonekana kupungua.

Hatua ya Rais kuteua CAG mpya yaweza kuhesabika kama msingi wa kujenga mazingira ya kupata ukweli juu ya hesabu zilizoleta utatanishi. Kila mtu sasa akatulia kusubiri CAG mpya angesema nini.

Yumkini wengi waliamini kuwa majibu ya CAG yangewaweka pagumu wale waliotuhumiwa. Lakini Ripoti ya CAG, baada ya uhakiki, imewalowesha wale ambao awali waliamini Ripoti ya PAC! Kusawajika huko kunatokana na masahihisho ya hesabu zilizowasilishwa na Kamati.

Mgongano wa kimahesabu kati ya dola bilioni 306.6 zilizodaiwa na PAC kuwemo katika Akaunti ya Escrow na dola bilioni 182.7 ambazo CAG anasema ndizo zilizokuwemo kwenye Akaunti hiyo umewashangaza wengi!

Taifa linamwamini CAG kwa asilimia 100 kwamba ndiye chombo cha kuweza kutoa taarifa sahihi. Na hata PAC inategemea taarifa za CAG. Swali linaweza kuulizwa, ni nani aliyesababisha mgongano wa mahesabu kwa kughushi na kukikuza kiasi cha fedha kinyume na taarifa ya CAG?

Na aliyefanya hivyo alikusudia nini? Na alifanya kwa maslahi ya nani? Je, huu sio mchezo mchafu wa kuchezea hesabu za serikali kwa malengo yaliyojificha yakiwemo ya kimasilahi, kisiasa na kibiashara?

Kwa kuwasilisha hesabu ambazo CAG anasema si sahihi, maana yake PAC imelidanganya Bunge na Taifa kwa ujumla!

Kwa kuwa uongo huu umeleta usumbufu na umegharimu heshima za watu, pamoja na kulishulishushia heshima Tiafa mbele ya jumuiya ya kimataifa kuwa la wala rushwa na wafuja pesa, sisi tunapendekeza kuwa Bunge likutane kwa dharura ili PAC iliombe radhi Taifa kwa uongo huo.

[/QUOTE]
Mnatiakinyaa hata kujitetea kwenye press sembuse jamiiforums huku utatukanwa mpendwa nakupendausizalilike

Cc PROF PRESS HON

Cc
 
kwa taarifa yako wananchi wanataka wote waliohusika na sakata hili waishie jela pia wenye kuwajibika kwa nafasi zao wawajibike period. hizo longo longo za kuwasingizia wananchi hazitosaidia
Ni wazi kwamba kama watu watakuwa wakifungwa kwa kuwa kuna kundi la watu linahisi kwamba ni wahalifu basi tumekwisha. Uongo uliosambazwa na watu waliokuwa na lengo maalum umekuwa ni sumu kali lakini hatimaye ukweli unajitokeza na utajipembua.
Busara ni kukubali kwamba tuliingizwa mkenge na akina Zitto et al na kwamba tuna bahati hatukuchinjana kwa uongo huo. tamwimu zinaongea na ukweli ni kwamba hiyo jinai inatafutwa kwa ajili ya kuwasiadia nbaadhi ya watu kuupata urais kwa urahisi, wengine kupata faida ya kuondokana na ushindani katika biashara ya umeme na wengine ni roho mbaya tu ya kutotaka ye yote yule apate fedha. Kwa mtindo huu ni wazi tutaendelea kudumaa na kutawaliwa milele kwani wanaochezesha mchezo huu wako London na New York wanatucheka tu.
 
Bdo hamna mtu kapandishwa kizimbani - Tanzania nchi karimu sana kwa walaji
 
naona wezi wa ccm wanafarijiana humu baada ya wezi kuwekwa hadharani
 
None sense....Bunge ingekuwa taasisi ya maana sana...tungeshuhudia mijadala yenye tija ikiendeshwa na watu wanaojua kwanini wako bungeni. Sio bunge hili ambapo kila mbunge anaongea kama waziri... Na vile viduku, mipasho, ushabiki wa vyama nk Jaribuni njia nyingine!
 
