Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

Huyu mama tiba asitueleze kitu hatumuelewi kabisaa amedai hakuhudika popote na wizi je baada ya kugundua hiyo hela ni ya utata kachukua hatua gani bora angeieleza press kuwa hiyo hela kalipia kodi na ilobakia kapeleka ktk vyuo vikuu watoto wa walalahoi waliokosa mikopo wakalipie hada zao kidogo inge sound sasa kabakia tu sikuhusika hatumuelewi kabisaaa
 
Pesa ya mfanyabiashara dalali na mwenye uchu,ndg Reginard Mengi.Huyu anatamani awe Aliko Dangote ndani ya mda mfupi,anataka rasilimali yote iwe chini yake na pia aiendeshe serikali kwa jinsi anavyotaka.

Mengi ni Mwizi huwa halipi Kodi amegawana M 300 dola na Rostam baada ya kuuza Hisa zake za voda na wala hakuwatuma akina Sendeka na Kafulila wapige mayowe, kwa sababu anajua hajalipa kodi amejikausha, mengi ni mtu Hatari sana.
 
Wafanyakazi wa Mengi wanalia njaa yeye anatumia Mapesa Mengi kwenye Fitna na njama kwa Masilahi binafsi kisha kuwalazimisha Wananchi wamuhurumie, Mengi ni kizee fulan chenye Madhambi Mengi kama lilivyo jina lake,Lakini sijui ni kwa nini Serikali inakiendekeza.
 
Tulisema humu kuwa escrow ilikuwa na billion 182 na ndizo zimo kwenye ripoti ya CAG, hizo 300 na PAC walizitoa wapi?

PAC wamedanganya Watanzania, inafaa kamati yote ya PAC iende jela kwa kulidanganya taifa au wapigwe risasi hadharani iwe fundisho kwa wengine.
Walikuwa wamenunuliwa na Mengi kupitia kwa Sendeka wakafanya kazi kwa Pupa ili kumfurahisha Boss wao Mengi Matokeo yake kuketa vioja, Wewe Kibabu Mengi ebu zitumie hizo pesa kuboresha Masilahi ya mafanyakazi wako kuliko kufanya Fitna kisha kusaka Huruma za Wananchi.
 
Mengi ameingilia bunge na kuhongo baadhi ya wabunge na kuwafanya waimbe nyimbo za mafisadi kama mengi na mkono wametia aibu sana.

Mengi kama anaingia JF Nadhani sasa pressure ipo juu sana Maana hakutegemea kama watu wanayajua Madhambi yake, Mengi anapaswa atambue kuwa Watanzania wa sasa si wale wa zamani, Wananchi wa sasa huwa wana-balance pande zote si kuegemea kwa Kibabu Mengi ambacho kipo kwenye Masilahi binafsi huku kikikomaa kipate Huruma za Wananchi.
 
Yaani ukishaona maandishi mareeeeefu.... Ujue kuna jambo linafichwa. Ukweli is always short and clear!
 
Nime ipitia ripoti ya CAG ilotolewa na daily news.
Kwa uchache nimegundua makosa makubwa yslofanywa ni pamoja na
1. BOT kukubali kuilipa kampuni ya PAP . Mkataba wa Escrow ulihusu Tanesco Wizara ya energy na BOT kama wakala.
hata tujaalie PAP ni wamiliki halali wa IPTL baada ya kununua hisa zote bado mkataba ule ni wa IPTL na sio PAP.
IPTL haikubadilshwa jina ilibaki kama kampuni mpaka leo na bado ipo . Kununua hisa hakubafilishi jina la kampuni kwenda kwa mwenye hisa.mfano mimi ninunue hisa zote za NMB haifanyi bank hio kuwa CRABAT au haifanyi wadeni wa NMB kumlipa CRABAT bali wataendelea kuilipa NMB.
hivyo hapa unless kama IPTL IMEBADILISHWA JINA KUWA PAN ambayo hakuna kitu kama hicho.hivyo ushauri ulotelewa na mawakili wa BOT kukubali kumlipa PAP badala ya Iptl mi kosa na unaifanya mpango mzima kuwa na walakini.
2. Hisa saba za mechar inaonekana ziliwekwa rehani kwa standard bank hivyo uuzaji wa hisa hizo bila kuwashitikisha Std bank ulikua wa kitapeli na haukua sahihi na Werema kumtaka Singha pekee athibitishe uhalali wa hisa hizo pia ni blunder ingine. Ilikuwa waulizwe mechar kama jee wameuzs hiss zao ? Jee dhamana ya hisa huko std bank zikeathiriwa vipi na uuzaji wa hisa zao?
Baada ya kuipitia hio ripoti sasa naamini luwa kulikua na uzembe mkubwa kwa lengo la kujinufsisha na 10% malipo yale bila kuangalia athari zake.hivyo vyombo 5 vinahusika .
Bot
Tra
Wizara ya energy
Wizara ya frdha
Werema.
 