BUNGE ni Taasisi yenye heshima kubwa ndani na nje ya Nchi. Heshima ya Bunge inatokana na umuhimu wa kazi yake kwa maslahi ya nchi na wananchi.

Kazi za Bunge kupitia kamati zake mbalimbali zina manufaa makubwa kwa Taifa. Mathalani, Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge ina kazi muhimu ya kuhakikisha kuwa hesabu za serikali zinakuwa bayana na sahihi.

Kwa kufanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo, Kamati za Bunge zina nafasi muhimu ya kuisukuma na kuiwajibisha serikali kwa manufaa ya Umma. Kwa kiasi fulani, hatusiti kusema kuwa Kamati hizo zinajitahidi kutimiza wajibu wao.

Hata hivyo, tunalazimika kuikosoa hadharani Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge kwa namna ilivyoandaa na kuwasilisha ripoti yake ya Fedha za Akaunti ya Escrow.

Taifa lilishitushwa na taarifa ya Kamati hiyo kuwa fedha nyingi za nchi zimechotwa kinyume na taratibu. Kamati imetaja majina ya watu na hata mazingira ya wizi ikiwa ni pamoja na maboksi, viroba na masandarusi yaliyotumika kubebea fedha hizo!

Mjadala ukawa mzito ambapo ndani ya Bunge na nje yake, moto wa hasira uliwaka kwelikweli. Ni ujasiri wa hali ya juu uliohitajika kutuliza hasira hizo kwa
maneno tofauti na yale ya Kamati.

Ilikuwa kana kwamba kila mtu alitakiwa kuamini bila kuhoji. Aliyehoji au kutoa maoni tofauti akaonekana kama ‘mchawi’ na labda ni sehemu ya watu waliopata mgao.

Ndani ya Bunge, ujasiri wa mawaziri kama Hawa Ghasia, Celina Kombani na Angellah Karuki pamoja na Wabunge kama Asumta Mshama na Job Lusinde wa kukataa uongo ulionekana kama ‘kero’ tu ambayo Taifa halikutakiwa kuisikia. Mawaziri hawa wanwake na Wabunge hawa wanabaki kama wapiganaji waliojitoa muhanga kuhakikisha kuwa ukweli unachukua nafasi masikioni na machoni mwa wananchi.

Pale mwanzo, ujasiri huo ulionekana kwa wachache ambao ilionekana kama vile wangeshindwa na wengi walioamini kila kilichoandikwa na kusemwa na Kamati hiyo ya Bunge!

Ni kweli, PAC ilivuna imani ya wananchi wengi. Lakini, kadiri muda ulivyokwenda hasa baada ya ripoti kukabidhiwa kwa Rais,na serikali kufanya uamuzi wa kuichunguza upya kadhia nzima ya Escrow,kiwango cha imani ya watu juu ya Ripoti ya Kamati kimeonekana kupungua.

Hatua ya Rais kuteua CAG mpya yaweza kuhesabika kama msingi wa kujenga mazingira ya kupata ukweli juu ya hesabu zilizoleta utatanishi. Kila mtu sasa akatulia kusubiri CAG mpya angesema nini.

Yumkini wengi waliamini kuwa majibu ya CAG yangewaweka pagumu wale waliotuhumiwa. Lakini Ripoti ya CAG,baada ya uhakiki, imewalowesha wale
ambao awali waliamini Ripoti ya PAC!

Kusawajika huko kunatokana na masahihisho ya hesabu zilizowasilishwa na Kamati. Mgongano wa kimahesabu kati ya dola bilioni 306.6 zilizodaiwa na PAC kuwemo katika Akaunti ya Escrow na dola bilioni 182.7 ambazo CAG anasema ndizo zilizokuwemo kwenye Akaunti hiyo umewashangaza wengi!