Unafikiri zile pesa za escrow zilikuwa malipo ya vitumbuwa?

Kama hujui kitu uliza jirani, hata kama umaona Jirani jajui uliza Google...capacity charges si malipo ya bills za umeme bibii
 
Kwa maoni yangu Bunge lilichepuka kwa maslahi ya kisiasa ili kuwakaanga basho na kuwabeba basho yao. Na sababu ziko wazi tu: Moja,PAC hawakupaswa kupeleka taarifa Bungeni bila kutaja majina ya miamala ya Stanic ambako Akaunti ya PAP one day ilitoa 73.5bn sh legends kwa individuals. Hii haikuwa Babati Mbeya,Bali no mpango ulioratibiwa kwa makusudi kuanzia kwa Spika ili kuwaficha hao wazi. Badala yake mjadala umehishiwa kwa VIP ya Rugemalira kwa makusudi wakati yeye kauza hisa zake na ana uhuru wa kutumia Fedha yake atakavyo. Pili,why hadi Taarifa ya PAC inawasilishwa Bungeni wote wanaotuhumiwa kuchukua kwa VIP hawakuwa wamepewa fursa ya kujitetea au Rugemalira mwenyewe haikuwa amehojiwa kuhusu ugawaji huo? Why msaada wa VIP imekuwa issue wakati hats Mzee Mengi Mwaka Jana kachangia shule za Tibaijuka mil 278? Why PAC haikuweka wazi kwamba hats Kabla ya Fedha za escrow kutoka November 2013, mwezi Agost last year PAP kutoka kwa vyanzo vyao walimlipa VIP advance ya USD 7.5mil ambazo ni sawa Na zaidi ya Sh 10bn ikiwa ni Malipo kwa ajili ya 10% ya hisa alizouza kwa PAP? VIP alilipwa kupitia Akaunti yake ilyoko Mkombozi. Why wananchi tunapotoshwa as if VIP alipokea Fedha kutoka escrow Akaunti wakati si kweli? Fedha alizolipwa VIP zilitoka Stanbic kwa PAP.
 
kweli ni kwamba mjadala umechepushwa makusudi ili pamoja na mambo mengine,kukandamiza baadhi ya kambi za urais za akina Chenge, Ngeleja,Mwambalaswa,Na Tibaijuka mwenyewe. Kama alivyotahadharisha Jaji Warioba na Jaji Mkuu Taarifa ya Zitto na maazimio ya Bunge ni dhaifu sana coz yamechepuka kutoka kwenye msingi wa kuamua mambo kisheria Na kuamua kisiasa!

Kwa vyovyote jambo Hilo litaigawa Jamii coz kuwahukumu viongozi wa dini Na Benki inayomilikiwa Na taasisi ya kidini,tena bila kuwapa fursa ya kujitetea,ni kuwadhalilisha kwa makusudi jambo ambalo hata Kama kanisa halijitokezi hadharani kulaani Lakini lazima kuna reaction flani kanisa litafanya.
 
Nime ipitia ripoti ya CAG ilotolewa na daily news.
Kwa uchache nimegundua makosa makubwa yslofanywa ni pamoja na
1. BOT kukubali kuilipa kampuni ya PAP . Mkataba wa Escrow ulihusu Tanesco Wizara ya energy na BOT kama wakala.
hata tujaalie PAP ni wamiliki halali wa IPTL baada ya kununua hisa zote bado mkataba ule ni wa IPTL na sio PAP.
IPTL haikubadilshwa jina ilibaki kama kampuni mpaka leo na bado ipo . Kununua hisa hakubafilishi jina la kampuni kwenda kwa mwenye hisa.mfano mimi ninunue hisa zote za NMB haifanyi bank hio kuwa CRABAT au haifanyi wadeni wa NMB kumlipa CRABAT bali wataendelea kuilipa NMB.
hivyo hapa unless kama IPTL IMEBADILISHWA JINA KUWA PAN ambayo hakuna kitu kama hicho.hivyo ushauri ulotelewa na mawakili wa BOT kukubali kumlipa PAP badala ya Iptl mi kosa na unaifanya mpango mzima kuwa na walakini.
2. Hisa saba za mechar inaonekana ziliwekwa rehani kwa standard bank hivyo uuzaji wa hisa hizo bila kuwashitikisha Std bank ulikua wa kitapeli na haukua sahihi na Werema kumtaka Singha pekee athibitishe uhalali wa hisa hizo pia ni blunder ingine. Ilikuwa waulizwe mechar kama jee wameuzs hiss zao ? Jee dhamana ya hisa huko std bank zikeathiriwa vipi na uuzaji wa hisa zao?
Baada ya kuipitia hio ripoti sasa naamini luwa kulikua na uzembe mkubwa kwa lengo la kujinufsisha na 10% malipo yale bila kuangalia athari zake.hivyo vyombo 5 vinahusika .
Bot
Tra
Wizara ya energy
Wizara ya frdha
Werema.