Taifa linamwamini CAG kwa asilimia 100 kwamba ndiye chombo cha kuweza kutoa taarifa sahihi. Na hata PAC inategemea taarifa za CAG. Swali linaweza kuulizwa, ni nani aliyesababisha mgongano wa mahesabu kwa kughushi na kukikuza kiasi cha fedha kinyume na taarifa ya CAG?

Na aliyefanya hivyo alikusudia nini? Na alifanya kwa maslahi ya nani? Je, huu sio mchezo mchafu wa kuchezea hesabu za serikali kwa malengo yaliyojificha yakiwemo ya kimasilahi, kisiasa na kibiashara?

Kwa kuwasilisha hesabu ambazo CAG anasema si sahihi, maana yake PAC imelidanganya Bunge na Taifa kwa ujumla! Kwa kuwa uongo huu umeleta usumbufu na umegharimu heshima za watu, pamoja na kulishulishushia heshima Tiafa mbele ya jumuiya ya kimataifa kuwa la wala rushwa na wafuja pesa, sisi tunapendekeza kuwa Bunge likutane kwa dharura ili PAC iliombe radhi Taifa kwa uongo huo.

Zaidi ya hivyo, kwa kuwa imepoteza imani ya watu juu ya umakini na uadilifu wake, PAC haina sababu ya kubaki na uongozi uliopo hivi sasa. Bunge linahitaji kujisafisha kwa kuivunja PAC na kuiunda upya.

Ni muhimu kuivunja PAC na kuipatia uongozi mpya kwani, kwa sura ya sasa haitaaminika tena masikioni na machoni mwa wananchi. Sio tu viongozi wake wa sasa hawapaswi kuwepo madarakani bali wana kila sababu ya kukabiliwa na jinai ya kuwapotosha Wananchi na kuhatarisha usalama wa Taifa.

BUNGE ni Taasisi yenye heshima kubwa ndani na nje ya Nchi. Heshima ya Bunge inatokana na umuhimu wa kazi yake kwa maslahi ya nchi na wananchi.

Kazi za Bunge kupitia kamati zake mbalimbali zina manufaa makubwa kwa Taifa. Mathalani, Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge ina kazi muhimu ya kuhakikisha kuwa hesabu za serikali zinakuwa bayana na sahihi.

Kwa kufanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo, Kamati za Bunge zina nafasi muhimu ya kuisukuma na kuiwajibisha serikali kwa manufaa ya Umma. Kwa kiasi fulani, hatusiti kusema kuwa Kamati hizo zinajitahidi kutimiza wajibu wao.

Hata hivyo, tunalazimika kuikosoa hadharani Kamati ya Hesabu za Serikali ya Bunge kwa namna ilivyoandaa na kuwasilisha ripoti yake ya Fedha za Akaunti ya Escrow.

Taifa lilishitushwa na taarifa ya Kamati hiyo kuwa fedha nyingi za nchi zimechotwa kinyume na taratibu. Kamati imetaja majina ya watu na hata mazingira ya wizi ikiwa ni pamoja na maboksi, viroba na masandarusi yaliyotumika kubebea fedha hizo!

Mjadala ukawa mzito ambapo ndani ya Bunge na nje yake, moto wa hasira uliwaka kwelikweli. Ni ujasiri wa hali ya juu uliohitajika kutuliza hasira hizo kwa maneno tofauti na yale ya Kamati.

Ilikuwa kana kwamba kila mtu alitakiwa kuamini bila kuhoji. Aliyehoji au kutoa maoni tofauti akaonekana kama ‘mchawi’ na labda ni sehemu ya watu waliopata mgao.

Ndani ya Bunge, ujasiri wa mawaziri kama Hawa Ghasia, Celina Kombani na Angellah Karuki pamoja na Wabunge kama Asumta Mshama na Job Lusinde wa kukataa uongo ulionekana kama ‘kero’ tu ambayo Taifa halikutakiwa kuisikia.

Mawaziri hawa wanwake na Wabunge hawa wanabaki kama wapiganaji waliojitoa muhanga kuhakikisha kuwa ukweli unachukua nafasi masikioni na machoni mwa wananchi.

Pale mwanzo, ujasiri huo ulionekana kwa wachache ambao ilionekana kama vile wangeshindwa na wengi walioamini kila kilichoandikwa na kusemwa na Kamati hiyo ya Bunge!

Ni kweli, PAC ilivuna imani ya wananchi wengi. Lakini, kadiri muda ulivyokwenda hasa baada ya ripoti kukabidhiwa kwa Rais, na serikali kufanya uamuzi wa kuichunguza upya kadhia nzima ya Escrow, kiwango cha imani ya watu juu ya Ripoti ya Kamati kimeonekana kupungua.

Hatua ya Rais kuteua CAG mpya yaweza kuhesabika kama msingi wa kujenga mazingira ya kupata ukweli juu ya hesabu zilizoleta utatanishi. Kila mtu sasa akatulia kusubiri CAG mpya angesema nini.

Yumkini wengi waliamini kuwa majibu ya CAG yangewaweka pagumu wale waliotuhumiwa. Lakini Ripoti ya CAG, baada ya uhakiki, imewalowesha wale ambao awali waliamini Ripoti ya PAC! Kusawajika huko kunatokana na masahihisho ya hesabu zilizowasilishwa na Kamati.

Mgongano wa kimahesabu kati ya dola bilioni 306.6 zilizodaiwa na PAC kuwemo katika Akaunti ya Escrow na dola bilioni 182.7 ambazo CAG anasema ndizo zilizokuwemo kwenye Akaunti hiyo umewashangaza wengi!

Taifa linamwamini CAG kwa asilimia 100 kwamba ndiye chombo cha kuweza kutoa taarifa sahihi. Na hata PAC inategemea taarifa za CAG. Swali linaweza kuulizwa, ni nani aliyesababisha mgongano wa mahesabu kwa kughushi na kukikuza kiasi cha fedha kinyume na taarifa ya CAG?

Na aliyefanya hivyo alikusudia nini? Na alifanya kwa maslahi ya nani? Je, huu sio mchezo mchafu wa kuchezea hesabu za serikali kwa malengo yaliyojificha yakiwemo ya kimasilahi, kisiasa na kibiashara?

Kwa kuwasilisha hesabu ambazo CAG anasema si sahihi, maana yake PAC imelidanganya Bunge na Taifa kwa ujumla!

Kwa kuwa uongo huu umeleta usumbufu na umegharimu heshima za watu, pamoja na kulishulishushia heshima Tiafa mbele ya jumuiya ya kimataifa kuwa la wala rushwa na wafuja pesa, sisi tunapendekeza kuwa Bunge likutane kwa dharura ili PAC iliombe radhi Taifa kwa uongo huo.

Zaidi ya hivyo, kwa kuwa imepoteza imani ya watu juu ya umakini na uadilifu wake, PAC haina sababu ya kubaki na uongozi uliopo hivi sasa. Bunge linahitaji kujisafisha kwa kuivunja PAC na kuiunda upya.

Ni muhimu kuivunja PAC na kuipatia uongozi mpya kwani, kwa sura ya sasa haitaaminika tena masikioni na machoni mwa wananchi. Sio tu viongozi wake wa sasa hawapaswi kuwepo madarakani bali wana kila sababu ya kukabiliwa na jinai ya kuwapotosha Wananchi na kuhatarisha usalama wa Taifa.

Karibu JF. Piga kazi uliyopewa, usije ukakosa kwenda choo
Tunasubiri kesho kama mapemdekezo yenu yatatekelezwa na mshirika wa mwajiri
.
 
Back
Top Bottom