Rejea hukumu ya jaji Utamwa iliyosema all afairs should handed over to.....
 
Tumeambiwa na akina Kibonde kwamba Michepuko ni Nomaa tukadhani utani. Sasa ona michepuko inavyoumbua watu wazima hata ndani ya Bunge. Michepuko nomaaa Bakia Njia kuu!
 
Tulisema humu kuwa escrow ilikuwa na billion 182 na ndizo zimo kwenye ripoti ya CAG, hizo 300 na PAC walizitoa wapi?

PAC wamedanganya Watanzania, inafaa kamati yote ya PAC iende jela kwa kulidanganya taifa au wapigwe risasi hadharani iwe fundisho kwa wengine.

Huna authority juu ya maisha ya mtu wala chochote alichoumba Mwenyezi Mungu. Wewe ni mshenzi kama kina tibaijuka na bwana wako kikwete ambao ndio wamiliki wa mitambo hio.

Wasipgwe risasi kina muhongo wapigwe risasi kina Zitto.

Wewe ndio unafaa kuchomwa moto ukiwa hai sio risasi. Maana risasi itakua taratibu. Wewe ni fisadi,mnafiki zaidi shetani.
 
Habinder Singh Sethi unamjuwa?
 
Rejea hukumu ya jaji Utamwa iliyosema all afairs should handed over to.....

Hio hukumu ni ku legalize suala la hisa na umiliki lakini sio kubadili legal entity au legal person kutoka iptl to pap.
Wametafsiri hukumu watakavyo nia yao wanaijua wenyewe lakinni it was wrong kwa BOT kutoa pesa zile kwa pap badala ya iptl.
Hili kina zito hawakuliona lakini chanzo ni BOT kukubali kulipa mtu nje ya escrow agreement.
Hakuna mahali inapo sema fedha hizi zinaweza kulipwa kwa share holders account
 
kwahiyo tatizo Hapa ni kutoa pesa kwa pap wala si uhalali wa pesa?
 
kwahiyo tatizo Hapa ni kutoa pesa kwa pap wala si uhalali wa pesa?

Uhalali upo wa kulipwa fedha ile . Huu ni ukweli usio fichika kuwa mwisho wa siku lazima bot wamlipe fedha zile alokududiwa naye ni iptl.
Suala la kujiuliza kwani huyi singa singa hakuwa na access ya account za iptl ?
WHY FEDHA ZILIPWE PAP?
 
we ni ----- kwelikweli,hivi unajua ni kwanini hiyo akaunti ya dhamana ilifunguliwa,katika mauzo ya hisa za IPTL,kodi haikulipwa,mkataba kati ya IPTL na TANESCO ulikuwa wa kitapeli,mwanasheria wa TANESCO alipotoa ushauri akafukuzwa kazi,mtumishi wa uma anapokea zawadi ya mamilioni ya pesa,kwa ajiri ya shughuri yake binafsi,anakaa kimya,kwanini hakuita vyombo vya habari na kuweka mambo hadharani,ili umma wote wa wa TZ,tumshukuru huyo mfanyabiashara, bado tu hapo huoni kwamba kuna harufu ya rushwa,

Waziri ambaye ardhi ipo chini yake anapewa zawadi na wawekezaji ambao wanaitaji ardhi,mwanasheria anayepitia mikataba yote yenye maslahi kwa taifa,anapewa zawadi na mwekezaji,bado tu huamini kwamba suala la TEGETA ESCROW,ni la kifisadi,yaani mijitu kama wewe mnastaili kuwa executed kwa risasi moja tu nyuma ya kisogo,
umepewa TSH ngapi mpaka uwatetee wezi,mnakula,mnavimbiwa,hamuoni kitu,harafu unakuja hapa na uharo huu,
Hivi unajua huyo mwanasheria wa Tanesco alikuwa amekomba hela kiasi gani kwa kuwapotosha Tanesco kwa miaka yote ili aendelee kunufaika? Bilioni 62! Je unajuam kwamba mwanasheria wa Tanesco hataki kabisa kum,alizika kwa mgogoro huu kwa sababu kunamkosesha yeye ulajinwa kudumu? Unajua kwamba Tanesco walikuwa wakipata huduma kutoka IPTL na lazima wailipie? Usiwe mtu wa kuzomoka tu bila ya kuwa na taarifa sahihi na takwimu sahihi mikononi mwako. Kukimbilia hukumun bila ya kuwa na vitu hivyo mkononi ni ujuha wa kawaida unaotokana na ushabiki ama wa kisiasa, kiuchumi au chuki ya nafasi duni katika jamii ambayo haikusababishwa na hao unaotamani sana kuwapiga risasi za kisogo.
 
Back
Top Bottom